JamiiForums
34K subscribers
37.3K photos
2.98K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DAR: Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) agizo hilo halihusu Mchezo wa Yanga na Simba pekee bali michezo yote ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara na mashindano yote yaliyo chini ya Shirikisho hilo.

Zaidi https://jamii.app/TffBetting

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira ameyasema hayo Machi 27, 2026 alipokuwa akiweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM, Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika vurugu za Oktoba 29, 2025.

Zaidi https://jamii.app/WasiraUchaguzi2030

#JamiiForums #Demokrasia
Mkutano wa G7 umepangwa kufanyika kuanzia Juni 15 hadi 17, 2026 katika mji wa Évian-les-Bains, Ufaransa, huku yakiwepo madai kuwa Kenya itahudhuria badala ya Afrika Kusini.

Zaidi: https://jamii.app/AfrikaKusiniG7Ufaransa

#JamiiForums #JFDiplomacy
1
MAREKANI: Tukio hilo lilirekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na mjenzi mwenzao aliyetambuliwa kwa jina la Bryan Polanco aliyedai kusikitishwa na tukio hilo.

Mdau unadhani alichofanya mwenye nyumba ni sahihi?

Zaidi https://jamii.app/MwenyeNyumbaUhamiaji

#JamiiForums #HumanRights
Machi 28, 2026: Moja ya Kero iliyowasilishwa na Mdau kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com📌📌

Zaidi tembelea https://jamii.app/MezaMabibo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #UtawalaBora
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mossy Lukuvi, ambaye ni mdogo wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratıbu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi aliyasema hayo Machi 27, 2026, wakati akizungumza kwenye shughuli ya kuaga mwili wa Lukuvi katika Viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.

Zaidi tembelea https://jamii.app/MossyLukuvi

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tembelea Jukwaa la Burudani lililo ndani ya JamiiForums.com kusoma na kushiriki maudhui mbalimbali ya burudani.

Kushiriki mijadala ya Burudani tembelea https://jamii.app/JukwaaLaBurudani

#JamiiForums #JFBurudani
Mdau wa JamiiForums.com anaeleza ubovu wa Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye akidai inawaathiri Watumiaji wengi.

Mdau hali ya barabara Mtaani kwako ipoje?

Zaidi tembelea https://jamii.app/BarabaraKangaye

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #JFUwajibikaji