Kufuatia agizo hilo la kuondoa magari chakavu, Mwenyekiti wa Shirikisho la Waendesha Teksi Uganda, Rhasid Ssekindi amesema madereva hawakushirikishwa wala kupewa elimu ya kutosha kuhusu utekelezaji wa agizo hilo la Serikali.
Zaidi tembelea https://jamii.app/MagariUganda
#JamiiForums #Utawala #Governance
Zaidi tembelea https://jamii.app/MagariUganda
#JamiiForums #Utawala #Governance
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Mwananchi ametoa kauli hiyo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/HakiNaUchaguzi
#JamiiForums #Governance #Democracy
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/HakiNaUchaguzi
#JamiiForums #Governance #Democracy
Mdau ni swali gani hupendi kuulizwa au ukiulizwa linakukasirisha? Tiririka kwenye comments! 🏃🏾♂️💨
Kusoma maoni ya wadau wengine https://jamii.app/SwaliHupendiKuulizwa
#JamiiForums #JFChitChats
Kusoma maoni ya wadau wengine https://jamii.app/SwaliHupendiKuulizwa
#JamiiForums #JFChitChats
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com anadai kuwa Barabara ya Chalinze kwa Mwarabu kuelekea Talawanda Sekondari ina hali mbaya na kwamba ubovu wa Daraja la Mbiki unachangia kuwaumiza Watumiaji kwa kuwa wanapata athari nyingi ikiwemo kupoteza maisha.
Ametoa wito kwa Serikali kutanua daraja hilo, pia iwekwe mitaro pembeni ya Barabara kwa kuwa wakati wa mvua maji yanatiririka barabarani na kuzidi kuharibu miundombinu hiyo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/ChalinzeBarabara
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
Ametoa wito kwa Serikali kutanua daraja hilo, pia iwekwe mitaro pembeni ya Barabara kwa kuwa wakati wa mvua maji yanatiririka barabarani na kuzidi kuharibu miundombinu hiyo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/ChalinzeBarabara
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Mdau anasema sehemu ya barabara ya kuelekea Chuo cha CBE, Mitaa ya Nyakato Mecco imeharibika na kuwa hatari kwa watumiaji, pia Barabara ya Kangae ina miezi 9 tangu iharibike, kuna mashimo mengi na hakuna hatua za urekebishaji zilizofanyika, hivyo ametoa wito mamlaka zinazohusika zishughulikie changamoto hiyo.
Zaidi https://jamii.app/BarabaraCBENyakato
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #UtawalaBora
Zaidi https://jamii.app/BarabaraCBENyakato
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #UtawalaBora
❤1
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa wahusika kurekebisha mfumo wa uombaji leseni wa Baraza la Madaktari (MCT), akidai una changamoto za kimtandao na unaathiri waombaji.
Zaidi https://jamii.app/MfumoLeseni
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/MfumoLeseni
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir ametangaza kuwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utaendelea kesho Machi 20, 2026, kutokana na kutotimia kwa vigezo vya kuandama kwa mwezi na hivyo Waumini wa Dini ya Kiislamu watasheherekea Sikukuu ya Eid El Fitri, Siku ya Jumamosi ili kukamilisha idadi ya siku za mfungo zinazotakiwa.
Zaidi: https://jamii.app/MweziEid
#JamiiForums #Utawala
Zaidi: https://jamii.app/MweziEid
#JamiiForums #Utawala
❤1
Tanzania imeshika nafasi ya 138 kati ya Nchi 147 kwenye ripoti hiyo ambayo huandaliwa na Kituo cha Utafiti wa Ustawi wa Chuo Kikuu cha Oxford kwa ushirikiano na Gallup na Umoja wa Mataifa na ambayo uhusisha takriban Watu 100,000 katika nchi 140.
Zaidi https://jamii.app/NchiFurahaTanzania
#JamiiForums #Maisha #UtawalaBora
Zaidi https://jamii.app/NchiFurahaTanzania
#JamiiForums #Maisha #UtawalaBora
KENYA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo (PS), Elijah Mwangi, ametahadharisha kuwa nchi hiyo inatakiwa kukamilisha malipo hayo ifikapo Machi 30, 2026. Hali hii inatia wasiwasi kwani washirika wenza katika zabuni ya "East Africa Pamoja," yaani Uganda na Tanzania, tayari wameshalipa fedha.
Zaidi https://jamii.app/AFCONKenya
#JamiiForums #JFSports #AFCON2027
Zaidi https://jamii.app/AFCONKenya
#JamiiForums #JFSports #AFCON2027