This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://jamii.app/WasiraKuchomaCCM
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Zaidi https://jamii.app/WasiraKuchomaCCM
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anahoji iwapo Mamlaka ya Wakala wa Barabara Tanzania (#TANROADS) imeridhia ujenzi unaoendelea karibu na Ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, akiamini kama ni ujenzi wa Kituo cha Mafuta unaweza kusababisha usumbufu hasa kwa magari.
Zaidi https://jamii.app/LuguruniKituoMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/LuguruniKituoMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya Tsh. Bilioni 187 hadi Tsh. Bilioni 338 kutokana na Shirikisho la Soka Afrika (#CAF) kusema tuongeze vitu ili kukidhi mahitaji.
Uwanja huo unatarajiwa kutumika katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (#AFCON) 2027 itakayofanyika kwa pamoja Kenya, Tanzania, na Uganda kati ya Juni 19 hadi Julai 18, 2027.
Soma https://jamii.app/MsigwaUwanjaArusha
#JamiiForums #JFSports #RipotiYaCAG
Video: Crown FM

❤1
Mdau, kwa Kijana anayejitafuta, unamshauri akaanze Maisha katika eneo / Kata gani ya Dar es Salaam?
Mjadala huu unaendelea sasa ndani ya JamiiForums.com
Kushiriki bofya: https://jamii.app/DarKupanga
#JamiiForums #Maisha #JFLifestyle
Mjadala huu unaendelea sasa ndani ya JamiiForums.com
Kushiriki bofya: https://jamii.app/DarKupanga
#JamiiForums #Maisha #JFLifestyle
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni pamoja na TAMISEMI kufuatilia sababu ya 'fremu' zilizopo katika Stendi ya Mwenge kutofunguliwa licha ya kukamilika kwa ujenzi wake kwa zaidi ya mwaka sasa.
Zaidi: https://jamii.app/FremuMwenge
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zaidi: https://jamii.app/FremuMwenge
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando ameagiza kuvunjwa kwa daraja lililojengwa katika eneo la Goba Mtipesa baada ya kubainika kuwa halina ubora unaokidhi viwango vinavyotakiwa ambapo pamoja na agizo hilo ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (#TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Mkandarasi wa Kampuni ya Hada kuhusu mradi huo.
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia ripoti ya Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (#TARURA) iliyobainisha dosari kubwa katika ujenzi wa daraja hilo ambapo vipimo vilivyofanywa na Maabara tatu tofauti vimethibitisha kuwa zege iliyotumika halikuwa na ubora unaotakiwa na hivyo mradi huo unahatarisha usalama wa Watumiaji.
Soma https://jamii.app/MsandoDarajaLivunjwe
#JamiiForums #Uwajibikaji

Katika jamii zetu, suala la Mwanaume kulala ukweni limekuwa na mitazamo miwili tofauti, wapo wanaoona ni sawa, na wapo wanaosema ni 'mwiko' mkubwa?
Mdau una maoni gani?
Mjadala https://jamii.app/KulalaUkweni
#JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
Mdau una maoni gani?
Mjadala https://jamii.app/KulalaUkweni
#JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
❤1
Una neno lolote kuhusu maoni ya Mdau?
Zaidi https://jamii.app/PoshoBungeni
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/PoshoBungeni
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji