Mdau, Baada ya kutoka kazini unafanya vitu gani kuuweka mwili sawa kwa siku inayofuata?
Zaidi https://jamii.app/KaziMapumziko
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/KaziMapumziko
#JamiiForums #Maisha
Machi 25, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu
Zaidi tembelea https://jamii.app/MsemajiWaziriIsraelAjiuzulu
#JamiiForums #GlobalPolitics
Zaidi tembelea https://jamii.app/MsemajiWaziriIsraelAjiuzulu
#JamiiForums #GlobalPolitics
Mdau, na wewe hupata msongo wa mawazo kwa kununua vitu vingi vyenye gharama kubwa ili uonekane unaenda na muda (trends) wakati huvihitaji?
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/StressTamaa
#JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/StressTamaa
#JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
Mdau umewahi kupata kadhia gani iliyosababishwa na Muamala kukwama kutokana na tatizo la Mtandao wa Kampuni ya simu?
Zaidi soma https://jamii.app/MuamalaKukwama
#JamiiForums #DigitalWorld #JFMdau2026 #JFHuduma #JFDigitali
Zaidi soma https://jamii.app/MuamalaKukwama
#JamiiForums #DigitalWorld #JFMdau2026 #JFHuduma #JFDigitali
Shule hasa za bweni, vyakula kama Wali, Ugali, Makande na Pilau vilipata majina ya utani kulingana na muonekano wao au mazingira ya shule ilipo. Majina haya ya utani yaliacha kumbukumbu zisizosahaulika kwa wanafunzi wengi.
Taja jina la utani unalokumbuka na sababu iliyo nyuma ya jina hilo😃
Fuatilia zaidi mjadala huo https://jamii.app/MajinaVyakulaShule
#JamiiForums #JFChitChat
Taja jina la utani unalokumbuka na sababu iliyo nyuma ya jina hilo😃
Fuatilia zaidi mjadala huo https://jamii.app/MajinaVyakulaShule
#JamiiForums #JFChitChat
MAREKANI: Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, alisema azimio hilo lina lengo la kufungua njia ya uponyaji pamoja na haki ya fidia kwa Kundi la Afrika lenye wanachama 54 ndani ya Umoja wa Mataifa, huku nchi zilizohusika na utumwa zikitakiwa kurejesha urithi wa kitamaduni, mabaki ya miili ya watu, pamoja na vitu vingine vilivyochukuliwa bila ridhaa au fidia kwa nchi husika.
Soma https://jamii.app/UNAfrikaUtumwa
#JamiiForums #Accountability #SocialJustice
Soma https://jamii.app/UNAfrikaUtumwa
#JamiiForums #Accountability #SocialJustice
❤1
KENYA: Wanafunzi walidai kuwa maafisa wa polisi waliotumwa kudhibiti vurugu hizo walitumia nguvu kupita kiasi, wakifyatua risasi za moto huku Maafisa wa Polisi kumi na sita walijeruhiwa katika ghasia hizo.
Zaidi https://jamii.app/WanafunziLaikipia
#JamiiForums #HumanRights
Zaidi https://jamii.app/WanafunziLaikipia
#JamiiForums #HumanRights
AFRIKA KUSINI: Tuhuma hizo ziliibuliwa na 'Madlanga Commission', Tume ya Uchunguzi wa Kijaji iliyoundwa na Rais Cyril Ramaphosa kuhusu uhalifu na rushwa ndani ya Vyombo vya Sheria.
Zaidi https://jamii.app/PolisiRushwaAfrikaKusini
#JamiiForums #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/PolisiRushwaAfrikaKusini
#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1