KARAGWE, KAGERA: BASI LA KAMPUNI YA FIKOSHI LAGONGA TEMBO
> Tembo huyo amegongwa jana usiku katika eneo la Byenturege Kitengule wakati basi hilo lilipokuwa likitokea Mwanza
> Basi hilo lenye namba T 872 CJQ linafanya safari zake kati ya Mwanza na Karagwe
Soma > https://jamii.app/TemboKaragwe

DUBAI: MIGAHAWA YATAKIWA KUWEKA WAZI KALORI(CALORIES) ZILIZOPO KWENYE VYAKULA WANAVYOUZA
> Kwa kuanzia agizo hili litazihusu taasisi zenye matawi 5 ya migahawa na kufikia Novemba mwaka 2020 migahawa yote pamoja na hoteli itahusika
Soma => https://jamii.app/DubaiFoodMenus

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo na Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Juma Shamhuna amefariki dunia
> Alikuwa Mbunge wa Jimbo la Donge kuanzia mwaka 1995 kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)
Soma https://jamii.app/RIPShamhuna

MAAFISA ARDHI WOTE WA MKOA WAHAMISHWA SABABU YA MIGOGORO
> Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi ameagiza hivyo kutokana na kukithiri kwa migogoro ya ardhi Mkoani Morogoro licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali katika kutatua migogoro ya ardhi
> Aidha, ameamua kuirejesha kanda ya Mashariki ambayo sasa itakuwa kanda maalum ya ardhi ya mkoa huo
Soma - https://jamii.app/UhamishoArdhiMRG

MBUNGE STEVEN MASELE AWASILI BUNGENI KWA AJILI YA KUJOHIWA
> Mbunge huyo wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika(PAP) atahojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu
Soma - https://jamii.app/MaseleKamatiMaadili

KAMPUNI YA GOOGLE YATANGAZA KUACHA KUFANYA KAZI NA KAMPUNI YA HUAWEI
> Kampuni kubwa ya Teknolojia duniani(Google) imetangaza leo kuacha kufanya kazi na kampuni ya simu ya nchini China Huawei, kufuatia amri ya Marekani ya kuzuia matumizi ya vifaa vya Huawei kwa madai kuwa vinahatarisha usalama
> Simu zote za Huawei zenye mfumo wa 'Android' hazitaweza kufanya 'Updates'
Soma - https://jamii.app/GoogleBanHuawei
#JFTeknolojia

POLISI TABORA WAAGIZWA KUZIACHIA PIKIPIKI ZOTE WALIZOKAMATA
> Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limepewa saa kadhaa leo Mei 20, kuziachia pikipiki zote walizozikamata na ikifika jioni bila agizo hilo kutekelezwa, watakumbana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola
> Ametaja makosa ya pikipiki kutakiwa kupelekwa kituo cha Polisi kuwa ni kesi za uhalifu, zinazoibiwa na zisizo na wenyewe na kwamba makosa mengine ni ya kulipa faini
Soma - https://jamii.app/LugolaPolisiPikipiki

TANZIA: BRIGEDIA MSTAAFU, HASSAN NGWILIZI AFARIKI
> Amefariki muda mfupi uliopita ktk Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipatiwa matibabu
> Aliwahi kuwa Mbunge wa Mlalo-Lushoto, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge
Soma - https://jamii.app/RIPBrigediaNgwilizi
#JFLeo

NAIROBI, KENYA: WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUIBA BIBLIA
> Biblia hizo zipatazo 800 zina thamani ya TSh. 20,987,764/= na walizipata kwa njia ya udanganyifu
> Hata hivyo wamekana mashtaka na kuachiwa kwa dhamana
Soma > https://jamii.app/WaibaBiblia

TATIZO LA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU
> Kwa kawaida mtu anapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku
> Mtu mwenye tatizo hili huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia. Ulimi huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni na tumbo kujaa wakati wote
> Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
Kufahamu tiba, soma - https://jamii.app/ConstipationDisease
#JFAfya

NYERI, KENYA: MWANAFUNZI AJIUA NA KUACHA UJUMBE WA LAWAMA KWA BABA YAKE
> Joan Mumbi(19) ameacha ujumbe unaoeleza kuwa shinikizo la Baba yake kutaka afanye vyema kwenye masomo huku yeye akiomba kuhamishwa shule ni moja ya sababu
Soma > https://jamii.app/MwanafunziAjiuaNyeri

NAPE AIOMBA SERIKALI KUMRUHUSU CAG KUKAGUA MALIPO YA KOROSHO
> Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema kuwa zoezi la ulipaji wakulima wa Korosho limetawaliwa na dhuluma pamoja na rushwa, huku akibainisha kuwa zaidi ya wakulima 1,181 mpaka sasa katika jimbo lake hawajalipwa pesa zao
> Ameishauri Serikali kumruhusu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, kwenda kufanya ukaguzi katika zoezi hilo ili kuubaini ukweli
Soma - https://jamii.app/MalipoKoroshoCAG

MKE WANGU ALINICHONGEA NIKAFUKUZWA KAZI, SASA ANANITESA
> Mdau wa JamiiForums anasema alikuwa akifanya kazi aliyotafutiwa na Mke wake na ndiye aliyesuka mpango wa kumuachisha kazi
> Anaomba ushauri wa hatua ya kuchukua kwani kwa sasa amekutwa Baba wa Nyumbani
Soma > https://jamii.app/MkeWanguAnanitesa

IFAD YATOA BILIONI 127.3 KUFADHILI MIRADI YA KILIMO TANZANIA
> Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) umetenga fedha hizo kwa ajili ya kufadhili miradi ya kilimo kwa kipindi cha miaka 3 kuanzia mwaka 2020
> Rais Magufuli amesema kuwa fedha hizo zitaelekezwa katika maeneo yenye maslahi mapana ya sekta ya kilimo na kuboresha ufugaji
Soma - https://jamii.app/IFADUfadhiliKilimo

MAISHA: NIMEAMUA KUINGILIA MADENI YA BABA NA KUYALIPA
> Mdau wa JamiiForums anasema kwa muda mrefu amejikita kumsaidia Mama yake hadi alipogundua Baba yake anateseka na madeni ya Benki
> Baada ya kupiga hesabu amegundua ana uwezo wa kuyalipa madeni hayo hadi mwisho wa mwaka
Zaidi, soma => https://jamii.app/MadeniYaBaba

JE, KULALA FENI IKIWA IMEWASHWA KUNAWEZA KUWA NA MADHARA GANI?
> Baadhi ya madhara hayo yaliyotajwa na wataalam wa afya ni pamoja na Upungufu wa maji mwilini hasa kama joto la chumba ni zaidi ya 35°C
> Feni inaweza kuwaletea matatizo watu wenye Pumu (Asthma) na maumivu ya shingo
Zaidi, soma => https://jamii.app/KulalaFeni

WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA WATEULIWA. POLEPOLE MMOJA WAO
> Waziri Lukuvi ameteua wajumbe 7 wa bodi ya shirika la nyumba la Taifa
> Wamo Immaculate Senye, Sauda Msemu, Abdallah Mwinyimvua, Humphrey Polepole, Martine Madeke, Mhandisi Mwita Rubirya na Charles Singili
Soma - https://jamii.app/BodiShirikaNyumba

DRC YAPATA WAZIRI MKUU, MOISE KATUMBI AREJEA NYUMBANI
> Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga Ilukamba kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo
> Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkuu wa Kampuni ya Reli ya Taifa(SNCC)
> Wakati huo huo, Mpinzani mkuu wa Rais mstaafu, Joseph Kabila amerejea DRC. Alihukumiwa kifungo cha miaka 3 jela akiwa nje ya nchi
Soma - https://jamii.app/DRCPmKatumbi

MALAWI: Leo Mei 21, wananchi wa Malawi wanapiga kura kuchagua Rais na Wabunge katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo
> Takribani watu milioni 7 wamejiandikisha kwa ajili ya kupiga kura
Soma - https://jamii.app/MalawiDecides

HAKIELIMU YATWAA TUZO YA UBORA WA AZAKI AFRIKA
> Taasisi ya HakiElimu yatwaa tuzo ya jumla ya Asasi za Kiraia barani Afrika kwa kuwa mstari wa mbele kupigania ustawi wa elimu
> Tuzo hiyo inajulikana kama The African Civil Society Excellence hutolewa na taasisi ya Epic Africa na hushindaniwa na Asasi zaidi ya 300 kutoka mataifa 46
Soma > https://jamii.app/HakiElimuTuzo

KENYA: MAHAKAMA YAONDOA KWA MUDA ZUIO LINALOHUSU MICHEZO YA KUBASHIRI
> Mahakama Kuu imeondoa kwa muda zuio lililowekwa Mwezi Aprili na Bodi ya Kudhibiti Kamari (betting) lililopiga marufuku watu maarufu kushiriki kwenye matangazo ya michezo hiyo hadi kesi iliyofunguliwa dhidi yake itakapoamuliwa
Soma - https://jamii.app/SportsBettingBan
#JFInternational