Wakuu poleni sijawapa updates zozote hivi karibuni.
Nimebanwa kidogo na mitihani hapa chuo. Nitajitahidi kuendelea kuwajuza yanayoendelea.

Maumivu na Majibu yake
Dunia yetu imetoka mbali sana. Toka enzi za kina Charles Darwin mpaka leo kina Bill Gates na Elon Musk. Miaka ya kabla ya Darwin kulikuwa na umri wa mawe, tukaja umri wa chuma mpaka kufika mapinduzi ya viwanda na Umri aa Taarifa.
Tumepita huko kote na kufika tulipo leo sababu kubwa ni bindamu kujaribu kupata njia rahisi ya kutatua matatizo yake au kupunguza maumivu.
Nadhani unakumbuka namna binadam aligundua moto ili kuweza kupata joto.
Miaka ya 1950s bado kulikuwa na shida ya mawasiliano duniani. Wazungu wakaja na simu.
Mpaka mwaka 2008 gharama za kupiga simu kwenda nje ya nchi zilikuwa juu sana. 2010 ikaja whatsapp na kurahisisha maisha. Tukaweza pata mawasiliano na ndugu zetu wa mbali.
Swali langu kwako, leo hii wewe unapata maumivu yapi au niseme unaona kuna tatizo gani lipo katika jamii ambalo unadhani kuna namna Teknolojia inaweza rahisisha maisha yako.
Mfano binafsi natamani sana kuona Techies wa Tz wakiwa mahala pamoja kujaribu kutatua matatizo ya Tanzania. Hivyo pamoja na wenzangu tunatafuta namna ya kuwaleta pamoja.
Je, wewe una mtazamo gani juu ya maumivu au matatizo yaliyopo katika jamii? Sio lazima uwe na majibu yake ila kama yapo pia ni sawa.
Iwapo haupo huru kuweka jibu lako hapa group, usisite kunifata DM au katika whatsapp yangu kupitia 0753607400.
Karibu.

Leo hii tunatambulisha rasmi channel yetu ya Youtube kwa jina la HabariTech. Subscribe kupitia link hii usikose video yoyote pindi tunapoanza kazi.
https://www.youtube.com/channel/UCRfmVeQgiU4zL5h9TmoNt9g

Download app ya Pandemiki kutoka playstore uendelee kupata taarifa zinazohusu COVID-19 in real time.
Kama hiyo haitoshi basi niseme kwamba, ni ya hapa hapa tz (Made in Tz) by Abil Mdone
Link below https://play.google.com/store/apps/details?id=com.aby.pandemiki

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Ushawahi pata tabu kuelewa core i3, i5 na i7 zina maana gani katika majina ya processor za Intel?
Video hii inaelezea maana ya majina ya Intel processors na uwezo wake. Gusa link hii kutizama video yote https://youtu.be/7EVd0B-Arco

Kutakuwa na clubhouse meeting jumapili hii na developers wa kitanzania waliopo twitter. Usipange kukosa.
Kama kawaida yetu tunachimba, tunachambua tunaleta kwenu. Hii ya leo ni maana tosha ya kusema hakuna Apple bila Steve Jobs.
https://twitter.com/HabariTech/status/1434127198601064450?s=19

Twitter
HabariTech
Ni iOS, tvOS, WatchOS au MacOS MacOS, iOS, WatchOS na tvOS zote ni MacOS na zinatumia DarwinOS ambayo aligundua Steve Jobs baada ya kufukuzwa Apple mwaka 1985. 1997 Apple wakaona isiwe tabu wakamrudisha Jobs kwa kuinunua kampuni mpya ambayo alianzisha ilikuwa…
Jifunze Adobe Photoshop Beginner course bure kabisa. Ni course ambayo imeshalipiwa. Ukiichukua kuanzia sasa ni Bure, ukisubiri hii loft iishe utalipia Tsh. 213,000.
Tumia link hiii kuanza isoma https://click.linksynergy.com/deeplink?id=p0eVWIjw1xU&mid=39197&murl=https%3A%2F%2Fwww.udemy.com%2Fcourse%2Flearn-photo-editing-with-photoshop-2020%2F%3FcouponCode%3DTRY10FREE92102

Udemy
Adobe Photoshop 2021 - Photo Editing
Learn How to Edit Photos as we Learn all the Tools in Photoshop and then Finish out the Course with 3 Fun Projects