JamiiForums
34K subscribers
37.3K photos
2.97K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DODOMA:  Shauri hilo litatajwa kwa mara ya kwanza Aprili 14, 2026 mbele ya jopo la Majaji Watatu ambao ni Mruma, Dkt. Rumisha na Dkt. Longopa. Akizungumzia shauri hilo, Wakili Maduhu William amesema "Tutaipigania Heshima na hadhi ya Uwakili Usiku na Mchana na bila kuchoka."

Soma zaidi https://jamii.app/LissuGerezaniVizingiti

#JamiiForums #JFSheria #Accountability #JFMatukio
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KAGERA: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, ameyasema hayo Machi 27, 2026 katika mkutano wa hadhara Wilaya ya Bukoba Mjini.

Soma https://jamii.app/KenaniAmani

#JamiiForums #Governance
1
MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kurekebisha mitaro ya maji maeneo ya barabara ya Kabwe kuelekea Block T, kwani ni hatari kwa usalama na kwa Afya za wananchi wa eneo hilo.

Zaidi https://jamii.app/BarabaraKabweMbeya

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Katika mjadala huu wa “Mchakato wa Uhakiki wa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari unaendana na kasi ya kuenea kwa Taarifa Potofu?”, tutachambua kwa kina namna Vyombo vya Habari vinatumia teknolojia pamoja na rasilimali zilizopo kukabiliana na Taarifa Potoshi.

Usikose kujiunga nasi Machi 30, 2026, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia Instagram Live ya JamiiForums.

#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
RWANDA: Mkutano huo ulifanyika Machi 23, 2026 kwenye Kambi ya Kijeshi ya Gako, ulibainisha changamoto za kiutawala, zikiwemo ukosefu wa uratibu mzuri kati ya Viongozi na kushuka kwa utoaji huduma.

Jukwaa hilo pia lilibainisha changamoto za Kiutawala, ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Ufuatiliaji wa Utawala Bora, utoaji huduma umeshuka kutoka 78.2% Mwaka 2023 hadi 75.8 Mwaka 2024, kufikia 71.7% Mwaka 2025.

Zaidi https://jamii.app/KagameKiburiViongozi

#JamiiForums #Governance #Accountability
DAR: Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) agizo hilo halihusu Mchezo wa Yanga na Simba pekee bali michezo yote ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara na mashindano yote yaliyo chini ya Shirikisho hilo.

Zaidi https://jamii.app/TffBetting

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira ameyasema hayo Machi 27, 2026 alipokuwa akiweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM, Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika vurugu za Oktoba 29, 2025.

Zaidi https://jamii.app/WasiraUchaguzi2030

#JamiiForums #Demokrasia
Mkutano wa G7 umepangwa kufanyika kuanzia Juni 15 hadi 17, 2026 katika mji wa Évian-les-Bains, Ufaransa, huku yakiwepo madai kuwa Kenya itahudhuria badala ya Afrika Kusini.

Zaidi: https://jamii.app/AfrikaKusiniG7Ufaransa

#JamiiForums #JFDiplomacy
1
MAREKANI: Tukio hilo lilirekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na mjenzi mwenzao aliyetambuliwa kwa jina la Bryan Polanco aliyedai kusikitishwa na tukio hilo.

Mdau unadhani alichofanya mwenye nyumba ni sahihi?

Zaidi https://jamii.app/MwenyeNyumbaUhamiaji

#JamiiForums #HumanRights