Kusoma kwa undani habari hizi na nyingine zilizojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #JamiiAfrica #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwaichi amesema kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hatupaswi kujiita Kisiwa cha Amani
Amesema “Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale yanayoendelea zama hizi katika nchi yetu, nashauri tusithubutu kujiita kuwa ni kisiwa cha amani. Tusithubutu kujitanabaisha kama kisiwa cha amani”
Zaidi https://jamii.app/KisiwaChaAmani
#JamiiForums #JamiiAfrica #SocialJustice #Governance #HumanRights #Accountability

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akizungumza na Wanahabari Juni 8, 2025 amesema wote wanaomsema vibaya Rais Samia Suluhu ni sawa na kuwa wanamsema Mungu ambaye ndiye aliyempa Mamlaka aliyonayo
Soma https://jamii.app/AlexMsamaSiasa
Video Credits: Torch Media
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #Democracy #UchaguziMkuu

DAR: Wakati Uongozi wa #Yanga ukitarajiwa kufanya kikao na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, leo Juni 9, 2025 kuhusu ajenda ya mchezo dhidi ya #Simba uliopangwa kuchezwa Juni 15, 2025, Klabu hiyo imesema matakwa yao yakisililizwa na kutekelezwa, timu itaingia uwanjani
Akijibu swali kupitia Wasafi FM, Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema “Yanga ni Klabu ya Mpira wa Miguu, kazi kubwa ni kucheza Mpira wa Miguu, matakwa ya Kamati ya Utendaji ya Yanga yaliyowasilishwa kwa Bodi ya Ligi yakisikilizwa na yakafanyiwa kazi bila shaka yoyote mbungi itapigwa.”
Mchezo huo ulipangwa kuchezwa Machi 8, 2025 lakini uliahirishwa baada ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mkapa siku moja kabla, Yanga ilipeleka timu uwanjani na kueleza haipo tayari kucheza mchezo huo Namba 184 wakati mwingine kwa madai maamuzi ya kutochezwa yalikuwa kinyume na utaratibu wa Kanuni za Ligi
Soma https://jamii.app/KamweYanga
#JFSports #JFLigiKuu25 #JamiiForums #KariakooDerby

Mdau wa JamiiForums.com ameshauri tuache kulalamika pale ambapo marafiki wakitutenga au wakibadilika kwani kuna sababu zinazofanya marafiki kuja na kuondoka katika maisha
Unakubaliana na hoja ya Mdau?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UsiogopeKupotezaMarafiki
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #Lifelessons

SINGIDA: Mdau wa JamiiForums.com anadai Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wanaoomba uhamisho wamekuwa wakikutana na usumbufu kutoka kwa Maafisa wanaohusika kupokea taarifa kutoka Makao Makuu ya UTUMISHI au TAMISEMI
Anadai hadi Mamlaka ya juu inakubali uhamisho ni kwamba umejiridhisha na sababu zilizotolewa lakini Maafisa wa Halmashauri hiyo wanawakwaza wengi kwa kukwamisha au kuchelewesha taratibu za uhamisho
Anaeleza kuwa Serikali ilipotambulisha uhamisho wa Kidigitali walitegemea utaboresha lakini hali imekuwa ngumu, hivyo anatoa wito kwa Katibu Mkuu UTUMISHI na Katibu Mkuu TAMISEMI na Waziri wa UTUMISHI kufuatilia kero hiyo ambayo imekuwa kikwazo kwa wengi na inashusha thamani ya Utumishi wa Umma
Soma https://jamii.app/SingidaUtumishi
#JamiiForums #Accountability #JFHuduma

RUVUMA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama chao hakina mpango wa kuahirisha Uchaguzi kama ambavyo “Wale wa Tonetone” wanavyopita na kutangaza kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa 2025
Amesema hayo alipokuwa katika Ofisi za CCM Mkoa, leo Juni 9, 2025 ikiwa ni Siku ya kwanza ya ziara yake Mkoani humo
Soma https://jamii.app/WasiraUchaguzi
#Siasa #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Democracy

Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imelalamikia uamuzi wa kutokabidhiwa uenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati (ECCAS), ambapo katika tamko lake imesema haina sababu ya kuendelea kuwa Mwanachama wa Jumuiya ambayo haitii misingi, uamuzi ambao bado haujawa wazi utachukuliwa lini
Aidha, Ofisi ya Rais wa DRC, Félix Tshisekedi, ikiongelea Uamuzi wa Rwanda kutokabidhiwa uongozi wa Jumuiya hiyo imesema Wanachama wa ECCAS wametambua “uchokozi wa Rwanda dhidi ya Congo” na kuitaka Rwanda kuondoa Wanajeshi wake kutoka ardhi ya Congo mara moja
Mvutano kati ya Rwanda na DRC umechochewa na tuhuma za uhusiano wa karibu wa Rwanda na Waasi wa M23 wanaopigana Mashariki mwa Congo, uhusiano ambao mara kadhaa Rwanda imeukana
Zaidi https://jamii.app/RwandaKujitoa
#JamiiForums #JamiiAfrica #Diplomacy

DAR: Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almas Kasongo amesema kikao chao na #Yanga kilichofanyika leo Juni 9, 2025 kilikuwa cha kupokea matakwa ya Klabu hiyo lakini sio cha kubadili maamuzi ya Mchezo wa Timu hiyo dhidi ya #Simba wa Juni 15, 2025
Sehemu ya matakwa ya Yanga yaliyotajwa ni kuwataka Watendaji kadhaa wa Bodi ikiwemo Mwenyekiti, Afisa Mtendaji kuachia ngazi na kuona Bodi hiyo inakuwa Chombo huru
Baada ya kikao hicho, Yanga imetoa tamko kuwa haitashiriki Mchezo huo Namba 184 mpaka pale matakwa yao waliyoyawasilisha kwa Maandishi yatakapotimizwa, hivyo wanaitakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Soka Tanzania katika kushughulikia Matakwa hayo
Soma https://jamii.app/KariakooDerbyUpdates
#JFSports #JamiiForums #JFLigiKuu25

DAR: Akihojiwa na Mwanahabari #SalamaJabir katika eneo la Kanisa lake Kawe, Mtume Bonicafe Mwamposa, amesema Mungu alimleta Rais Samia kwa makusudi, kwasababu angekuwa Mtu mwingine amechukua hiyo nafasi angeweka pembeni Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli
Zaidi https://jamii.app/MwamposaRais
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Governance
Zaidi https://jamii.app/MwamposaRais
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Governance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura amesema Rais Samia amefanya mambo mengi makubwa ambayo yalitakiwa kuwa yamefanyika ndani ya Miaka 50
Amesema hayo wakati wa sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, leo Juni 9, 2025.
Soma https://jamii.app/IGPWamburaJune9
#JFMatukio #Governance #JamiiForums #JamiiAfrica
Amesema hayo wakati wa sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, leo Juni 9, 2025.
Soma https://jamii.app/IGPWamburaJune9
#JFMatukio #Governance #JamiiForums #JamiiAfrica
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akihojiwa na Mwanahabari #SalamaJabir katika eneo la Kanisa lake Kawe, Mtume Bonicafe Mwamposa amesema Rais Samia aliwahi kumtuma Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila kupeleka sadaka yake ya Ujenzi wa Kanisa hilo, akisema kutambua kuwa kuna Watu wa Mungu ni jambo la Baraka, wanajua wana Rais na wanamuombea
Zaidi https://jamii.app/MwamposaRais
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Governance
Zaidi https://jamii.app/MwamposaRais
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Governance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura amesema “Mheshimiwa Rais tunakuahidi, Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la Polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwasababu yoyote ile”
IGP Wambura amesema hayo leo Juni 9, wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya Maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi
Soma https://jamii.app/WamburaAmani
#JamiiForums #Governance #Accountability #Kuelekea2025
IGP Wambura amesema hayo leo Juni 9, wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya Maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi
Soma https://jamii.app/WamburaAmani
#JamiiForums #Governance #Accountability #Kuelekea2025
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya #Rushwa kwa maelezo kuwa hayo yalikuwa maradhi makubwa kwa jeshi hilo na kwamba anapotumiwa video zikionesha matukio ya Rushwa za Barabarani naye anamtumia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura
Rais Samia ameeleza hayo katika sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi, leo Juni 9, 2025.
Soma https://jamii.app/RaisAkemeaRushwa
#JFMatukio #Governance #JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability

Kila mtu ana hadithi yake, sauti yake na mchango wake wa kipekee kwa dunia. Kuwa tofauti ni zawadi ni ishara ya ubunifu, uthubutu na utambulisho wa kweli.
Usiogope kuwa tofauti, ogopa zaidi kupotea kwenye kundi la watu wanaoishi kwa kujificha, bila kuishi maisha yao ya kweli. Kuwa wewe Dunia inakuhitaji jinsi ulivyo halisi na wa kipekee
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #GoodMorning #AmkaNaJF