bbcswahili (Instagram)
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis hii leo amekutana na wasusi, wanamitindo na wataalam wa mitindo ya ulimbwende mjini Vatican, lakini akawaonya dhidi ya kuwa na udaku ama umbea wakati wakiwa wanaendesha shughuli zao za kikazi.
#papafrancisco #vatican #urembo

BBC News Swahili
"Samahani sana,"
Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis katika hotuba yake ya kwanza hadharani nchini Canada, amewaomba msamaha waathirika wa shule za makazi asilia msamaha.
•
Papa Francis alionyesha "huzuni, hasira na aibu" kwa matendo ya waumini wengi wa kanisa Katoliki, ambao waliendesha na kuendesha shule nyingi za makazi nchini Canada.
•
Shule zilizofadhiliwa na serikali zilikuwa sehemu ya njama fiche iliyokusudiwa kuharibu tamaduni na lugha za kiasili.
•
Msamaha huo wa papa ulipokelewa kwa makofi kutoka kwa walionusurika katika hadhira, ambao baadhi yao walisafiri mbali kumsikiliza Papa akizungumza.
•
Papa mwenye umri wa miaka 85 aliutaja mfumo wa shule kuwa "kosa mbaya" na akaomba msamaha "kwa uovu uliofanywa na Wakristo wengi" dhidi ya watu wa kiasili.
•
•
•
#kanisakatoliki #papa #papafrancisco #popefrancis #bbcswahili #canada

Kiongozi wa kanisa Katoliki Baba Mtakatifu Papa Francis amekutana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye Ikulu ya Kitume mjini Vatican, Italia.
•
•
•
#bbcswahili #samiasuluhu #papafrancisco #romancatholic #dini #uongozi #tanzania #italia