JamiiForums
34.2K subscribers
37.3K photos
2.97K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Machi 24, 2026: Baadhi ya mijadala fikirishi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com inayofaa kuifuatilia kama wewe ni mjasiriamali au ungependa kuwekeza kwenye masoko ya hisa
-
Maoni ya wadau kwenye mijadala hii ni fikirishi na yana mchango mkubwa sana kupanua uelewa wako wa mambo
-
Ni slide gani unaona inakugusa zaidi?
Vipi mdau, kwa nini unaendelea kuhodhi na kutunza vitu ambavyo huvitumii? Au tuachane na maisha yako? 😁

Kushiriki mjadala https://jamii.app/HoardingDisorder

#JamiiForums #MentalHealth #AfyaYaAkili
Mdau, wewe unaweza kuvumilia kukosa vyote lakini siyo kukosa kipi?🌚

Moja ya mijadala inayoendelea ndani ya JamiiForums.com

Fuatilia zaidi https://jamii.app/UvumilivuPesa

#JamiiForums #Maisha #JFLifestyle
UGANDA: Kesi hiyo ya Kikanda imefunguliwa baada Mahakama Kuu kuruhusu Mgombea Mkuu wa upinzani, Robert Kasibante 'Bobi Wine' kuondoa kesi yake ya kupinga matokeo ya Urais kutokana na ukosefu wa rasilimali. Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuapishwa Mei, 2026 kwa muhula mwingine wa uongozi ambapo alishinda kwa 71.65%.

Zaidi https://jamii.app/WanasheriaUchaguziUganda

#JamiiForums #Sheria #HumarRights #Democracy #AfricanPolitics
COLOMBIA: Waziri wa Ulinzi, Pedro Sanchez amesema ni mapema kubaini chanzo cha ajali hiyo huku akisisitiza kuwa hilo ni tukio la uchungu kwa nchi hiyo.

Soma https://jamii.app/MilitaryPlaneCrash

#JamiiForums #JFMatukio