HabariTech
197 subscribers
33 photos
4 videos
1 file
125 links
Bila shaka unataka kuwa na uhuru wa pesa (upate utajiri). Ni wazi kwamba unatamani kuifahamu tech vizuri kwa kuwa umeambiwa utajiri upo huku.

Ni kweli tech inapesa nyingi, ila kwanza ungana nasi ili usitumie pesa nyingi kujifunza na uweze kuokoa muda.
Download Telegram
Wakuu poleni sijawapa updates zozote hivi karibuni.

Nimebanwa kidogo na mitihani hapa chuo. Nitajitahidi kuendelea kuwajuza yanayoendelea.
Maumivu na Majibu yake

Dunia yetu imetoka mbali sana. Toka enzi za kina Charles Darwin mpaka leo kina Bill Gates na Elon Musk. Miaka ya kabla ya Darwin kulikuwa na umri wa mawe, tukaja umri wa chuma mpaka kufika mapinduzi ya viwanda na Umri aa Taarifa.


Tumepita huko kote na kufika tulipo leo sababu kubwa ni bindamu kujaribu kupata njia rahisi ya kutatua matatizo yake au kupunguza maumivu.

Nadhani unakumbuka namna binadam aligundua moto ili kuweza kupata joto.

Miaka ya 1950s bado kulikuwa na shida ya mawasiliano duniani. Wazungu wakaja na simu.

Mpaka mwaka 2008 gharama za kupiga simu kwenda nje ya nchi zilikuwa juu sana. 2010 ikaja whatsapp na kurahisisha maisha. Tukaweza pata mawasiliano na ndugu zetu wa mbali.

Swali langu kwako, leo hii wewe unapata maumivu yapi au niseme unaona kuna tatizo gani lipo katika jamii ambalo unadhani kuna namna Teknolojia inaweza rahisisha maisha yako.

Mfano binafsi natamani sana kuona Techies wa Tz wakiwa mahala pamoja kujaribu kutatua matatizo ya Tanzania. Hivyo pamoja na wenzangu tunatafuta namna ya kuwaleta pamoja.

Je, wewe una mtazamo gani juu ya maumivu au matatizo yaliyopo katika jamii? Sio lazima uwe na majibu yake ila kama yapo pia ni sawa.

Iwapo haupo huru kuweka jibu lako hapa group, usisite kunifata DM au katika whatsapp yangu kupitia 0753607400.


Karibu.
Leo hii tunatambulisha rasmi channel yetu ya Youtube kwa jina la HabariTech. Subscribe kupitia link hii usikose video yoyote pindi tunapoanza kazi.

https://www.youtube.com/channel/UCRfmVeQgiU4zL5h9TmoNt9g
Download app ya Pandemiki kutoka playstore uendelee kupata taarifa zinazohusu COVID-19 in real time.

Kama hiyo haitoshi basi niseme kwamba, ni ya hapa hapa tz (Made in Tz) by Abil Mdone

Link below https://play.google.com/store/apps/details?id=com.aby.pandemiki
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Ushawahi pata tabu kuelewa core i3, i5 na i7 zina maana gani katika majina ya processor za Intel?

Video hii inaelezea maana ya majina ya Intel processors na uwezo wake. Gusa link hii kutizama video yote https://youtu.be/7EVd0B-Arco
Kutakuwa na clubhouse meeting jumapili hii na developers wa kitanzania waliopo twitter. Usipange kukosa.
Marekebisho ya muda ni kesho Jumamosi sio Jumapili
Karibuni katika room yetu
Tunaachia uzi badae mjini twitter
SEO & Copywriting Course as PROJECT & FUN: 40 DAYS Challenge

FREE For 48 Hrs

Ukifungua link hii shuka chini mpaka ukute button imeandikwa "GET ON UDEMY" click hiyo button na utaipata course hii.

https://coursevania.com/courses/seo-copywriting-course-as-project-fun-40-days-challenge/
The Ultimate Python Guide for Beginners

FREE For 48 Hrs

Ukifungua link hii shuka chini mpaka ukute button imeandikwa "GET ON UDEMY" click hiyo button na utaipata course hii.

https://coursevania.com/courses/the-ultimate-python-guide-for-beginners/
Practical HTML5 Mastery Course

FREE For 48 Hrs


https://coursevania.com/courses/practical-html5-mastery-course/