KENYA: Wanafunzi walidai kuwa maafisa wa polisi waliotumwa kudhibiti vurugu hizo walitumia nguvu kupita kiasi, wakifyatua risasi za moto huku Maafisa wa Polisi kumi na sita walijeruhiwa katika ghasia hizo.
Zaidi https://jamii.app/WanafunziLaikipia
#JamiiForums #HumanRights
Zaidi https://jamii.app/WanafunziLaikipia
#JamiiForums #HumanRights
AFRIKA KUSINI: Tuhuma hizo ziliibuliwa na 'Madlanga Commission', Tume ya Uchunguzi wa Kijaji iliyoundwa na Rais Cyril Ramaphosa kuhusu uhalifu na rushwa ndani ya Vyombo vya Sheria.
Zaidi https://jamii.app/PolisiRushwaAfrikaKusini
#JamiiForums #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/PolisiRushwaAfrikaKusini
#JamiiForums #Uwajibikaji
β€1
Machi 26, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huuππ
Zaidi tembelea https://jamii.app/KamandaAlireza
#JamiiForums #GlobalPolitics
Zaidi tembelea https://jamii.app/KamandaAlireza
#JamiiForums #GlobalPolitics
β€1
MARA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Waziri wa Madini kushughulikia changamoto zinazokabili Wafanyakazi 160 wa Mgodi mdogo uliopo Kijiji cha Kwitope, akidai Maafisa wa Serikali waliofikishiwa malalamiko yao hawajayafanyia kazi.
Mdau anadai mmoja kati ya Maafisa wa Serikali aliwadokeza kuwa changamoto zao kimkataba zinakuwa βtataβ kushughulikiwa sababu nyaraka zinaonesha Kampuni imesajiliwa kama ya Ujenzi wakati inajihusisha na uchimbaji madini.
Zaidi https://jamii.app/MgodiMusoma
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026

Mdau, ni mwigizaji gani wa filamu ana mvuto wa kipekee unaokufanya usikose kazi zake, na nini kinakuvutia kutoka kwake?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/FavMovieActor
#JamiiForums #JFBurudani #JFChitChat
Fuatilia zaidi https://jamii.app/FavMovieActor
#JamiiForums #JFBurudani #JFChitChat
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya ya Kinywa na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo, Machi 26, 2026 katika uzinduzi wa maonesho ya Kimataifa ya Vifaa na Huduma za Afya ya Kinywa na Meno (Tanzania Dental EXPO) ambapo maonesho hayo yatafanyika rasmi Mei 28β30, 2026 Jijini Dar es Salaam.
Zaidi https://jamii.app/MenoKuoza
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth
Zaidi https://jamii.app/MenoKuoza
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth
Mdau anapendekeza maboresho ya Kiutawala ndani ya Halmashauri nchini ili kuongeza uwajibikaji, akidai changamoto nyingi zinasababishwa na Wakuu wa Idara na Vitengo kutowajibika na kuchangia utendaji kazi mbovu wa Watumishi wengine. Ameelekeza ujumbe ufike kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI.
Shiriki mjadala https://jamii.app/UtumishiHalmashauri
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #JFUwajibikaji
Shiriki mjadala https://jamii.app/UtumishiHalmashauri
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #JFUwajibikaji