UGANDA: Ikumbukwe Machi 29, 2026, Mukose aliripotiwa "kutekwa" na Watu waliovalia kiraia wanaosadikiwa kuwa Maafisa wa Usalama baada ya kumaliza kipindi cha redio katika Kituo cha Metro FM ambapo alipakiwa kwenye gari aina ya Toyota Noah na kupelekwa kusikojulikana na kisha kuibukia Polisi siku chache baadaye.
Zaidi tembelea https://jamii.app/MwandishiKukamatwa
#JamiiForums #UhuruWaHabari #Demokrasia
Zaidi tembelea https://jamii.app/MwandishiKukamatwa
#JamiiForums #UhuruWaHabari #Demokrasia
MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com amedai daladala nyingi za Mbeya Mjini zimesitisha kufanya huduma kufuatia kutangazwa kwa ongezeko la bei ya mafuta.
Zaidi bofya https://jamii.app/DaladalaMbeya
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma
Zaidi bofya https://jamii.app/DaladalaMbeya
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Mohammed Said ametoa wito huo Aprili 2, 2026 wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, iliyowasilishwa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba.
Zaidi tembelea https://jamii.app/BungeBendi
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governace
Zaidi tembelea https://jamii.app/BungeBendi
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governace
DAR: Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka la Tanzania (#TFF) imetupa rasmi shauri la Klabu ya Simba lililokuwa likihoji uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro Camara ndani ya Klabu ya Yanga.
Simba iliwasilisha malalamiko hayo ikidai kuwa usajili wa Camara unakiuka Kanuni ya 62(1) ya Ligi Kuu pamoja na taratibu za FIFA, kwa madai unaifanya Yanga kuwa na Wachezaji 13 wa kigeni badala ya 12. TFF imesisitiza kuwa mchezaji huyo ni halali kuitumikia Yanga.
Soma zaidi https://jamii.app/SimbaNaCamara
#JamiiForums #JFSports

❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge aliyasema hayo Aprili 2, 2026 kwenye mahojiano aliyoyafanya katika Kipindi cha Amplifier cha Millard Ayo.
Zaidi tembelea https://jamii.app/SwimmingPool
#JamiiForums #Utawala #Governance
Zaidi tembelea https://jamii.app/SwimmingPool
#JamiiForums #Utawala #Governance
🤬2
UTENGUZI: Rais Samia ametengua uteuzi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dkt. James Andilile Mwainyekule.
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa atapangiwa majukumu mengine.
Zaidi tembelea https://jamii.app/UtenguziUteuziAprili2
#JamiiForums #UtawalaBora
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa atapangiwa majukumu mengine.
Zaidi tembelea https://jamii.app/UtenguziUteuziAprili2
#JamiiForums #UtawalaBora
🤬1
Rais Samia Suluhu amemteua Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), kabla ya uteuzi huo, alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Ikulu (Kazi Maalum).
Wakati huohuo, Balozi Ali Jabir Mwadini ameteuliwa kuwa Katibu wa Rais.
Zaidi https://jamii.app/UtenguziUteuziAprili2

TCRA imesema maudhui yaliyosababisha Jambo TV ifungiwe yalichapishwa Machi 31, 2026 ambayo yaliupotosha umma kuhusu hali ya matukio yanayoendelea nchini na matokeo yanayotarajiwa kutoka kwa Tume ya kuchunguza matukio wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kinyume na Kanuni za Maudhui Mtandaoni za Mwaka 2020 na Marekebisho yake ya Mwaka 2022 na 2025.
Aidha, #TCRA imeeleza kuwa tangu Septemba, 2025, Jambo Online TV imekuwa na mashauri manne mfululizo ya ukiukaji wa Sheria, Kanuni, Masharti ya Leseni, Maadili, Misingi na Taaluma ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.
Zaidi https://jamii.app/JamboTVKufungiwa
#JamiiForums #HakiZaDigitali #JFMatukio

UTEUZI: Rais Samia amemteua Dkt. Eveline Wilbard Munisi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dkt. Eveline ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi alikuwa mgombea mwenza wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Zaidi https://jamii.app/UtenguziUteuziAprili2
#JamiiForums

Zingatia thamani ya upendo, uvumilivu na kujitoa kwa ajili ya wengine. Uwe na Siku Njema.
Tembelea JamiiForums.com kushiriki mijadala mbalimbali yenye tija📌
#JamiiForums #GoodMorning
Tembelea JamiiForums.com kushiriki mijadala mbalimbali yenye tija📌
#JamiiForums #GoodMorning
❤2🔥2