JamiiForums
34.5K subscribers
37.3K photos
2.95K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, kwa mtanzamo wako unadhani chanzo ni nini?

Kushiriki mjadala tembelea https://jamii.app/UkatiliMahusiano

#JamiiForums #JFMdau2026 #Maisha
Familia ya JamiiForums inakutakia Pasaka yenye baraka tele kwako na kwa uwapendao.

#JamiiForums #EasterSunday
MANYARA: Mdau wa JamiiForums.com anadai Kijiji cha Olchoronyori kimesahaulika, kina changamoto nyingi zikiwemo za kukosa miundombinu ya mawasiliano ya Kidigitali.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MitandaoOlchoronyori

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalWorld #CivilRights
Mdau ameanzisha mjadala ndani ya JamiiForums.com akisema badala ya kuogopa mabadiliko, huu ndio wakati sahihi wa kujifunza jinsi ya kuitumia Akili Unde (AI) kwa faida. Walio tayari kujifunza ndio watakaotengeneza fursa mpya!

Je, wewe unaitumiaje Akili Unde (AI) kwenye maisha au kazi yako ya kila siku?

Zaidi https://jamii.app/AIItatusaidiaAuItatupokonya

#JamiiForums #ArtificialIntelligence
Wapinzani nchini #Cameroon wamekosoa mabadiliko hayo, wakidai ni mkakati wa Rais Paul Biya kujiandalia mrithi atakayelinda maslahi ya chama chake, wengi wakimtaja Franck Biya, mtoto wake wa kwanza, kuwa huenda akachukua nafasi hiyo.

Zaidi: https://jamii.app/MakamuRais

#JamiiForums #Demokrasia #AfricanPolitics
1😢1
Aprili 5, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/Azam0Simba0

#JamiiForums #JFSports
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wakala wa Barabara Tanzania (#TANROADS) kushughulikia alama za barabarani zilizofutika katika Barabara ya Bagamoyo, hususan Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko Magengeni na Bunju Center.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/ZebraBagamoyoRoad

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
1