JamiiForums
34.6K subscribers
37.3K photos
2.95K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau ameanzisha mjadala ndani ya JamiiForums.com akisema badala ya kuogopa mabadiliko, huu ndio wakati sahihi wa kujifunza jinsi ya kuitumia Akili Unde (AI) kwa faida. Walio tayari kujifunza ndio watakaotengeneza fursa mpya!

Je, wewe unaitumiaje Akili Unde (AI) kwenye maisha au kazi yako ya kila siku?

Zaidi https://jamii.app/AIItatusaidiaAuItatupokonya

#JamiiForums #ArtificialIntelligence
Wapinzani nchini #Cameroon wamekosoa mabadiliko hayo, wakidai ni mkakati wa Rais Paul Biya kujiandalia mrithi atakayelinda maslahi ya chama chake, wengi wakimtaja Franck Biya, mtoto wake wa kwanza, kuwa huenda akachukua nafasi hiyo.

Zaidi: https://jamii.app/MakamuRais

#JamiiForums #Demokrasia #AfricanPolitics
1😢1
Aprili 5, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/Azam0Simba0

#JamiiForums #JFSports
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wakala wa Barabara Tanzania (#TANROADS) kushughulikia alama za barabarani zilizofutika katika Barabara ya Bagamoyo, hususan Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko Magengeni na Bunju Center.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/ZebraBagamoyoRoad

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
1
Unakubaliana na hoja ya mdau kuwa ni ngumu kwa Wanaume kuulizana majina pindi wanapokutana kwa mara ya kwanza?

Fuatilia mjadala https://jamii.app/MajinaWanaume

#JamiiForums  #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo Aprili 6, 2026 wakati akiongea na wafanyabiashara katika eneo la Simu 2000 - Ubungo, baada ya kukagua madhara yaliyotokana na moto ulioteketeza zaidi ya vibada 500, April 4, 2026.

Hata hivyo, Aprili 5, 2026 moja ya wafanyabiashara waliopatwa na madhila hayo alinukuliwa akisema kuwa, wakati moto ukiwa unawaka kuna mtumishi wa serikali alisema waache moto uwake kwasababu waliambiwa watoke na kupisha mradi lakini walikataa!

Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/MwiguluAmaniNchini

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala