UNIFORUMTZ - For All Updates
16.9K subscribers
1.13K photos
8 videos
800 files
8.4K links
Join Us to get alerted with :-

● Internships
● Scholarships
● Volunteering
● Job Advertisement
● Education Updates

For other more info visit www.uniforumtz.com

Share Our Channel https://t.me/uniforumtz
Download Telegram
🗣 MFUMO MPYA: JE UNATARAJIA KUOMBA MKOPO HESLB 2023/2024 HAKIKI VYETI VYAKO RITA

● CHETI CHA KUZALIWA
● CHETI CHA KIFO

💰 Gharama Tsh 3000 kwa Kila Cheti

Bofya Hii Linl Kuhakiki Vyeti Vyako 👉 https://tinyurl.com/ritatz

SAIDIA KUSHARE KWA WENGINE
Majina Ya Ajira Mpya Afya 2023/2024 Download PDF ☞ https://uniforumtz.com/majina-ya-ajira-mpya-afya-2023-pdf-file/
Majina Ajira Mpya Za Walimu 2023/2024 PDF TAMISEMI ☞ https://uniforumtz.com/majina-ajira-mpya-za-walimu-2023-pdf-tamisemi/
TAMISEMI VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUAJIRI

Ofisi ya Rais – TAMISEMI iliunda Timu Maalumu ya Uchambuzi ambayo ilifanya kazi ya kuchambua na kuhakiki maombi mbalimbali ya ajira.

Uhakiki wa maombi umefanyika katika hatua mbalimbali. Kutokana na idadi ya waombaji kuwa kubwa, Timu ya Uchambuzi wa Maombi ya Ajira ilipewa vigezo vya kuzingatia katika mchakato mzima wa uchaguzi wa waombaji ajira kwa lengo la kuhakikisha uwepo wa haki na uwazi katika zoezi hili. Vigezo vilivyotumika ni kama ifuatavyo:-

Mwaka wa kuhitimu
Mwaka wa Kuhitimu kilikuwa ndicho kigezo kikuu cha msingi kilichozingatiwa. Katika kigezo hiki, kipaumbele kimetolewa kwa waombaji wenye sifa waliotangulia kuhitimu kwa mfuatano wa mwaka kulingana na hitaji la kada/kozi au kiwango cha Elimu.

Umri wa kuzaliwa
Kigezo cha Umri wa kuzaliwa kilitumika kuwapa kipaumbele waombaji wenye umri mkubwa zaidi ya wenzao pale ambapo waombaji walihitimu mwaka unaofanana, na kwamba nafasi zilikuwa chache kwa mwaka husika kuliko idadi ya waombaji.
🗣 JE UNATARAJIA KUOMBA MKOPO HESLB 2023/2024 HAKIKI VYETI VYAKO RITA

● CHETI CHA KUZALIWA
● CHETI CHA KIFO

💰 Gharama Tsh 3000 kwa Kila Cheti

Bofya Hii Linl Kuhakiki Vyeti Vyako 👉 https://www.uniforumtz.com/rita-uhakiki-vyeti-portal/

SAIDIA KUSHARE KWA WENGINE
UNIFORUMTZ - For All Updates pinned «📍 TAMISEMI: MAELEKEZO MUHIMU KWA WAAJIRIWA WAPYA TAMISEMI 2023 Soma Hapa PDF 👉https://tinyurl.com/3wr7ve86 SAIDIA KUSHARE KWA WENGINE»