#JFDATA: Ripoti ya Shirika la Reporters Without Borders inasema licha ya kuwepo Mabadiliko chanya katika baadhi ya Nchi, Hali ya #UhuruWaHabari bado si nzuri katika takriban 40% ya Nchi Barani Afrika
Kati ya Septemba 2022 hadi Januari 2023 Wanahabari watano waliuawa #Kenya, Cameroon, #Rwanda na Somalia
Zaidi, soma https://jamii.app/PFData
#PressFreedom #RSFIndex

RUVUMA: Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (#MCT), Kajubi Mukajanga akiwa Songea amesema Vyombo vya Habari vinaendelea kupokea vitisho vya Kiutawala, changamoto za Kiuchumi, Kibiashara na nyinginezo, hivyo kukwamisha Utendaji wao
Pia, Wakili Fulgence Massawe akiwasilisha hoja kuhusu Sheria za kusimamia #UhuruWaKujieleza amesema matukio ya Watu kukamatwa, kukamata Mali, faini, kuharibiwa Vifaa, kuchunguzwa au kufuatiliwa Mawasiliano binafsi yanachangia kuminya #UhuruWaHabari
Mambo mengine ni kubambikiwa mashtaka, hofu ya kushtakiwa, kudhibitiwa kwa Maudhui katika Vyombo vya Habari au Mitandaoni
Soma https://jamii.app/UhuruWaHabari
#JamiiForums #PressFreedom #Democracy #Governance #JFDemokrasia #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KENYA: Askari wa Kituo cha Polisi cha Lang'ata ameshambuliwa mitandaoni baada ya kurekodiwa akiwasumbua Wanahabari waliokuwa wakiripoti tukio la mgomo wa Wafanyakazi wa Makaburi ya Lang'ata, mgomo ambao Askari waliudhibiti kwa kutumia mabomu ya machozi
Askari huyo ameonekana akiwazuia Waandishi wa Citizen TV ambapo Mwandishi Mary Muoki alisema "Tunakulipa kwa kodi zetu hutakiwi kututendea hivi"
Katika video hiyo, Askari wengine walionekana wakimtuliza mwenzao asiendelee kukwaruzana na Wanahabari
Soma: https://jamii.app/PolisiUnyanyasaji
#JamiiForums #Governance #Accountability #UtawalaBora #UhuruWaHabari #FreedomOfSpeech

Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa Mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari, bado kuna Sheria zinazokandamiza Uhuru wa Habari na Kujieleza
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Dkt. Samwilu Mwaffisi, Mary Kafyome, Emmanuel Bulunde na Hawra Shamte, imeelezwa kuwa bado Waandishi wanakamatwa, wanapigwa, wananyimwa Habari, wanatukanwa au kudhalilishwa, siyo tu na Watu wasiojulikana bali pia na Vikosi vya Usalama na Maafisa wa Serikali
Imeelezwa kuwa, licha ya Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016, bado Sheria imebaki na baadhi ya Vifungu ambavyo vinatishia Uhuru wa Waandishi wa Habari pamoja na kuingilia Vyombo vya Habari
Soma https://jamii.app/MCTMediaReport
#JamiiForums #StateOfTheMediaTZ #FreedomOfExpression #PressFreedom #Governance #UhuruWaHabari #SMTReport2023

Akizungumza katika uzinduzi wa Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa Mwaka 2022/23, Mtafiti Dkt. Samwilu Mwaffisi amesema maoni ya Wadau wa Vyombo vya Habari kuhusu Uwekezaji Bandarini kupitia Kampuni ya DP World, yalionesha Serikali haikutoa mazingira huru kwa Waandishi kuripoti ukweli wa Makubaliano yaliyoingiwa
Amesema Wadau walisisitiza kuwa kulikuwa na mkanganyiko katika utoaji taarifa sahihi na kufanya iwe vigumu kwa Waandishi kubaini upande gani ulikuwa ukitoa taarifa za Ukweli
Pia, ripoti hiyo imeonesha hakukuwa na upatikanaji wa taarifa sahihi za kilichosababisha Wafugaji Jamii ya Kimasai kuondolewa katika maeneo ya Hifadhi ya Ngorongoro ambayo wamekuwa wakiishi kwa miaka mingi
Soma https://jamii.app/MCTMediaReport
#JamiiForums #StateOfTheMediaTZ #FreedomOfExpression #PressFreedom #Governance #UhuruWaHabari #SMTReport2023
Amesema Wadau walisisitiza kuwa kulikuwa na mkanganyiko katika utoaji taarifa sahihi na kufanya iwe vigumu kwa Waandishi kubaini upande gani ulikuwa ukitoa taarifa za Ukweli
Pia, ripoti hiyo imeonesha hakukuwa na upatikanaji wa taarifa sahihi za kilichosababisha Wafugaji Jamii ya Kimasai kuondolewa katika maeneo ya Hifadhi ya Ngorongoro ambayo wamekuwa wakiishi kwa miaka mingi
Soma https://jamii.app/MCTMediaReport
#JamiiForums #StateOfTheMediaTZ #FreedomOfExpression #PressFreedom #Governance #UhuruWaHabari #SMTReport2023
UHURU WA HABARI: Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema kuna dalili ya uwepo wa baadhi ya Vyombo vya Habari nchini kuacha kazi yake ya Kutoa Habari kwa Wananchi na badala yake kutumika kufanya Propaganda
Akizungumza kabla ya kuizindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa Mwaka 2022/23, Jaji Warioba amesema "Zipo dalili za baadhi ya Vyombo vya Habari kutoa habari za Propaganda, sasa sijui sababu ni Sera ya Uhariri? Lakini vinaelekea huko, kwa lugha maarufu ni 'Uchawa'"
Ameongeza "Siku hizi imekuwa ni rahisi kusifu, imekuwa kama fasheni, lakini kwenye kukosoa, Vyombo vya Habari vinajifanyia Udhibiti Binafsi (Self Censorship)"
Soma https://jamii.app/MCTMediaReport
#JamiiForums #StateOfTheMediaTZ #FreedomOfExpression #PressFreedom #Governance #UhuruWaHabari #SMTReport2023
Akizungumza kabla ya kuizindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa Mwaka 2022/23, Jaji Warioba amesema "Zipo dalili za baadhi ya Vyombo vya Habari kutoa habari za Propaganda, sasa sijui sababu ni Sera ya Uhariri? Lakini vinaelekea huko, kwa lugha maarufu ni 'Uchawa'"
Ameongeza "Siku hizi imekuwa ni rahisi kusifu, imekuwa kama fasheni, lakini kwenye kukosoa, Vyombo vya Habari vinajifanyia Udhibiti Binafsi (Self Censorship)"
Soma https://jamii.app/MCTMediaReport
#JamiiForums #StateOfTheMediaTZ #FreedomOfExpression #PressFreedom #Governance #UhuruWaHabari #SMTReport2023
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amewataka Wanahabari kutumia taaluma yao ya Uandishi kulinda amani na kusimamia misingi ya taaluma pamoja na maadili ya kazi yao
Amesema hayo katika hafla ya Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (#EJAT) kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Septemba 28, 2024
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #PressFreedom #FreedomOfExpression #EJATAwards #UhuruWaHabari
Amesema hayo katika hafla ya Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (#EJAT) kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Septemba 28, 2024
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #PressFreedom #FreedomOfExpression #EJATAwards #UhuruWaHabari
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza katika hafla ya Utoaji wa Tuzo za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania, (#EJAT), Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito kwa Jamii kuwa makini na matumizi ya Akili Mnemba (AI), ili kuondoa Upotoshaji, Uzushi na kuepuka kusababisha taharuki
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #EJATAwards #UhuruWaHabari #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #EJATAwards #UhuruWaHabari #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, akizungumza kwenye hafla ya Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (#EJAT) amesema Serikali ipo tayari kusikiliza mapendekezo ya Wadau wa Habari juu ya Sheria au Vipengele ambavyo wanaona havikidhi matamanio yao kwaajili ya kufanyiwa kazi
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #PressFreedom #FreedomOfExpression #EJATAwards #UhuruWaHabari
Soma https://jamii.app/EJATAwards2024
#JamiiForums #JFMatukio #PressFreedom #FreedomOfExpression #EJATAwards #UhuruWaHabari
#PRESSFREEDOM: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua Mashtaka dhidi ya Jambo Online TV kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Mwaka 2020 zilizorekebishwa Mwaka 2022
Taarifa hiyo imetolewa na Jambo Online TV na kueleza kuwa kituo hicho kinadaiwa kurusha hotuba za Tundu Lissu na Mwandishi Erick Kabendera zenye tuhuma dhidi ya Kampuni za Mawasiliano Tigo na Vodacom bila kutoa nafasi kwa Kampuni hizo kutoa maoni yao
Lissu alidai Tigo ilihusika kumfuatilia kabla ya kushambuliwa kwa risasi Mwaka 2017 huku Kabendera akidai Vodacom ilihusika kufanikisha kukamatwa kwake Mwaka 2019
Aidha, taarifa hiyo ya jambo imeeleza Kamati ya Maudhui ya TCRA imeitisha Kikao na Jambo Online TV mnamo Oktoba 17, 2024 ili kujieleza na kutoa utetezi wao kuhusu mashtaka hayo. TCRA imeonya kuwa iwapo kituo hicho kitashindwa kufika, hatua kali za Kisheria zitachukuliwa dhidi yake
Zaidi https://jamii.app/JamboTvTCRA
#JamiiForums #UhuruWaHabari #Democracy

DAR: Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kupitia Mwenyekiti wake Deodatus Balile, limesema halipendezwi na kitendo cha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, kushindwa kuhudhuria Mikutano muhimu inayokutanisha Wadau wa Habari
Balile, ameyasema hayo leo Novemba 7, 2024 katika Mkutano Mkuu wa 8 wa TEF, ambapo Waziri Silaa hakufika, na badala yake alimtuma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
Balile amesema "Sisi Kama Wahariri hatufurahishwi, na hatuwezi kuficha jambo hili, hatufurahishwi na Waziri. Alialikwa kwenye Mkutano wa PST hakwenda, alialikwa kwenye tuzo za Waandishi wa Habari hakwenda, alialikwa Mbeya kwenye tukio la Wadau wa Habari hakwenda, na sasa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri hajaja. Hii inaonesha kuwa hayupo tayari kushirikiana na wadau wa tasnia ya Habari"
Soma zaidi https://jamii.app/TEFvsWaziriSilaa
#JamiiForums #Governance #Accountability #Uwajibikaji #UhuruWaHabari #PressFreedom