Michael B. Jordan ameshinda tuzo yake ya kwanza ya Muigizaji Bora wa Kiume kupitia filamu ya Sinners kwenye Tuzo za 98 za Academy (Oscars) zilizofanyika Machi 15, 2026.
Kati ya filamu zote za Michael B. Jordan, ipi ni pendwa kwako na unadhani ilipaswa kumpa Oscar mapema kabla ya Sinners?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MichaelJordanWinsOscar
#JamiiForums #JFEntertainment

❤1
ENGLAND: Klabu ya Chelsea imefungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, miezi tisa ya kutosajili wachezaji wa Academy, pamoja na kutozwa faini ya zaidi ya Tsh. Bilioni 36 (Pauni Milioni 10.75) na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich.
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChelseaYafungiwa
#JamiiForums #JFSports
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChelseaYafungiwa
#JamiiForums #JFSports
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Msemaji wa AzamFC, Thabith Zakaria (Zakazakazi) ametoa kauli hiyo Machi 16, 2026 wakati akijibu swali la Mwanahabari kuhusu Yanga kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mchezo wao kukiwa na tuhuma za kupulizwa kwa dawa kwenye vyumba kabla ya mchezo baina ya timu hizo iliomalizika kwa 0-0.
Je, Mdau, tuhuma za kupulizwa dawa zenye kemikali katika vyumba vya Wachezaji kujirudia mara kwa mara, zina afya kwa soka la Tanzania?
Zaidi bofya https://jamii.app/SumuKwenyeVyumba
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Je, unakubaliana na hoja ya Mdau kuwa Mchemsho ndio supu yenyewe au kuna tofauti?🤔
Zaidi tembelea https://jamii.app/SupuMchemsho
#JamiiForums #JFMdau2026 #Maisha #JFMapishi
Zaidi tembelea https://jamii.app/SupuMchemsho
#JamiiForums #JFMdau2026 #Maisha #JFMapishi
Ukiingia chumba ulichokodi kisha ukagundua kuna kamera ya siri inakutazama, hatua yako ya kwanza itakuwa ipi?
Mjadala zaidi https://jamii.app/HatuaKameraSiri
#JamiiForums #HiddenCameras #DataPrivacyAndProtection #TaarifaZakoNiZako
Mjadala zaidi https://jamii.app/HatuaKameraSiri
#JamiiForums #HiddenCameras #DataPrivacyAndProtection #TaarifaZakoNiZako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Mdau wa JamiiForums.com anaishauri Serikali ifanye marekebisho ya Barabara Ipole kuelekea Mbeya akidai Wananchi wanaoitumia kila siku wanateseka.
Anadai kuna muda abiria wanalazimika kushuka ili gari lipite kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BarabaraMbovuIpole
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Anadai kuna muda abiria wanalazimika kushuka ili gari lipite kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BarabaraMbovuIpole
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Una maoni gani kuhusu mbinu aliyopendekeza mdau kupunguza foleni Dar es Salaam?
Kushiriki mjadala huu bofya https://jamii.app/FoleniDar
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Kushiriki mjadala huu bofya https://jamii.app/FoleniDar
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Machi 16, 2026.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RCTaboraUtapeli
#JamiiForums #UsalamaMitandaoni #DigitalRights
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RCTaboraUtapeli
#JamiiForums #UsalamaMitandaoni #DigitalRights
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Leo, Machi 17, 2025, imetimia miaka 5 tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi?
Kushiriki, tembelea https://jamii.app/MagufuliMtanikumbuka
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi?
Kushiriki, tembelea https://jamii.app/MagufuliMtanikumbuka
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
❤1
Mdau wa JamiiForums.com ndani ya JamiiForums.com amewasilisha kero ya changamoto katika eneo la Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi, akidai kuna mashimo ambayo yamekuwa yakisababisha foleni na ajali, ameshauri mamlaka husika kushughulikia kero hiyo.
Zaidi https://jamii.app/BarabaraMataaEssoChangamoto
#JamiiForums #JFHuduma #JFUwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/BarabaraMataaEssoChangamoto
#JamiiForums #JFHuduma #JFUwajibikaji
👍1