VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.
2.25K subscribers
3.59K photos
272 videos
35 files
2.13K links
HAPA UTAJIPATIA VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU, KUTOKA KATIKA MANENO YA WANACHUONI WA KISALAFI NA MFANO WAKE AMBAZO ZIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI.

•═JIUNGE NASI-JIFUNZE-TAWANYA KWA WENGINE═•
Download Telegram
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
بسم الله الرحمن الرحيم

📌 SUNNAH ILIYOSAHAULIKA:

👈عَنْ جَابِرِ بْنِ عَبْدِ اللهِ "رضي الله عنه" قَالَ :
Kutoka kwa Jaabir bin Abdillah-radhi za Allaah ziwe juu yake amesema:

👈"سَمِعْتُ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَقُولُ: غَطُّوا الْإِنَاءَ، وَأَوْكُوا السِّقَاءَ، فَإِنَّ فِي السَّنَةِ لَيْلَةً يَنْزِلُ فِيهَا وَبَاءٌ، لَا يَمُرُّ بِإِنَاءٍ لَيْسَ عَلَيْهِ غِطَاءٌ، أَوْ سِقَاءٍ لَيْسَ عَلَيْهِ وِكَاءٌ، إِلَّا نَزَلَ فِيهِ مِنْ ذَلِكَ الْوَبَاءِ"
»»Nilimsikia Mtume wa Allaah swala na salamu za Allaah ziwe juu yake anasema funikeni vyombo na funikeni maji, hakika katika mwaka kuna usiku mmoja unateremka ndani yake ugonjwa(ugonjwa wa kuambukiza) haupiti kwenye chombo ambacho hakina mfuniko juu yake au maji ambayo hayana kifuniko juu yake isipokuwa unateremka ndani yake kutokana na ugonjwa huo««

-|[رواه مسلم (2014)]|-📚

✏️ Abūu Mirfat Azdu

https://t.me/ElimuniNuuru
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
Forwarded from E l ī m ū nī N ū u r u💥 (αβuu Mirfαt.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Photo from أبي ياسر السكمي.

Forwarded from JIFUNZE DINI YAKO KABLA YA KUONGEA NA KUTENDA (أبو فردوس السكمي)
بـسـم اللـــه الرحمـــــن الرحـيـم

🔶 ســــلـــســـلـة دروس كــــنـــــز الأطـــفـــال 🔶

🔶SILSILAH YA DURUUS YA HAZINA/TAJI YA WATOTO 🔶

📝 *الــــدرس ١٢ 📝

📝 DARSA N°12 📝

【كتاب السيرة 】
[ذكر ما يتعلق بنبينا ﷺ ]

【KITABU CHA SIYRAH (HISTORIA) 】
[KUTAJA YALE AMBAYO YANAFUNGAMANA NA NABII WETU ﷺ ]

🔴 س٥٦/ من هو الذي كان مع النبي ﷺ وأبي بكر يخدمهما في الهجرة ؟

🔴swali 56/ ni yupi ambae alikuwa pamoja na mtume ﷺ na Abuu bakri alikuwa akiwatumikia katika hijrah (kuhama).

🔵 ج٥٦/ عامر بن فهيرة.

🔵jawabu 56/ ni ÀÃMIRU BIN FUHAIRAH.

🔴 س٥٧/ من هو أول من رأى النبي ﷺ عند قدومه إلى المدينة ؟

🔴swali 57/ ni nani wakwanza ambae alimuona mtume ﷺ wakati wa kuingia kwake ﷺ Madina.

🔵 ج٥٧/ رجل من اليهود .

🔵jawabu 57/ ni mtu katika mayahudi.

🔴 س٥٨/ ما هو المسجد الذي أُسس على التقوى من أول يوم ؟

🔴swali 58/ ni upi msikiti ambao uliasisiwa juu ya taq-wa mwanzo kabisa?

🔵 ج٥٨/ هو مسجد قباء، وكذلك مسجد النبي ﷺ .

🔵jawabu 58/ ni masjid QUBAAI, na kadhaalika msikiti wa mtume ﷺ.

🔴 س٥٩/ ما هو المسجد الذي كان يزوره النبي ﷺ كل سبت راكبًا وماشيًا ؟

🔴swali 59/ ni upi msikiti ambao alikuwa mtume ﷺ akiuzuru kila Jumamosi huku akiwa juu ya kipandwa ,na akiwa nimwenye kutembea.?

🔵 ج٥٩/ مسجد قباء .

🔵jawabu 59/ masjid QUBAAI.

🔴 س٦٠/ من أين قبائل الأوس والخزرج ؟

🔴swali 60/ kabila ya Awsi na Khazraji hutokea wapi?

🔵 ج٦٠/ قحطانيون من الأزد من اليمن .

🔵jawabu 60/ qahttwaaniyyuwn kutoka Azdi katika mji wa yemen.

يـــتــبــــع إن شاء الله...…...
انشـــــر تــؤجــــــــــر
🔸ITAFUATA IN SHAA ALLAAH.
⚡️TAWANYA UTAPATA UJIRA.

✍🏼 ABUU MUHSIN JA'AFAR.
🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻

1⃣ TELEGRAM

🌐https://t.me/jifunzediniyako

2⃣GROUP LA WHATSAP.

💠https://chat.whatsapp.com/D9NBWiFvkrL2Pl79e8UzFD
Forwarded from JIFUNZE DINI YAKO KABLA YA KUONGEA NA KUTENDA (أبو فردوس السكمي)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from 🕌مدرستنا | MADRASA YETU🗞 (Ummu Yaasir Assalafiyyah.)
بســـم اللــه الرحــمــن الـرحـــيــم

📪DARSA LA ADHKAARI NA DU'AA ZA MTUME صلى الله عليه وسلم:

📓كتاب: حصن المؤمن من أذكار وأدعية النبي ﷺ.

لأبي عبد الرحمن عبد الله بن أحمدَ الإرياني حفظه الله تعالی.

➡️Darasa namba18A⬅️

🗄KITABU CHA ADHKARI ZA SWALA:

📚ما يقوله بعد تكبيرة الإحرام:

📝Anachosema muislamu baada ya takbira ya kuhirimia swalaa:

Namba 0⃣1⃣

«اللهمَّ! بَاعِدْ بَيْنِي وَبَيْنَ خَطَايَايَ كَمَا بَاعَدْتَ بَيْنَ الْمَشْرِقِ وَالْمَغْرِبِ، اللهمَّ! نَقِّنِي مِنْ خَطَايَايَ كَمَا يُنَقَّى الثَّوْبُ الْأَبْيَضُ مِنَ الدَّنَسِ، اللهمَّ! اغْسِلْنِي مِنْ خَطَايَايَ بِالثَّلْجِ وَالْمَاءِ وَالْبَرَدِ»

"Allahumma baa'id bayniy wabayna khatwaayaaya kamaa baa'adta baynal mashriqi wal- maghribi, Allahumma naqqiniy min khatwaayaaya kamaa yunaqaa th-thawbul abyadhu mina ddanasi, Allahumma ghsilniy min khatwaayaaya bil-thalji wal-maai wal-baradi."

"Ewe Allah weka mbali baina yangu mimi na makosa yangu (dhambi) kama ulivyoweka mbali baina ya mashariki na magharibi. Ewe Allah nisafishe mimi kutokana na makosa yangu kama inavyosafishika nguo nyeupe kutokana na uchafu. Ewe Allah nioshe mimi kutokana na makosa yangu kwa maji ya barafu na maji ya kawaida na maji ya umande. [Imepokelewa na imaam Al-Bukhaariy na Muslim], kutoka kwa Abuu Hurayrah رضي الله عنه.

📚https://t.me/madrasayetuTZ
Forwarded from 🕌مدرستنا | MADRASA YETU🗞 (Ummu Yaasir Assalafiyyah.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from 🕌مدرستنا | MADRASA YETU🗞 (Ummu Yaasir Assalafiyyah.)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Forwarded from ,
بـسـم اللــــه الرحمـــــــــن الرحيم

🔲𝐊𝐔𝐌𝐔𝐎𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐒𝐈𝐘𝐄𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐙𝐈:

🔹▫️🔹▫️🔹▫️🔹▫️🔹▫️

🎙️•Shaykh Abuu 'Abdillah Muhammad Baa Jammaal Allaah amuhifadhi
:

📨𝑺𝑾𝑨𝑳𝑰:

Mwanaume mmoja alikuwa akimpa nasaha mwenzake ambaye alikuwa anakusudia kuoa kwa kumwambia kuwa "kuoa mwanamke asiye na kazi au ambaye hatofanya kazi hatosaidia katika ndoa".

•Je nasaha hii ni sahihi ewe Shaykh?

📤𝑱𝑨𝑾𝑨𝑩𝑼:

Nasaha hii sio sahihi. Msingi wa mwanamke ni kwamba kazi yake hufanyika nyumbani. Na Mtume (ﷺ) amesema: “Mwanamke ni mchunga (anawajibika) juu ya nyumba ya mumewe na ataulizwa kuhusu hilo.

•Ama kumtoa mwanamke (nyumbani) kwenda kufanya kazi, kuchanganyika na wanaume au hata kufahamiana na wanaume, au pengine kuwa na marafiki na wanaume hao. Yeye na watoto wake watadhurika kutokana na hilo. Kwa hivyo nasaha yangu Allaah akubariki, ni kuoa mwanamke ambaye atabaki nyumbani.

•Na kwamba umsimamie kwa nafsi yako na utoe juu yake na umruzuku,na si kwamba lazima akupe riziki wewe.

📜https://t.me/fataawasalafiyahTZ
Forwarded from ,
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM