This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#RUVUMA: Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius S. Mtatiro amesema kufungwa kwa Barabara Kuu ya Mangaka - Tunduru Mjini kumetokana na Mvua kubwa iliyosababisha Mto Muhuwesi kujaa Maji hadi juu ya Daraja
DC Mtatiro ameshauri Magari yanayotokea Mbeya, Iringa, #Songea na Mkoa wote wa Ruvuma kuelekea Mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Dar yanapovuka Tunduru Mjini yapaki kusubiri hali iwe sawa
Pia, Magari yanayotokea Mikoa ya Lindi, #Mtwara, Pwani na Dar es Salaam kuja Tunduru, yanashauriwa kusubiri Nakapanya, Namiungo au Majimaji
Soma https://jamii.app/KufungwaBrbrTunduru
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #Miundombinu

👍1
MARA: Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda, Karoli Mganga akishirikiana na Mhasibu wa Parokia, Gerald Mgendagenda wanatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Tsh. Milioni 800 Mali ya Parokia hiyo kinyume cha Sheria na Taratibu
Vilevile wanadaiwa kughushi sahihi za Watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha Wizi walioukusudia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase amesema Upelelezi umeshakamilika na watuhumiwa wako nje kwa dhamana wakisubiri Hati ya Mashtaka ya Serikali
Soma https://jamii.app/ParokoWiziBunda
#JamiiForums #Governance #Ubadhirifu

👍4
Siku ya #Kondomu Duniani ambayo huadhimishwa Februari 13 kila Mwaka, ilianzishwa Mwaka 2009 na Shirika la Kimataifa la Uzazi wa Mpango (International Planned Parenthood Federation)
Lengo la kuanzishwa kwake ni kuongeza ufahamu kuhusu matumizi ya Kondomu kama njia ya Kinga dhidi ya Mimba zisizotarajiwa na Magonjwa ya Zinaa, vilevile kuelimisha Umma kuhusu umuhimu wa #Afya ya Uzazi na Kinga
Soma https://jamii.app/CondomDay2024
#WorldCondomDay #StaySafe #JamiiForums #PublicHealth

#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Ibrahim Msabaha (72) amefariki dunia leo Jumanne, Februari 13, 2024 wakati akiwa njiani kutoka nyumbani kwake, Masaki kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jijini Dar es Salaam
Taarifa zimeeleza kuwa Dkt. Msabaha amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya hali yake kubadilika ghafla ikiwa ni siku chache tangu atoke Hospitali alikokuwa amelazwa
Aidha, Dkt. Msabaha amewahi kuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Kibaha, mkoani Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi
Soma Soma https://jamii.app/TanziaMsabaha
#JamiiForums #RIPIbrahimMsabaha

👍3❤1
#BUNGENI: Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, #Katiba na Sheria, Joseph Mhagama, imesema Bunge limeazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa Ndege nyingine ili kuboresha utoaji Huduma za Usafiri wa Anga kwa Viongozi Wakuu wa Kitaifa
Kamati imeeleza nia ya Azimio hilo inatokana na Wakala wa Ndege za Serikali kushindwa kuwahudumia kwa wakati Viongozi Wakuu pale zinapotokea safari za Viongozi wote kwa wakati mmoja
Kwa sasa kuna Ndege 3 zinazowahudumia Viongozi wa Serikali ya Tanzania ikiwemo Ndege moja inayomhudumia Rais
Soma https://jamii.app/AzimioNdegeViongozi
#JamiiForums #Accountability #Governance

👎10👍3
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com ametoa hoja kuwa licha ya Sheria ya Vileo Sura ya 77 ya Mapitio ya Sheria za Tanzania ya Mwaka 2002 kueleza taratibu za biashara hiyo, anadai uuzwaji wa pombe maeneo mengi si rafiki kiafya na kiusalama
Anadai hali hiyo imechangia baadhi ya Wanafunzi kununua na kunywa vileo bila kikwazo kutoka kwa wauzaji, pia, waathirika wengine ni madereva Bodaboda ambao wananunua kwa wingi na kunywa na baadaye wanaendelea na kazi Barabarani
Anashauri Serikali idhibiti utaratibu wa kuuza pombe mitaani zikiwemo zinazouzwa kwa mtindo wa kuwapimia wanywaji
Soma https://jamii.app/PombeMtaani
#JFHuduma #JamiiForums #PublicHealth

👍4❤2
Katika hali ya kutunza Usafi wa Mwili na Mazingira ya nyumba, kila kitu ikiwemo Mavazi na Mapambo vinapaswa kufuliwa au kuoshwa kwa muda maalum kabla ya kutumiwa tena
Vipi Mdau, unafua Mapazia au Nguo za Ndani kila baada ya muda gani?
Soma https://jamii.app/Usafi
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle

#LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi Maisha duni katika Kambi za Kijeshi
Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia katika Jiji la #Monrovia na maeneo mengi ya Nchi wakishinikiza Rais #JosephBoakai kusitisha Sherehe za Kitaifa za Jeshi huku wakimtuhumu Waziri huyo kufuja Fedha za Wanajeshi wanaorejea kutoka Vitani
Pia, wamedai Wanajeshi wamekuwa na hali mbaya kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, Kutokuwepo kwa Umeme wa Uhakika kwenye Makazi yao pamoja na ongezeko la Rushwa miongoni mwa Vikosi vya Jeshi
Soma https://jamii.app/LiberiaCS
#JamiiForums #SocialJustice #Governance #Accountability #JFSC

👍4❤3😁2
Vipi Mdau, una uhakika wa Kutoa au kupokea Zawadi ya #Valentines?
#JamiiForums #JFChitChats #Mahusiano #Mapenzi #Maisha

👍1😁1
TAKWIMU: Ligi Kuu ya England “#PremierLeague” msimu wa 2023/24 inaendelea tangu ilipoanza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024
Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi uwanjani ni #ManchesterUnited 3-0 #WestHamUnited (73,612) na iliyoshuhudiwa na mashabiki wachache zaidi ilikuwa #Bournemouth 0-0 #Chelsea (10,421)
Jumla ya tiketi ambazo zimenunuliwa hadi hatua iliyofikia ni 8,994,600
Soma https://jamii.app/EPLStats
#JFSports #JFDATA #JamiiForums

👍3❤1🔥1
AFRIKA KUSINI: Serikali ya #CyrilRamaphosa imesema itatuma Wanajeshi 2,900 kusaidia kulinda amani dhidi ya vikundi vya Waasi Nchini DR Congo ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (#SADC) kutokana na kukosekana kwa utulivu na kuzorota kwa usalama eneo la Mashariki mwa Taifa hilo
Ofisi ya Rais imesema Oparesheni hiyo ya Mwaka mmoja itaendelea hadi Desemba 2024 na itagharimu Dola za Marekani Milioni 105.75 (Tsh. Bilioni 267)
Aidha, Kikosi cha SADC kinajumuisha Wanajeshi kutoka #Malawi na #Tanzania ambao wote watashiriki katika mchakato huo
Soma https://jamii.app/SoldiersTDRCongo
#Diplomacy #Governance #JamiiForums

👍8💯1