BBC Swahili
6.93K subscribers
3.45K photos
3.17K videos
29 files
24.1K links
Shirika la habari la Uingereza, BBC
Channel is an UNOFFICIAL
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
"Redio imenibadilishia sana maisha"
-
Februari 13 kila mwaka ni siku ya Redio Duniani,ambapo maadhimisho haya hadi sasa yametimiza miaka 13 tangu kutangazwa rasmi na UNESCO mwaka 2011.
-
Hawa hapa ni baadhi ya watangazaji @salim_kikeke @caro.robi1 @regina_mziwanda wakiielezea namna
walivyojikuta wakiingia katika utangazaji wa redio.
-
🎥 @frankmavura
-
-
-
#bbcswahili #tanzania #kenya #radio #sikuyaredio