JamiiForums
33.9K subscribers
37.3K photos
2.98K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
KENYA: Victor Wanyama anajulikana kama Mkenya wa kwanza kufunga goli katika Ligi ya Mabingwa ya Ulaya akiwa na Celtic kwenye mchezo dhidi ya FC Barcelona, pia #HarambeeStars kwa takribani miaka 10.

Alianza kucheza Timu ya Taifa mnamo Mei 2007 akiwa na umri wa Miaka 15, akicheza mechi 64 na kufunga mabao sita. Akiwa kiungo muhimu wa kati, aliiongoza #Kenya katika mashindano makubwa kama Kombe la Mataifa Afrika (#AFCON).

Soma zaidi https://jamii.app/VictorWanyama

#JamiiForums #JFSports
2
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuboresha eneo lao la Kiluvya ambapo kuna kibao kinachoonesha umiliki wao, ambalo amedai lina vichaka vinavyohatarisha usalama wa wapitanjia.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/NssfKiluvya
SENEGAL: Wakati mzozo wa Marekani na Israel dhidi ya Iran ukiendelea na kusababisha kupanda kwa bei za mafuta Duniani, Serikali ya Senegal imesitisha safari zote za nje zisizo za lazima kwa Mawaziri na Maafisa wa ngazi za juu, ikionya kuwa nyakati “ngumu sana” zinakuja.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/SenegalTravelBan

#JamiiForums #Accountability #Governance
2
Mdau, unamshauri afanye nini?

Mjadala huu unaendelea ndani ya JamiiForums.com

Bofya https://jamii.app/BundiKwenyeNyumba

#JamiiForums  #JFMaisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Mdau wa JamiiForums.com anaandika "Hii ni Barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, Viongozi wanaohusika sijui hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha changamoto nyingi ikiwemo ajali, madhara kwa Watu, shughuli za kiuchumi kuathirika, ujumbe ufike kwa wanaohusika kabla ya madhara kuwa makubwa zaidi.

Zaidi tembelea https://jamii.app/BarabaraMbovuNyamongo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuboresha miundombinu ya Vyoo katika Soko la Mabibo (Soko la Ndizi), akidai hali ya vyoo hivyo ni hatari kwa afya ya Watumiaji.

Kusoma zaidi https://jamii.app/VyooMabibo

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #PublicHealth #JFAfya
1
Aprili 4, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌📌

Shiriki mjadala https://jamii.app/Yanga3Prisons0

#JamiiForums #JFSports