HabariTech
197 subscribers
33 photos
4 videos
1 file
125 links
Bila shaka unataka kuwa na uhuru wa pesa (upate utajiri). Ni wazi kwamba unatamani kuifahamu tech vizuri kwa kuwa umeambiwa utajiri upo huku.

Ni kweli tech inapesa nyingi, ila kwanza ungana nasi ili usitumie pesa nyingi kujifunza na uweze kuokoa muda.
Download Telegram
Tunaachia uzi badae mjini twitter
SEO & Copywriting Course as PROJECT & FUN: 40 DAYS Challenge

FREE For 48 Hrs

Ukifungua link hii shuka chini mpaka ukute button imeandikwa "GET ON UDEMY" click hiyo button na utaipata course hii.

https://coursevania.com/courses/seo-copywriting-course-as-project-fun-40-days-challenge/
The Ultimate Python Guide for Beginners

FREE For 48 Hrs

Ukifungua link hii shuka chini mpaka ukute button imeandikwa "GET ON UDEMY" click hiyo button na utaipata course hii.

https://coursevania.com/courses/the-ultimate-python-guide-for-beginners/
Practical HTML5 Mastery Course

FREE For 48 Hrs


https://coursevania.com/courses/practical-html5-mastery-course/
SEO TRAINING 2021: Complete SEO Course + WordPress SEO Yoast

FREE For 48 Hrs

Wale wanaofanya Freelancing hii ni moja ya skills nzuri sana ambayo watu wanaitumia kupiga pesa.

https://coursevania.com/courses/seo-training-2021-complete-seo-course-wordpress-seo-yoast/
Cryptocurrencies: complet practical course on crypto trading

FREE For 48 Hrs

Wengi mtakuwa mmeshaona Ngailo na Ujanja Crypto wakiongelea sana Cryptocurrency. Somo hili hapa.

https://coursevania.com/courses/cryptocurrencies-complete-practical-course-on-crypto-trading/
Digital Nomad Lifestyle: LIVE YOUR DREAM & Travel the World

FREE For 48 Hrs

Digital nomad ni mtu kama Baraka Mafole nadhani wengi mtakuwa mmemuona twitter. Ni yule mtu ambaye kazi zake nyingi anazikamilisha mtandaoni.

https://coursevania.com/courses/digital-nomad-lifestyle-high-value-clients-attraction-2021/
2021 Microsoft Excel from A-Z: Beginner To Expert Course

FREE For 48 Hrs

Pivot tables, formulas, macros, vba, data analysis na umalize kwa kujifunza namna unaweza pata kazi yako ya kwanza ya excel.

https://coursevania.com/courses/2021-microsoft-excel-from-a-z-beginner-to-expert-course/
Cryptocurrency Trading for Beginners 2021 (CLICK-BY-CLICK)

FREE For 48 Hrs

Wazungu wanasema "The future is crypto". Kama wewe huwa unafanya uwekezaji mtandaoni au unatamani kujifunza cryptocurrency trading pitia hii course.


https://coursevania.com/courses/cryptocurrency-trading-for-beginners-2021-click-by-click/