JamiiForums
βœ”
34.5K subscribers
37.3K photos
2.95K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka husika kupitia upya ushuru unaotozwa na Halmashauri ya Kilosa, akidai kuwa umekuwa kero na mateso makubwa kwa Wakulima wa Kata ya Kimamba A na B.

Zaidi https://jamii.app/WakulimaUshuru

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #UtawalaBora

Nawe pia unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia WhatsApp +255743440000 au FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com πŸ“ŒπŸ“Œ
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Serikali kupitia Viwango vya Riba vinavyowekwa na taasisi za mikopo kwa Watumishi wa Umma wanaoomba mikopo kupitia Mfumo wa Employee Self Service (ESS), akidai wakopaji wanateswa na viwango vya riba kutokana na kutokuwa na elimu hiyo, pia ikiwezekana wapunguziwe gharama za ada ya huduma (service charges), bima na ada ya kuchakata (processing fee) ili kuwapa nafuu wakopaji.

Zaidi tembelea https://jamii.app/MikopoRiba

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau, wewe unapenda zaidi kusikiliza muziki wa kipindi gani? Wa sasa au wa zamani? Kwanini?

Shiriki mjadala huu: https://jamii.app/MzikiZamani

#JamiiForums #JFBurudani
Ikumbukwe, Januari 2026 Serikali ya Ibrahim TraorΓ© ilifuta vyama vyote vya Siasa na kupiga marufuku shughuli zote za Kisiasa, huku ripoti ya Shirika la Human Rights Watch ya Aprili 2026 ikidokeza jeshi la nchi hiyo limeua raia mara mbili zaidi ya vikundi vya kigaidi ikiwemo Al Qaeda na Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM) vya nchini humo.

Zaidi: https://jamii.app/TraoreDemokrasia

#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #Democracy #AfricanPolitics
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
PWANI: Askofu Stephano Lameck Musomba, OSA, amesema hayo Aprili 3, 2026 katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika Parokia ya Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

Bofya https://jamii.app/AskofuUchawa

#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli hiyo Aprili 2, 2026, wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, iliyowasilishwa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

Soma zaidi https://jamii.app/ShigongoWeziWafungwe

#JamiiForums #Uwajibikaji #Governace
Mdau wa JamiiForums.com anasema kama Serikali ingekuwa imewekeza vya kutosha kwenye upatikanaji wa Gesi Asilia ingesaidia kutatua changamoto mbalimbali nchini hasa wakati huu ambapo bei ya nishati ya mafuta imepanda bei na kusababisha gharama ya vitu vingine pia kupanda.

Je, unakubalina na hoja ya Mdau?

Zaidi tembelea https://jamii.app/MafutaGesiAsilia

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFUchumi