Baada ya Ukaguzi wa awali uliofanyika na CAF imeelezwa kuwa ingawa baadhi ya kazi za ukarabati na uboreshaji tayari zimeanza katika viwanja vya nchi, kiasi cha kazi kinachohitajika kufanyika bado ni kikubwa, imeshauriwa kasi ya utendaji kuongezwa ili kundana na ratiba ya maandalizi.
Mjadala zaidi https://jamii.app/KenyaUgandaVichekeshoAFCON27
#JamiiForums #JFSports #AFCON2027
Mjadala zaidi https://jamii.app/KenyaUgandaVichekeshoAFCON27
#JamiiForums #JFSports #AFCON2027
❤1
Jiunge nasi Machi 30, 2026 kupitia Instagram Live ya JamiiForums, katika mjadala wa: “Mchakato wa Uhakiki wa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari, unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potofu?” kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku.
Kushiriki mjadala: https://jamii.app/MarekaniMedia
#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
Kushiriki mjadala: https://jamii.app/MarekaniMedia
#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anaitaka mamlaka husika kurekebisha Kalavati ambalo limeharibika kwa muda mrefu hali inayosababisha kero kwa Watumiaji na hatari kwa Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo.
Zaidi tembelea https://jamii.app/KalavatiMatosa
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi tembelea https://jamii.app/KalavatiMatosa
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
MOROGORO: Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni dereva Bajaj anadai yeye na wenzake wanapokamatwa na baadhi ya Maafisa wa Manispaa kwa makosa mbalimbali, wanapoomba Namba ya Malipo kulipia faini, hawapewi zaidi wanapewa vitisho vitisho.
Zaidi bofya https://jamii.app/ManispaaMorogoro
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zaidi bofya https://jamii.app/ManispaaMorogoro
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mamlaka inayohusika na uhamisho wa Watumishi wa Umma izingatie kuhamisha mishahara kwenda Halmashauri wanakowahamishia Wafanyakazi ili kuondoa kero zinazojitokeza.
Zaidi https://jamii.app/MishaharanaUhamishoUtumishi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/MishaharanaUhamishoUtumishi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika kufanya marekebisho kwenye chemba inayotiririrsha majitaka katika soko jipya la Kariakoo ikiwa ni siku chache tangu lizinduliwe na Rais Samia Suluhu.
Zaidi soma https://jamii.app/MajiTakaSokoKariakoo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #PublicHealth
Zaidi soma https://jamii.app/MajiTakaSokoKariakoo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #PublicHealth
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kushughulikia changamoto inayowahusu Walimu wa somo jipya la Business Studies ambao hawakuwa na taaluma ya Ualimu.
Zaidi https://jamii.app/MikatabaWalimuBusiness
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu
Zaidi https://jamii.app/MikatabaWalimuBusiness
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu