Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Serikali kupitia Viwango vya Riba vinavyowekwa na taasisi za mikopo kwa Watumishi wa Umma wanaoomba mikopo kupitia Mfumo wa Employee Self Service (ESS), akidai wakopaji wanateswa na viwango vya riba kutokana na kutokuwa na elimu hiyo, pia ikiwezekana wapunguziwe gharama za ada ya huduma (service charges), bima na ada ya kuchakata (processing fee) ili kuwapa nafuu wakopaji.
Zaidi tembelea https://jamii.app/MikopoRiba
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zaidi tembelea https://jamii.app/MikopoRiba
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau, wewe unapenda zaidi kusikiliza muziki wa kipindi gani? Wa sasa au wa zamani? Kwanini?
Shiriki mjadala huu: https://jamii.app/MzikiZamani
#JamiiForums #JFBurudani
Shiriki mjadala huu: https://jamii.app/MzikiZamani
#JamiiForums #JFBurudani
Ikumbukwe, Januari 2026 Serikali ya Ibrahim Traoré ilifuta vyama vyote vya Siasa na kupiga marufuku shughuli zote za Kisiasa, huku ripoti ya Shirika la Human Rights Watch ya Aprili 2026 ikidokeza jeshi la nchi hiyo limeua raia mara mbili zaidi ya vikundi vya kigaidi ikiwemo Al Qaeda na Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM) vya nchini humo.
Zaidi: https://jamii.app/TraoreDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #Democracy #AfricanPolitics
Zaidi: https://jamii.app/TraoreDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #Democracy #AfricanPolitics
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
PWANI: Askofu Stephano Lameck Musomba, OSA, amesema hayo Aprili 3, 2026 katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika Parokia ya Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
Bofya https://jamii.app/AskofuUchawa
#JamiiForums #Siasa
Bofya https://jamii.app/AskofuUchawa
#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli hiyo Aprili 2, 2026, wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, iliyowasilishwa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Soma zaidi https://jamii.app/ShigongoWeziWafungwe
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governace
Soma zaidi https://jamii.app/ShigongoWeziWafungwe
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governace
Mdau wa JamiiForums.com anasema kama Serikali ingekuwa imewekeza vya kutosha kwenye upatikanaji wa Gesi Asilia ingesaidia kutatua changamoto mbalimbali nchini hasa wakati huu ambapo bei ya nishati ya mafuta imepanda bei na kusababisha gharama ya vitu vingine pia kupanda.
Je, unakubalina na hoja ya Mdau?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MafutaGesiAsilia
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFUchumi
Je, unakubalina na hoja ya Mdau?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MafutaGesiAsilia
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFUchumi
KENYA: Victor Wanyama anajulikana kama Mkenya wa kwanza kufunga goli katika Ligi ya Mabingwa ya Ulaya akiwa na Celtic kwenye mchezo dhidi ya FC Barcelona, pia #HarambeeStars kwa takribani miaka 10.
Alianza kucheza Timu ya Taifa mnamo Mei 2007 akiwa na umri wa Miaka 15, akicheza mechi 64 na kufunga mabao sita. Akiwa kiungo muhimu wa kati, aliiongoza #Kenya katika mashindano makubwa kama Kombe la Mataifa Afrika (#AFCON).
Soma zaidi https://jamii.app/VictorWanyama
#JamiiForums #JFSports

❤2
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuboresha eneo lao la Kiluvya ambapo kuna kibao kinachoonesha umiliki wao, ambalo amedai lina vichaka vinavyohatarisha usalama wa wapitanjia.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NssfKiluvya
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NssfKiluvya