IFAHAMU TITANIC SUBMARINE ILIYOPOTEA TAR 18/06/2023
Kampuni ya oceangate iliyoanzishwa na Stockton rush mwaka 2009 ndio iliyotengeneza
Chombo hicho cha kuzama majini kwa lengo la kuwapeleka watalii kutazama mabaki ya meli ya titanic iliyozama umbali wa futi 12500 chini ya bahari mwaka 1912
SIFA ZAKE
Ilikua na urefu wa 6.5m(22ft), uwezo wa kubeba watu wa tano kwa masaa 96(siku 4),kilikua na uwezo wa kuzama kina cha 4000m(13123ft)
Ilikua iliuweze kusafiri kwa chombo hicho ilibidi ulipie dola 250,000(Zaidi ya 575 million za kibongo)
Watu watano wote walifariki katika safari yao ya Kwenda kutazama meli ya titanic
MYSTERIOUS FACTS!!
Mnamo mwaka 1912, Thomas Andrew mtu aliyetengeneza meli ya titanic alizama nayo katika safari yake ya kwanza, Miaka 111 baadae bwana Stockton rush mtu aliyetengeneza titanic submarine alizama naye katika safari yake ya kwanza katika eneo lilelile

Kwenye Kombe la Dunia 1998 lililofanyika Ufaransa, N'Golo Kanté alipata kibarua cha Kuokota Uchafu Uwanjani baada ya Mechi. Kwa Umasikini wake hakuna aliyeamini angeweza kufanikiwa. Miaka kadhaa baadaye akaipa Ufaransa Kombe la Dunia, akarudi tena kwenye Viwanja hivyo Kama tajiri
Ng'olo kante alibeba ubingwa wa dunia na timu taifa ya Ufaransa mwaka 2018

Starfish ni samaki ambao hawana damu kabisa kama ilivyo kwa wanadamu na viumbe wengine wengi. Starfish wana mfumo wa kipekee wa mzunguko unaoitwa (water vascular system) mfumo wa mishipa ya maji, ambayo inawajibika kwa mzunguko wa virutubisho na gesi katika miili yao.
#elimika #fahamuzaidi #jewajua?
Je ushawahi kumuona au kumsikia star fish??

UKIPATA SWALI HILI SHUSHA REACTION YA 🔥 UKIKOSA SHUSHA REACTION 😭
Je yupi ni nyoka mwenye sumu kali zaidi Duniani kati ya hawa wafuatao??

Anonymous Quiz
17%
Cobra
2%
Chatu
6%
Inland taipan
64%
Black mamba
2%
Kambare
5%
Fwila
3%
Banded krait
Linaitwa daraja la The Danyang-Kunshan Grand linapatikana taifa la china ndio linashikilia rekodi ya daraja kubwa na refu kuliko yote duniani likiwa na urefu 164Km(104miles)
Daraja hili lilijengwa kwa muda wa miaka (4)minne tu na wafanyakazi 10000 (efkumi) walihusika katika ujenzi wa daraja hilo
Pesa za kimarekani 8.5 billion (Trillioni 19.55 za kitanzania) zilitumika katika ujenzi wake
Daraja hili linapita katika mto YANGTZE na kuunganisha miji ya Shanghai ( wenye wakazi 23 million) na mji wa Nanjing ( wenye wakazi million 8)
Elimika ✍
#ELIMIKA #TrustANDlearn
https://youtu.be/GLatncF2XSM

Ni maana ya neno AZANIA
AZANIA ni miongoni mwa maneno ya kale sana lenye asili ya kiyahudi likiwa na maana ya "MUNGU ANASKILIZA /MUNGU ANASIKIA
Neno azania ni maarufu kutokana na kuwepo kwa kampuni na shule ya sekondari azania hapa nchini
Lakini tukirudi miaka ya nyma katika historia ya utawala wa warumi walikua na koloni lao afrika mashariki lililoitwa AZANIA/RAPHTA koloni hilo lilimiliki maeneo ya afrika mashariki kuanzia somalia,pwani ya kenya,tanganyika,msumbiji, ,zanzibar mafia n.k

Ukweli wa Kufurahisha wa Ukuta mkubwa wa china Hakika! Hapa kuna ukweli wa kuvutia kuhusu Ukuta Mkuu wa Uchina:
Urefu: Ukuta Mkuu wa China una urefu wa takriban kilomita 21,196 (maili 13,171), na kuufanya kuwa ukuta mrefu zaidi duniani. Kipimo hiki kinajumuisha sehemu zote, kuta, na mitaro.
Umri: Ujenzi wa Ukuta Mkuu ulianza katika karne ya 7 KK na uliendelea kwa karne kadhaa. Sehemu zinazojulikana zaidi zilijengwa wakati wa Enzi ya Ming (1368-1644 BK).
Kusudi kuu : Ukuta Mkuu wa Uchina ulijengwa kimsingi kama mfumo wa ulinzi ili kulinda Milki ya Uchina dhidi ya uvamizi wa vikundi vya kuhamahama na falme jirani. Ilitumika kama kizuizi na pia kama njia ya mawasiliano na usafiri.
Idadi kamili ya wafanyakazi waliohusika katika ujenzi wa Ukuta Mkuu wa China haijulikani. Ujenzi wa ukuta ulifanyika kwa karne kadhaa . Ukuta huo ulijengwa chini ya watawala mbalimbali, na inakadiriwa kwamba mamilioni ya wafanyakazi, wakiwemo askari, wakulima watumwa walihusika .

Je Wajua?
Siti Binti Saad ndio msanii wa kwanza kutoka [Zanzibar/Tanzania] kufanya 'show' kimataifa, kwa Sauti ya adhimu na tamu, mwaka 1928-1930 alisafirishwa hadi Bombay India kufanya onesha, na yeye ndio msanii wa kwanza 'Kurekodi' muziki kwa Kiswahili 1930
Source:historia yetu
Kwa wale wapenzi wa historia tumewawekea channel special kwa matukio ya kihistoria hapo chini

Mzee wa miaka 60 aitwaye Zhang alikata kidole chake ili kuokoa maisha yake: alishambuliwa na nyoka ambaye wanyeji wa eneo hilo husema ni hatari, baada ya kuumwa naye mtu anaweza tu kutembea hatua 5, na kisha huanguka na kufa.
Lakini alivyopelekwa Katika hospitali, madaktari walimwambia kwamba nyoka hakuwa na sumu hakuwa na sumu(non venomous).
Je ni kitu gani cha uongo ushawahi kukiamini sana katika jamii yako???
https://t.me/elimuyamapenzi

Elimika🧠(LEARN WITH US)
Photo
Schienenzeppelin, kwa Kijerumani inamaanisha "Gari ya reli," ilikuwa treni maalum ya majaribio iliyoendeshwa nchini Ujerumani katika miaka ya 1930. Ilitengenezwa na mhandisi wa Kijerumani Franz Kruckenberg.
Schienenzeppelin ilikuwa na muundo wa pekee. Ilitengenezwa kwa umbo la kuvutia la ndege ya Zeppelin, na ilikuwa na propela kama za ndege kwa ajili ya kuimarisha utulivu wake.
Treni ya Schienenzeppelin ilikuwa na kasi kubwa zaidi kwa wakati huo. Mwaka 1931, ilivunja rekodi ya dunia kwa kufikia kasi ya kilomita 230.2 kwa saa. Hii ilikuwa kasi kubwa sana wakati huo na ilisababisha Schienenzeppelin kuwa maarufu sana.
Hata hivyo, treni ya Schienenzeppelin haikuweza kupata mafanikio makubwa sana kutokana na changamoto kadhaa.
Injini ya petroli ilikuwa na matatizo , ilikuwa na gharama kubwa za matengenezo. Pia, ilikuwa na uwezo mdogo wa kubeba abiria ikilinganishwa na treni za kawaida.
Baada ya kufanya majaribio kwa muda mfupi, Schienenzeppelin ilisitishwa mwaka 1939 kutokana na kuanza kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
Treni hiyo iliondolewa kabisa baadaye na sehemu zake zilitumika katika vita. Hata hivyo, Schienenzeppelin inaendelea kubaki kama mfano wa ubunifu katika historia ya treni na usafiri wa reli.
Video ikionyesha treni hiyo ikiwa inatembea ipo huku👇👇
https://t.me/jifunzehistoria

Telegram
ZIJUE HISTORIA
Jifunze na jikumbushe historia mbali mbali
Buy ads on:https://telega.io/c/jifunzehistoria

Heather Price Papayoti anaonekana hapa akitazama juu ya daraja lililopita juu ya Bwawa mnamo Januari 16, 2014. Muda mfupi baadaye, aliruka hicho kizuizi na akakatisha maisha yake.
Je ni sahihi kujiua kisa stress https://t.me/+-VMelp3WFLQ5YTZk

Mnamo 2013, mwanamke wa Brazil alipaka uke wake sumu kali, kwa jaribio la kumuua mumewe. Alipanga kumshawishi amnyonye uke wake wakati wa kujamiiana, na kumfanya alambe sumu hiyo.
Mwanaume mwenye umri wa miaka 43 kutoka Sao Jose do Rio Preto Brazil - aligundua kuwa kuna kitu kinaendelea wakati pua zake zilivyo hisi harufu ya ajabu ikitoka sehemu za siri za mke wake, kituo cha habari cha Ureno tvi24 kilisema. Akiwa na wasiwasi, alimpeleka hospitali, ambapo mwanamke huyo alikiri mpango huo mbaya, wakutaka kumuangamiza mumewe
JE UNGEJARIBIWA WEWE HUO MTEGO UNGEPONA ???
https://t.me/+-VMelp3WFLQ5YTZk

Mpiganaji Sugar ray Robinson aliota ndoto aliota ndoto akimpiga mpinzani wake mpaka kifo siku moja kabla ya pambano na akamuua kweli kesho yake kwenye pambano
Mnamo Juni 1947, Robinson alikuwa na pambano la kutetea taji lake dhidi ya mpinzani Jimmy Doyle.
Walakini, siku ya pambano bingwa aligoma kupambana kwa sababu ya ndoto ya kushangaza aliyoota alinukuliwa akisema. “Nilitoka tu kulala na kuamka nikiwa na jasho baridi. Katika ndoto zangu nliota nilimpiga Doyle na nikamwona akifa. Niliogopa sana,” Robinson alisema. "Asubuhi iliyofuata nilimwambia kila mtu nilikuwa na maonyesho kwamba kitu kibaya kingetokea.
Niliwaambia waandishi wa habari, umma na maafisa wa ndondi.” Kasisi na mchungaji walijaribu kumshawishi bingwa aliyetikiswa vibaya kwamba haikuwa chochote ila ndoto mbaya, na hatimaye akashawishiwa kutimiza ahadi yake na kupigana na Doyle.
Lakini ndoto ya Robinson iliishia kuwa ukweli.
Ni ndoto gani ushawahi kuota ikatokea kweli???

Actirasty ni jina la kitaalamu la hali ya msisimko wa kingono/kimapenzi unaosababishwa na mwanga wa jua.
Je ushawahi pata hii hali???
https://t.me/+-VMelp3WFLQ5YTZk
Je ushawahi pata hii hali???
https://t.me/+-VMelp3WFLQ5YTZk