JamiiForums
33.8K subscribers
37.4K photos
2.98K videos
32.9K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DODOMA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika kufuatilia uhalali wa fedha taslimu wanazotozwa Madereva Pikipiki na Bajaj wanaopita eneo la geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) kama ni halali au kuna mazingira ya 'upigaji'.

Zaidi https://jamii.app/UDOMSUMA

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zimetimia Siku 24 tangu kuanza kwa mashambulizi yanayohusisha Israel na Marekani dhidi ya Iran yaliyoanza Februari 28, 2026, wakati huohuo bei ya nishati ya mafuta nayo inazidi kupanda.

Zaidi https://jamii.app/IranTrump

#JamiiForums #JFDiplomacy
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), Flora Nguma ametoa ufafanuzi kuhusu matukio ya wizi wa Mita za Maji Kilimanjaro.

Ikumbukwe, Machi 11 2026, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kuwa bora Mita hizo ziwe ndani ya uzio kwa kuwa matukio ya wizi yameripotiwa mara kadhaa na bado yanaendelea kujitokeza.

Zaidi https://jamii.app/MUWSAWiziMita

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma #JFMdau2026
1
KENYA: Wakizungumza Ijumaa, Machi 20, 2026, Makindu, Kaunti ya Makueni, Viongozi wa Upinzani wakiwemo Kalonzo Musyoka, Justin Muturi na Eugene Wamalwa, wameitaka #IEBC kuachana na teknolojia ya #Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwaka 2027.

Soma zaidi https://jamii.app/IEBCUchaguziSmartmatic

#JamiiForums #Democracy #Governance #AfricanPolitics
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Uongozi wa Jiji kuboresha maeneo yaliyotengwa kuwa bustani, kwani hali ilivyo mengi ni kama yametelekezwa au kutumika kwa miradi mingine.

Anatoa mfano eneo la Mnazi Mmoja kwamba lipo karibu na Hospitali ya Mnazi Mmoja, inakuwaje mamlaka zinashindwa kuboresha hadi linageuka mazalia ya mbu? Maafisa wa Mazingira wanafanya kazi gani?

Zaidi tembelea https://jamii.app/MnaziMmojaUchafu

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #PublicHealtth
Mdau, ni hatua gani Mzazi anapaswa kuchukua kumsaidia Mtoto anayetukana ili aachane na tabia hiyo?

Fuatilia zaidi
https://jamii.app/MaleziMtotoLugha

#JamiiForums #JFMalezi #Uwajibikaji #Maisha
Mdau, umewahi kukwamishwa na lugha ulipoingia kwenye chumba cha usaili?😅

Fuatilia mjadala https://jamii.app/InterviewKingereza

#JamiiForums #Maisha
Machi 24, 2026: Baadhi ya mijadala fikirishi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com inayofaa kuifuatilia kama wewe ni mjasiriamali au ungependa kuwekeza kwenye masoko ya hisa
-
Maoni ya wadau kwenye mijadala hii ni fikirishi na yana mchango mkubwa sana kupanua uelewa wako wa mambo
-
Ni slide gani unaona inakugusa zaidi?