JamiiForums
33.8K subscribers
37.4K photos
2.98K videos
32.9K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, ni njia gani zingine unazifahamu?

Bofya kushiriki https://jamii.app/IdeaYaBiashara

#JamiiForums #JFMaisha
UPDATES: Kufuatia changamoto iliyowasilishwa na Mdau wa JamiiForums.com kuhusu kushindwa kujisali na kuhuisha leseni kwenye mfumo wa Kidigitali iliyowakumba Madaktari, Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT), Dkt. David Mnzava amesema mfumo unarekebishwa na muda wa usajili umeongezwa mpaka Aprili 30, 2026.

Zaidi https://jamii.app/MfumoMadaktari

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma
Tunakutakia Sikukuu Njema ya Eid al-Fitr. Iwe siku ya furaha na baraka tele kwako na familia yako

Tembelea JamiiForums.com kushiriki mijadala mbalimbali.

#JamiiForums #EidAlFitr
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
1
Mdau, vipi mualiko wa Eid umeshafika au bado unasikilizia?😃

Tembelea JamiiForums.com kushiriki mijadala mbalimbali.

#JamiiForums #JFChitChat #EidAlFitr
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mtag mwenye fundi wake aje aone😂

Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija📌📌

#JamiiForums #JFChitChat
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Mruma, ametoa pongezi hizo katika Baraza la Eid el-Fitri, Machi 21, 2026.

Zaidi bofya https://jamii.app/PongeziZaBakwata

#JamiiForums #Utawala #EidMubarak
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (#BAKWATA), Alhaj Nuhu Mruma, ametoa kauli hiyo Machi 21, 2026 katika Baraza la Eid el-Fitr.

Zaidi bofya https://jamii.app/BakwataFunzo

#JamiiForums #Uwajibikaji #EidMubarak #Democracy
1
Mdau, ukiachana na ukweli kwamba Watu watakuja na kuondoka kwenye Maisha yako, ni kipi kingine umelazimika kukubaliana nacho baada ya kuwa Mtu mzima?

Moja kati ya mijadala inayoendelea https://jamii.app/Ukwelimgumu
UGANDA: Taarifa ya tovuti ya Daily Monitor imeeleza Mkuu wa Wilaya ya Luuka (RDC), Rogers Ntogona alithibitisha kuwa Mugeere anatambulika rasmi kama mnufaika wa mpango wa kusaidia wahanga wa Lakwena, lakini malipo yake yamekwama kutokana na zoezi la uhakiki linaloendelea kwa amri ya Ikulu.

Zaidi tembelea https://jamii.app/AhadiRaisMuseveni

#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Arusha: Mwananchi ametoa kauli hiyo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre House, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/KatibaUhuruMaoni

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #UhuruWaMaoni
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau anasema hali ya Barabara Kuu kutoka Dareda Mkoani Manyara hadi Singida ni mbaya, magari yanalazimika kutembea kwa mwendo mdogo kwa kuwa mashimo ni mengi na ukiendesha gari kwa mwendo wa kasi unaweza kusababisha ajali au chombo kupata uharibifu.

Anadai Oktoba 2025, TANROADS waliweka udongo kuziba mashimo ambayo kimsingi yalikuwa kama 'Mahandaki' kutokana na ukubwa wake, lakini baadaye udongo huo uliondolewa na mvua na mashimo kurejea kama awali.

Amehoji iwapo viongozi hawaoni hali hiyo ilhali ni njia kuu inayotumiwa na magari yanayoelekea na kutoka Kanda ya Ziwa.

Bofya https://jamii.app/DaredaManyara

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji

Nawe pia unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com📌📌
1