DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa Wito kwa mamlaka husika ndani ya Wilaya ya Ubungo kusimamia wanaopewa jukumu la usafi maeneo ya umma kuhakikisha utunzaji wa afya, usalama na mazingira ya kazi ya wanaofanyakazi yanazingatiwa kama ilivyo kwa Watumishi wengine.
Zaidi soma https://jamii.app/WafanyaUsafiMbezi
#JamiiForums #JFMdau2026
Zaidi soma https://jamii.app/WafanyaUsafiMbezi
#JamiiForums #JFMdau2026
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (#CAS) imetangaza kuwa itatoa umaamuzi haraka wa kesi iliyofunguliwa na Senegal kufuatia kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (#AFCON2025) kisha Morocco kutangazwa kuwa bingwa.
Zaidi https://jamii.app/SenegalMoroccoAfcon
#JamiiForums #Accountability #JFSports #AFCON2025
Zaidi https://jamii.app/SenegalMoroccoAfcon
#JamiiForums #Accountability #JFSports #AFCON2025
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia kipa wa Yanga, Djigui Diarra michezo mitatu na kumtoza faini ya Tsh. Milioni 2 kwa kosa la kumshambulia Mwamuzi wa kati wa mchezo kati ya #MtibwaSugar dhidi ya Yanga mnamo Machi 21, 2026, kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu.
Pia, mchezaji huyo ametozwa faini ya Tsh. Milioni 2 nyingine kwa kosa la kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo huo, kitendo kilichoashiria ishara ya matusi na dharau, kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.4) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Wachezaji.
Zaidi tembelea https://jamii.app/DjiguiDiarraAfungiwa
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mwamuzi wa Kati wa mchezo wa #MtibwaSugar dhidi ya #Yanga (Machi 21, 2026), Gilbert Mrina kutoka Kilimanjaro ameshushwa Daraja la Uamuzi kwa kushindwa kuchukua hatua stahili kwa mchezaji Djigui Diarra wa Yanga aliyeonesha utovu wa nidhamu (kumshambulia Mwamuzi) kama ilivyoainishwa katika Kanuni ya 42:1(1.6) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza ni kosa la kujirudia ambapo Gilbert Mrina alitenda kosa la aina hiyo katika mchezo Mbeya City vs Namungo (Ligi Kuu), akafungiwa mizunguko mitatu.
Pia, Mwamuzi Msaidizi namba mbili wa mchezo huo, Abdulaziz Ally kutoka Arusha amefungiwa mizunguko mitano kwa kushindwa kutafsiri vema Sheria za Soka, dakika ya 36 alinyoosha kibendera juu kuashiria Emmanuel Mwanengo wa Yanga ameotea wakati haikuwa hivyo.
Zaidi tembelea https://jamii.app/DjiguiDiarraAfungiwa
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu #JFLigiKuu2026

DODOMA: Shauri hilo litatajwa kwa mara ya kwanza Aprili 14, 2026 mbele ya jopo la Majaji Watatu ambao ni Mruma, Dkt. Rumisha na Dkt. Longopa. Akizungumzia shauri hilo, Wakili Maduhu William amesema "Tutaipigania Heshima na hadhi ya Uwakili Usiku na Mchana na bila kuchoka."
Soma zaidi https://jamii.app/LissuGerezaniVizingiti
#JamiiForums #JFSheria #Accountability #JFMatukio
Soma zaidi https://jamii.app/LissuGerezaniVizingiti
#JamiiForums #JFSheria #Accountability #JFMatukio
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KAGERA: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, ameyasema hayo Machi 27, 2026 katika mkutano wa hadhara Wilaya ya Bukoba Mjini.
Soma https://jamii.app/KenaniAmani
#JamiiForums #Governance
Soma https://jamii.app/KenaniAmani
#JamiiForums #Governance
❤1
MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kurekebisha mitaro ya maji maeneo ya barabara ya Kabwe kuelekea Block T, kwani ni hatari kwa usalama na kwa Afya za wananchi wa eneo hilo.
Zaidi https://jamii.app/BarabaraKabweMbeya
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/BarabaraKabweMbeya
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Katika mjadala huu wa “Mchakato wa Uhakiki wa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari unaendana na kasi ya kuenea kwa Taarifa Potofu?”, tutachambua kwa kina namna Vyombo vya Habari vinatumia teknolojia pamoja na rasilimali zilizopo kukabiliana na Taarifa Potoshi.
Usikose kujiunga nasi Machi 30, 2026, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia Instagram Live ya JamiiForums.
#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
Usikose kujiunga nasi Machi 30, 2026, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia Instagram Live ya JamiiForums.
#MisinformationAndDisinformation #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck