UNIFORUMTZ - For All Updates
17.2K subscribers
1.13K photos
8 videos
800 files
8.36K links
Join Us to get alerted with :-

● Internships
● Scholarships
● Volunteering
● Job Advertisement
● Education Updates

For other more info visit www.uniforumtz.com

Share Our Channel https://t.me/uniforumtz
Download Telegram
TECHNOLOGY: WhatsApp Kusitishwa kwa Baadhi ya Simu za iPhone, window na Android

Kwa Mujibu wa TOVUTI YA WHATSAPP hadi kufikia tarehe 1 mwezi wa pili mwaka 2020, programu ya WhatsApp itakuwa inafanya kazi kwenye simu za iPhone zenye mfumo wa iOS kuanzia iOS 9 na kuendelea. Simu zote za Apple zenye kutumia mfumo wa iOS 8 na kushuka chini zote hazitokuwa na uwezo wa kutumia programu hiyo hadi kufika kipindi hicho.

Mbali na hayo, watumiaji wenye simu zenye mfumo wa iOS ambao umebadilishwa kwa namna yoyote yaani (jailbroken), nao pia hawatoweza kutumia programu ya WhatsApp kwa asilimia 100 kama hapo awali. WhatsApp imebainisha kuwa haizui simu za namna hiyo kutumia programu yake bali programu hiyo haitoweza kufanya kazi kwa asilimia 100 au kwa maneno mengine ni kwamba inaweza kufanya kazi au inaweza isifanye kazi.

Kwa watumiaji wa mfumo wa Android na mifumo mengine kama Window Phone, WhatsApp imebainisha kuwa hadi kufikia mwezi wa kumi na mbili mwaka huu 2019 WhatsApp itasitisha kabisa upatikanaji wa programu yake kwenye simu za Windows Phone na pia kwenye simu zenye mfumo wa Android 2.3 (Gingerbread) nazo hazitoweza kufanya kazi kufikia wakati kipindi hicho.
NIT FOURTH ROUND ADMISSION
👇👇👇👇👇
http://197.149.178.84:8081/OAS/index.php/login/
JINSI YA KUFANYA MAREKEBISHO FORM ZA MKOPO HESLB
👇👇👇👇👇
https://www.msesetz.com/2019/10/how-to-correct-heslb-loan-application.html?m=1

SAIDIA KU-SHARE TAARIFA HIZI ZA MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE
MPYA: HESLB HATUA 10 ZA KUFUATA KUFANYA MAREKEBISHO YA TAARIFA MUHIMU MAOMBI MKOPO 2019/2020
👇👇👇👇👇
http://bit.ly/2ntot6D

SAIDIA KU-SHARE TAARIFA HIZI KWA WANAFUNZI WOTE
NAFASI ZA KAZI VODACOM TANZANIA
👇👇👇👇
http://bit.ly/2pd35TD
UNIFORUMTZ - For All Updates
TANGAZO_LA_USAILI_WA_INTERNSHIP_FOR_SUPPORT_FUNCTIONS.pdf
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Utunzaji Kumbukumbu, Manunuzi, Uchumi na Takwimu pamoja na kazi za TEHAMA unatarajiwa kufanyika tarehe 05-10-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kuendelea kwa kila kundi la kitaaluma/kada kwa muda wake.