JamiiForums
34.2K subscribers
37.3K photos
2.97K videos
32.8K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau wa JamiiForums.com ndani ya JamiiForums.com amewasilisha kero ya changamoto katika eneo la Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi, akidai kuna mashimo ambayo yamekuwa yakisababisha foleni na ajali, ameshauri mamlaka husika kushughulikia kero hiyo.

Zaidi https://jamii.app/BarabaraMataaEssoChangamoto

#JamiiForums #JFHuduma #JFUwajibikaji
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Wakili Robert Majige aliyasema hayo Machi 16, 2026 katika mahojiano na Crown FM

Zaidi tembelea https://jamii.app/KuzimaMtandao

#JamiiForums #DigitalRights #HakiZaDigitali
KAGERA: Mdau wa JamiiForums.com amewasilisha hoja kuwa Mamlaka za Shule kwa kushirikiana na Wazazi na Walezi wa Wanafunzi kuweka utaratibu mzuri wa kuwawezesha Wanafunzi wote kupata chakula kwani kusoma bila kula kunaweza kuathiri uwezo Mtoto kujifunza.

Zaidi tembelea https://jamii.app/WanafunziNjaa

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFElimu #ChildRights
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KILIMANJARO: Msanii wa Bongo Fleva, Amani Temba (Mhe. Temba) ameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha barabara ya Kijiji cha Old Moshi eneo la Tella inawekewa lami ili kurahisisha usafiri. Amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Zaidi tembelea https://jamii.app/OldMoshiRoad

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma
1
Mdau wa JamiiForums.com anazitaka mamlaka kufuatilia mahudhurio ya Walimu wa Shule ya Msingi Kishangazi kwani anadai anayefika shule ni Mwalimu Mmoja, wengine wakikosekana huku wakiwa hawana sababu za msingi.

Zaidi tembelea https://jamii.app/WalimuKutorokaShule

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFElimu

Nawe pia unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia WhatsApp +255743440000 au FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com📌📌
1
KILIMANJARO: Mdau wa JamiiForums.com amesema kuna changamoto ya Mita za Maji kuibiwa kwenye maeneo ya Wilayani Moshi, akieleza kwamba matukio hayo yamesababisha usumbufu na kuwapa hasara kubwa Wananchi

Anatoa wito mamlaka zichukue hatua za kukomesha wizi huo na ikiwezekana iruhusiwe Mita kuwekwa ndani ya uzio wa nyumba kuliko ilivyo sasa ambapo Maafisa wa Maji wanaelekeza ziwekwe nje ya uzio.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/WiziMitaMoshi

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau ametoa wito kwa mamlaka husika kuondoa vifusi vilivyotelekezwa kwenye barabara ya Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 na kuachwa hadi sasa kwani vimekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Zaidi tembelea https://jamii.app/BarabaraTegeta

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
DAR: Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Faustine Mafwele ni miongoni mwa Mashahidi 43 wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya askari wanaotuhumiwa kughushi vibali vya kumiliki silaha.

Kesi hiyo inawakabili Watu tisa, wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi, inasikilizwa na Hakimu Mwandamizi, Geofrey Mhini, na inatarajia kuanza kusikilizwa Aprili 2026.

Bofya kusoma zaidi https://jamii.app/MafweleUshahidi

#JamiiForums #JFSheria
1