Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mtumishi wa Umma Zanzibar ametoa wito kwa Wizara ya Afya kushughulikia mahitaji ya Wanafunzi wanaosoma vyuo vya ndani chini ya ufadhili wa Serikali, kwani wanapokumbana na changamoto nyingi ikiwemo za kifedha wanasababisha Wanafunzi kusoma katika mazingira magumu.
Soma https://jamii.app/PoshoPostgraduateZanzibar
#JamiiForums #Accountability #JFMdau2026
Soma https://jamii.app/PoshoPostgraduateZanzibar
#JamiiForums #Accountability #JFMdau2026
❤2
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ameelezea kubadilishwa kwa Kituo cha Buza Kanisani kulivyosababisha 'kilio' kwa Wananchi wengi wanaotumia daladala na kutoa wito kwa Halmashauri kutoa ufafanuzi na kutatua changamoto hiyo ambayo imesababisha gharama ya nauli kuongezeka.
Zaidi https://jamii.app/KituoBuza
#JamiiForums #JFHuduma #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/KituoBuza
#JamiiForums #JFHuduma #JFMdau2026
Februari 23, 2026: Mojawapo kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums muda huu📌
Zaidi tembelea https://jamii.app/TZUtekajiKenya
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
Zaidi tembelea https://jamii.app/TZUtekajiKenya
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amesema hayo Februari 23, 2026 wakati akizungumza na Vyombo vya Habari, makao makuu ya chama hicho, Magomeni.
Zaidi https://jamii.app/NondoFedha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
Zaidi https://jamii.app/NondoFedha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
DAR: Barua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Patrick Kipangula, imeeleza kuwa Mwandishi wa Habari, Kelvin Justine Raphael (Zungu) alikiuka maadili ya taaluma ya uandishi wa habari kupitia maudhui aliyoyachapisha kuhusu tukio la ucheleweshaji wa ndege ya ATCL lililotokea Februari 21, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bodi imejiridhisha kuwa mwandishi huyo alitoa kauli zenye matusi, kejeli pamoja na lugha isiyo ya staha na isiyozingatia mizania, kinyume na misingi na maadili ya taaluma ya habari.
Ikumbukwe, Februari 21, 2026 Zungu alichapisha maudhui katika Mtandao ya Kijamii akilalamikia kampuni hiyo ya ndege kwa kuchelewesha safari ya abiria waliokuwa Mwanza bila kutoa taarifa. Alidai hali hiyo ilimfanya kuchelewa na kupoteza fursa ya kusaini mkataba. Mapema leo, alilazimika kufuta maudhui hayo.
Soma https://jamii.app/ZunguATCLIthibati
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiYaKujieleza

❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UGANDA: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (#UNAIDS), Dkt. Winnie Byanyima ambaye ni Mke wa aliyekuwa mpinzani Mkuu Uganda, Dkt. Kizza Besigye amesema kumekuwepo na hali ya kutisha ya kuhalalisha mambo ambayo hayapaswi kabisa kuwa ya kawaida nchini hapo kama ongezeko la Watu kutekwa, kutupwa baada ya kutekwa au kupotea kabisa.
Ameongeza kuwa hali hiyo inataka kuonekana ya kawaida kwa sababu viongozi wakuu wanaweza kujitokeza wakijigamba hadharani kuhusu udhalilishaji huo kupitia Mitandao ya Kijamii, akitolea mfano Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi, ambaye ni mtoto wa Rais wa nchi hiyo, amekuwa akitumia Mitandao ya Kijamii kuunga mkono vitendo hivyo.
Dkt. Winnie aliyasema hayo Februari 21, 2026 alipokuwa akizungumza na Wanahabari kuhusu masuala mbalimbali ya Kisiasa nchini Uganda.
Soma https://jamii.app/WinnieAbductionUganda
#JamiiForums #Governance #UtawalaBora #Accountability #AfricanPolitics

Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kushughulikia mfumo mpya wa ulipaji kodi (Tax Payers Portal) akidai una changamoto ya Kimtandao na unasababisha usumbufu mwingi na hasara kwa baadhi ya Watumiaji.
Zaidi https://jamii.app/MfumoTRA
#JamiiForums #JFDigital #JFHuduma #Accountabiliy #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/MfumoTRA
#JamiiForums #JFDigital #JFHuduma #Accountabiliy #JFMdau2026
Mdau anauliza amelogwa au hii ni hali ya kawaida katika mahusiano? Maana hali hiyo haijawahi kutokea kwake!😃
Zaidi tembelea https://jamii.app/KumrudiaEx
#JamiiForums #JFMahusiano #JFChitChat
Zaidi tembelea https://jamii.app/KumrudiaEx
#JamiiForums #JFMahusiano #JFChitChat