JamiiForums
34.7K subscribers
37.3K photos
2.95K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MWANZA: Upande wa Catherine Sungura ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) amesema “Tunawashukuru Wananchi kwa uvumilivu wao, tayari tumeshachukua hatua ya muda mfupi ili eneo (barabara ya Mecco-Kangaye) liweze kupitika huku tukisubiri matengenezo makubwa yaliyopangwa kufanyika kwenye bajeti ijayo.”

Zaidi https://jamii.app/MeccoKangaye

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFUwajibikaji #JFMdau2026
Wazoefu wa biashara hasa za vyakula mnamshauri nini Mdau huyu aweze kuokoa mgahawa ambao amelazimika kuufunga kwa muda?

Kuchangia mjadala https://jamii.app/MgahawaKufungwa

#JamiiForums #JFMaisha
1
Machi 29, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌📌

Zaidi tembelea https://jamii.app/WaziriMkuuNepalAkamatwa

#JamiiForums #GlobalPolitics #Demokrasia
Je, unakubaliana na hoja ya mdau kuwa mafanikio siku hizi ni bahati tu? Au nguvu ya kupambana bado ina nafasi yake?

Ungana na wadau wengine https://jamii.app/MaishaBoraSiBidii

#JamiiForums #Lifestyle #MorningPost #AmkaNaJF
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Usikose kujiunga nasi Machi 30, 2026, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia Instagram Live ya JamiiForums katika mjadala wa “Mchakato wa Uhakiki wa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari unaendana na kasi ya kuenea kwa Taarifa Potofu?”

#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
Chama cha Wanahabari nchini Uganda (UJA) kimelaani vikali kitendo hicho, kikidokeza kuwa kutekwa kwa Arnold Mukose ni shambulio dhidi ya uhuru wa habari na usalama wa Wanahabari wanapotekeleza majukumu yao.

Zaidi: https://jamii.app/MwandishiUganda

#JamiiForums #Democracy #PressFreedom #Accountability
ZANZIBAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka za Shehia ya Jang'ombe na Kidongo Chekundu pamoja na Baraza la Manispaa Mjini kushughulikia kero ya takataka zilizotelekezwa katika jalala la Jang'ombe na Kidongo Chekundu kabla hazijaleta madhara makubwa ya Afya kwa wakazi wa eneo hilo

Bofya https://jamii.app/UchafuZanzibar

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji