JamiiForums
34K subscribers
37.3K photos
2.98K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Tanzania imeshika nafasi ya 138 kati ya Nchi 147 kwenye ripoti hiyo ambayo huandaliwa na Kituo cha Utafiti wa Ustawi wa Chuo Kikuu cha Oxford kwa ushirikiano na Gallup na Umoja wa Mataifa na ambayo uhusisha takriban Watu 100,000 katika nchi 140.

Zaidi https://jamii.app/NchiFurahaTanzania

#JamiiForums #Maisha #UtawalaBora
KENYA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo (PS), Elijah Mwangi, ametahadharisha kuwa nchi hiyo inatakiwa kukamilisha malipo hayo ifikapo Machi 30, 2026. Hali hii inatia wasiwasi kwani washirika wenza katika zabuni ya "East Africa Pamoja," yaani Uganda na Tanzania, tayari wameshalipa fedha.

Zaidi https://jamii.app/AFCONKenya

#JamiiForums #JFSports #AFCON2027
Mdau, wewe umeshapokea zawadi ya Pashmina au kuna mchongo unausikilizia?😅
Anonymous Poll
0%
Limetua mapema kabisa😌
15%
Kuna mchongo anausikilizia🤞
85%
Pashmina ndo nini tena Wakuu?🤔
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC), William Maduhu ametoa kauli hiyo Machi 19, 2026 katika mahojiano na Jambo TV, alipokuwa akielezea mwenendo wa kesi ya uhaini inayowakabili watuhumiwa waliokamatwa Oktoba 29, 2025.

Zaidi tembelea https://jamii.app/WatuhumiwaKesiYaUhaini

#JamiiForums #JFSheria #JFMatukio
1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Mwananchi huyo ametoa kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.

Zaidi tembelea https://jamii.app/VijanaUwazi

#JamiiForums #Demokrasia #Democracy
TANGA: Ikumbukwe Februari 28, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alisema Walimu wengi wa Shule ya Msingi Kishangazi kuanzia chekechea hadi darasa la Saba hawafiki shuleni isipokuwa mmoja tu, huku wengine wakionekana mtaani wakati wa kazi, akatoa wito mamlaka zifuatilie na kuchukua hatua kwa kuwa waathirika wakubwa ni Wanafunzi.

Zaidi https://jamii.app/KishanganiShule

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu
Mdau ndani ya JamiiForums.com ametoa wito kwa mashirika na taasisi zinazotangaza ajira kupitia tovuti ya Ajira Portal, kama hawana utayari wa kuajiri Watu kwa muda wanaotangaza wasiweke hadharani kwa kutangaza, kwani wanapochelewa kujibu inawavuruga waombaji na kuwaweka katika mazingira ya presha na pia inawaumiza.

Zaidi https://jamii.app/AjiraPortalMnazingua

#JamiiForums #JFMdau2026
1👍1
TANZIA: Muigizaji Carlos Ray "Chuck" Norris (86) alizaliwa Oklahoma Mwaka 1940 na kabla kuingia kwenye tasnia ya filamu aliwahi kuwa katika Jeshi la Anga la Marekani. Safari yake ya kuigiza ilianza Mwaka 1972 alipoigiza filamu ya Way of the Dragon na mugizaji Bruce Lee.

Staa huyo wa Filamu nyingi za mapigano ikiwemo A Force of One na Missing in Action, enzi zake alisifika kwa kuwa mkali wa kupigana kwenye muvi pamoja na zile za kivita akionekana kutumia silaha mbalimbali kwa ustadi mkubwa.

Umemfahamu Chuck Norris kupitia muvi gani?

Zaidi https://jamii.app/ChuckNorrisDead

#JamiiForums #ChuckNorrisDead
Mdau, ni njia gani zingine unazifahamu?

Bofya kushiriki https://jamii.app/IdeaYaBiashara

#JamiiForums #JFMaisha