HabariTech
197 subscribers
33 photos
4 videos
1 file
125 links
Bila shaka unataka kuwa na uhuru wa pesa (upate utajiri). Ni wazi kwamba unatamani kuifahamu tech vizuri kwa kuwa umeambiwa utajiri upo huku.

Ni kweli tech inapesa nyingi, ila kwanza ungana nasi ili usitumie pesa nyingi kujifunza na uweze kuokoa muda.
Download Telegram
This is a test message
Kutofautisha Simu Feki na Original

Ukikaa muda mrefu sana mtandaoni kuna uhakika utakutana na watu ambao wako tayari kutumia mamilioni kununua simu feki na ni mara chache sana huwa wanajua kwamba walichonunua ni feki.

https://habaritechtz.com/kutofautisha-simu-feki-na-original/
Kutofautisha Simu Feki na Original

Ukikaa muda mrefu sana mtandaoni kuna uhakika utakutana na watu ambao wako tayari kutumia mamilioni kununua simu feki na ni mara chache sana huwa wanajua kwamba walichonunua ni feki.

https://habaritechtz.com/kutofautisha-simu-feki-na-original/
Kuboresha Windows 10 Yako

Windows 10 inasifika kwa ubora ukilinganisha na matoleo ya nyuma ya Windows, kama vile windows 8, 7 na XP. Ndani ya windows 10 Kuna settings huwa zinakuwa activated by default.

https://habaritechtz.com/kuboresha-windows-10-yako/
Serikali ya US ilikuwa ikifuatilia mawasiliano ya watu, taarifa za jeshi na vikao muhimu vya nchi nyingi duniani.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa katika radar ya Marekani. Marekani walikuwa wakifuatilia mawasiliano ya watu mtandaoni pamoja ma serikali.

Marekani wameweza kufanya yote haya kupitia vyombo vyake vya usalama (FBI, CIA na NSA). Hii ni katika mpango wao wa kuwa taifa kubwa kuzidi yote duniani.

Soma makala nzima katika blog yetu, link ipo kwenye bio

https://habaritechtz.com/edward-snowden-wanaona-calls-sms-emails-na-browser-history-bila-wewe-kujua/
*Kwanini Graphics Designers Wanashindwa Kutengeneza Pesa?*

Mara kwa mara tumesikia graphics designers wengi wakilalamika juu ya _kushindwa kutengeneza pesa kwa kazi zao._

Wengi ukiwasikiliza sababu zao ni zile zile ambazo hata sisi wenye uzoefu tulikuwa tukikosea miaka ya nyuma.

Leo nazungumza na graphics designers ili wafahamu ni wali wanakosea mpaka wanashindwa kujipatia kipato.

Hii inamfaa designer anayeanza au anayetaka kuanza graphics designing.

*https://habaritechtz.com/kwanini-graphics-designer-wanashindwa-kutengeneza-pesa/*
Ukivaa saa kama hujazoea unaweza kuona mkono unakuwa mzito sana, lakini watu wengi, wewe ukiwa miongoni mwao unapenda/unatamani kuvaa smartwatch.

Bahati mbaya kila ukigeuka kuangalia unakutana na smartwatch za hovyo lakini bei zake ziko juu vibaya mno.

Unaona hii video hapa inahusu bei ya smartwatches hapa Tanzania kuanzia grade ya 3 mpaka ya 1 kutoka china.

Grade 1 ni ile inakaribiana na Apple Watch kwa asilimia 70%.

Leo nataka kukwambia unaweza kuipata hii kwa bei iliyo chini ya hiyo kwa zaidi ya 75%

Ila kwanza angalia hiyo video

https://vm.tiktok.com/ZM2xcajxc/
okay