JamiiForums
βœ”
33.8K subscribers
37.4K photos
2.98K videos
32.9K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KATAVI: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Machi 13, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

Soma https://jamii.app/MwiguluArdhiRais

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Machi 13, 2026: Moja ya Mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huuπŸ“ŒπŸ“Œ

Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/OfisiWaziriMkuu

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau
Je, unakubaliana na hoja ya mdau?

Kushiriki mjadala tembelea https://jamii.app/SiriFamilia

#JamiiForums #JFMdau2026 #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri Mwigulu ameyasema hayo leo Machi 13, 2026 wakati akizungumza na Wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

Ikumbukwe, Machi 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia changamoto ya ukosefu wa dawa katika Vituo vya Afya na Hospitali za Serikali akieleza kuwa dawa wanazoandikiwa na wataalam wa afya wanaelekezwa kwenda kununua katika 'famasi' za nje.

Soma zaidi https://jamii.app/DawaHospitalini

#JamiiForums #Uwajibikaji #PublicHealth #JFHuduma
Machi 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huuπŸ“ŒπŸ“Œ

Zaidi tembelea https://jamii.app/BotiKuzama

#JamiiForums #JFMatukio
DAR: Wadau wa JamiiForums.com wametoa wito kwa Mamlaka husika kutatua kero ya muda mrefu  ya kukatika kwa umeme mara kwa mara maeneo ya Kigamboni na Pugu Majohe.

Zaidi tembelea https://jamii.app/UmemePuguKigamboni

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma
Machi 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huuπŸ“ŒπŸ“Œ

Yapi maoni yako kwenye hili?

Zaidi tembelea https://jamii.app/MadalaliBidhaa

#JamiiForums #Uwajibikaji
Je, Unakubaliana na hoja ya Mdau? Wewe ulipataje β€˜connection’ ya kazi au biashara yako?

Zaidi tembelea https://jamii.app/KaziTaasisiNyeti

#JamiiForums #Maisha
Machi 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huuπŸ“ŒπŸ“Œ

Zaidi tembelea https://jamii.app/TumeUchunguzi

#JamiiForums #JFMatukio