JamiiForums
34.9K subscribers
37.2K photos
2.94K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Ikumbukwe, siku za hivi karibuni kulizuka taharuki katika baadhi ya mikoa, ikienezwa kuwa wanaume hupoteza sehemu za siri baada ya kuguswa begani, ambapo takriban Watu saba wanadaiwa kuuawa kufuatia tuhuma hizo.

Tembelea https://jamii.app/ChalamilaNyeti

#JamiiForums #JFMatukio
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Aprili 6, 2026 wakati akizungumza na Wafanyabiashara eneo la Simu 2000 - Ubungo, baada ya kukagua madhara yaliyotokana na moto ulioteketeza zaidi ya vibada 500 mnamo Aprili 4, 2026.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MwiguluVyanzoMapato

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Mdau, umeshakutana na hoja kama hizi kuhusu chakula?

Fuatilia zaidi https://jamii.app/VyakulaSalama

#JamiiForums #JFMdau2026, #Maisha #JFAfya #PublicHealth
Una mtazamo gani kwenye hili? Ni lazima kueleza changamoto inayokufanya ukope?

Kushiriki mjadala tembelea https://jamii.app/KukopaKwaMtu

#JamiiForums #JFMdau2026, #Maisha
Aprili 7, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌📌

Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/TumeUchunguziApril24

#JamiiForums #Governance
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kufuatilia mifumo ya vitengo vya Huduma kwa Wateja za Kampuni za Mawasiliano akidai baadhi hazina chaguo la kuzungumza na mhudumu, pia mteja kusubirishwa kwa muda mrefu.

Mdau, umewahi kupitia changamoto hii kupitia kampuni yako ya simu unayoitumia?

Zaidi https://jamii.app/CallCentre

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #HakiZaKidijitali #DigitalWorld
MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika za Wilaya ya Rungwe kufanya marekebisho Soko la Ndizi, Kiwira kwani matope yamejaa na kuhatarisha afya za wanaotembelea hapo kipindi hiki cha mvua

Zaidi https://jamii.app/MatopeSokoKiwira

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #PublicHealth