Forwarded from THE REAL VOICE
Why do you think porn is so free and accessible?
Answer: You're paying with your Masculinity
STAY HARD π
Answer: You're paying with your Masculinity
STAY HARD π
π€£2
ANDIKO LISILO LA MAANA KWA WALIOAMINI SANAπ
βοΈ
Ni mgongano wa kifikra pale muumba anapomtaka mwanadamu dhaifu asamehe 70 x 7, lakini yeye akitengeneza adhabu ya moto usiozimika kwa ajili ya viumbe vyake dhaifu.
Siku ya mwisho (kiama) akija Shiva wa kihindi kutoa hukumu, utakimbilia wapi? Maana inashangaza sana jinsi unavyojiamini kwa dini yako, bila kuzingatia kwamba kuna wengine pia wanajiamini kwa dini zao. Kama wewe ambavyo unamuomba Mungu wako na unaamini hua anakupa unachotaka. Vivyo hivyo hata wenye imani tofauti za yako, wana Mungu wao. Wanamuomba na anajibu.
Sasa kama Mungu wao anawajibu na kuwarehemu hivi sasa. Iweje utegemee siku ya mwisho aje Mungu wako, wao asije??? Yule aliyekua akiwapa mkate, maji, kuwaponya na kuwasaidia. Atakua ameenda wapi?
Utofauti kati ya dini na kubeti, ni kupangilia odds tu. Lakini vingine vyote vinafanana.
Odds za wewe kuwa Muislamu au Mkristo Afrika Mashariki ni karibu 95%. Kama ungezaliwa katikati ya Varanasi, India, odds za wewe kuwa Mhindu na kumwabudu Shiva au Vishnu zingekuwa 98%.
Watu wengi hawajachagua dini zao kwa βUfunuo wa Kipekeeβ, bali wamepangiwa βTicket/Oddsβ na eneo walilozaliwa.
βHadithi za dini ni tamu sana. Sababu waliozitunga walifanikiwa kusuka visa, hofu na matumaini.β
2026ππΎβπ½

β€2π―2
Host: dz1wsoabehhmc.cloudfront.net
Port: 80 (WS) o 443 (WSS)
Payload: GET / HTTP/1.1[crlf]Host: dz1wsoabehhmc.cloudfront.net[crlf]Upgrade: websocket[crlf][crlf]
USERNAME : danaelssh-Nonhle56
PASSWORD: outlaw
SERVER : dz1wsoabehhmc.cloudfront.net
4 DAYS ACTIVE
CREATED : 19 AUGUST AT 20;26PM
LIMIT UNKNOWN

HOUSE OF TECHNOLOGYπ₯·
Photo
βΌοΈ TANGAZO βΌοΈ
βοΈ BOT wetu wa kuwasiliana na admin amepata changamoto hivyo hakuwepo kwa dakika 3
Lakini amesharudiπ₯
βοΈ Bonyeza hii username ya bot wetu mpya (@HoTassistant4z_bot)ili tuweze kuendelea kuwasiliana
Username ya bot mpya
@HoTassistant4z_bot

β€1
Kama kuna mdada yupo humu au unamjua mdada anaweza kufungua account&kuverfy kwenye website 4 tofauti njoo @HoTassistant4z_bot
Site 1 nitakulipa 30k
Kwa zote 4 Jumla 140kπ
Site 1 nitakulipa 30k
Kwa zote 4 Jumla 140kπ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TRUMP AND TRADERS THESE DAYS ππ
π€£3π1
As Members Wa HOT βοΈ
Tuna member mwenzetu humu wa kitambo sana amekuwa akisumbuliwa na hii shida mwaka almost wa 10 sasa, Kiukweli as Binadamu nilipoona hili iliniuma sana ukizingatia ana familia na inakuwa ngumu kufanya kazi Japo ni DJ so anajitahidi kufanya kwa mikono but hali bado ngumu kama muonavyo
Amejaribu kila Dawa lakini bado hali sio shwari yaani hadi za upande wa pili
Mimi niliguswa na hili maana ni member humu wa muda mrefu hivyo nikaona tumchangie chochote kitu kwa atakaeguswa namba yake ni hii kumcheck au kumtumia 0699799877 JINA TRIPHON HAULE
NB: KILA MTU ANA SHIDA ZAKE NA MATATIZO NAJUA ILA HII HAIZUII KUMSAIDIA MTU MWINGINE MBARIKIWEπ

1π’5β€1
Part 1
π₯ HIVI NINI KIMEIKUMBA TELEGRAM YETU? ππ
Nilikuwa nimelala tangu 2023, nimeshtuka juzi nikasema ngoja nirudi Telegram leoβ¦ Aisee, nimekuta dunia nyingine kabisa! ππ
Channel yetu iilikuwa na subscribers 15,000, leo naangalia wamebaki 6,000 tu hawa wengine wameenda kunywa uji wapi?ππ
1. IT Faraji
3. Baba Amina
4. Kinange
5. Seeker
8. Kamti
9. Mr Cyber
Hebu nikumbusheni na mimi hapo kwenye comment nlichosahau
Itaendelea subiri part 2
Your admin
@Whoismebytheway
JokesJust4funπ

HOUSE OF TECHNOLOGY pekee ilikuwa na admin 5! Leo hakuna hata mmoja ππ. Hapo kuna taarifa nilisikia wamezalisha watoto wa watu huko mtaani, majukumu yamezidi wamepotea. Hawa tusiwalaumu sana. ππWakati nawaza hayo, ndio nikagundua kumbe kuna mengi sana yametokea tangu nipitiwe na usingizi huu wa miaka 3
1. IT Faraji
Tapeli wetu namba moja IT Farajiiii nasikia ana busha kilo 37 baada ya kula hela ya mganga wa kienyeji π2. Dr Charles
Naye nasikia yupo hadi leo, ila content zimepungua. Enzi zile nakumbuka content zake zilimfanya akatiwe ticket ya economy class, akaenda kupiga picha lile ghorofa huku akisema, βBongo halipo.β ππ
Wabongo msivyopenda matusi mkamrudisha hapa kwa lazima ili aendelee kuishi Bongo ambako halipo like ghorofa π
3. Baba Amina
Za ndani kabisa zinasema baba amina siku hizi sio mwanaume tena na wahuni walishampa mimba ni mmama mwenye watoto wakeπ
4. Kinange
Wenye kunipa taarifa wanasema alikula mtaji wa simu, akahamia kwenye email baada ya kujaribu mambo ya Forex yakamkataa. ππ
Hii nayo sijui ni story au aliyenipa taarifa sipaswi kumuamini tenaπ².
5. Seeker
Fundi maarufu wa VPN aliyekuwa akiwapa watu βwainjoi mema ya nchiβ ππ.6. Pikachu Monster
Leo ukiingia bio yake unakuta: βVPN Hakuna Tena.β
Aisee dunia imebadilika. π€£
Yule admin wa VPN aliyekuwa anajifanya Msouth Africa, mwezi anaita mwezi, mpaka wabongo wakamfundisha kula mihogo bila maji. ππ7. Tweve Tech
Hivi kuna anayemkumbuka yule mzee wa βshare channel link nikupe fileβ au ni mimi tu? π.
8. Kamti
Yule admin alikuwa anajiita Kamti mzee wa kuuza vpn ya ttcl kama ilikuwa minara ni ya baba yake kale kamti naona kalikuwa ni mabua sasa hivi kameoza kanaliwa na mchwaπ€£π€£
9. Mr Cyber
Unamkumbuka yule jamaa Mr cyber alikuwa anagawa sana mafile hadi tukajua ni mfanyakazi wa AIRTEL,nimehuzunika sana baada ya kuambiwa sasa anauza hadi halotel dns kweli mambo ni magumu π10. Zuuu
Hivi na yule admin mwarabu wa kike Zulfa alishaolewa au alipoteza smartphone??11. Wolf Tech πΊ
Kama hajapokonywa simu hebu nipeni namba yake nikavue minofu mimiππ
Ile channel ilikuwa inajiita Wolf Techβ¦Kwa ujumla hii miaka 3 niliyokuwa nimelala mengi sana yametokea
Siku hizi nasikia yule wolf hangβati tena, amekuwa kama mbwa koko tu. ππ
Hebu nikumbusheni na mimi hapo kwenye comment nlichosahau
Itaendelea subiri part 2
Your admin
@Whoismebytheway
Telegram
HOUSE OF TECHNOLOGYπ₯·
Free Internet VPN And Files
H4king
Cr4cking
Tracking
C@ding
Doctorate EN MORE
AND ALL ABOUT TECHNOLOGY
Usisahau Kusubscribe channel yetu ya YOUTUBE ili uwe karibu
https://youtube.com/@seekertvonline4846
JOIN GROUP
https://t.me/technologyonly18

β€4π€£4π3π1
Kwahiyo Tumekubaliana Hamna VPN tena?
Au Ndio Watu Wanazo Ila Wanakula Kimya Kimya
ππ
Au Ndio Watu Wanazo Ila Wanakula Kimya Kimya
ππ
Kama kuna mtu yeyote kaibiwa simu na Ana IMEI number na Yupo Dar
Akiwa anaihitaji simu yake anicheck hapa!!! https://wa.me/+255612777724
NB: Uwe na RB ya kufungua kesi, Kesi itakua under Polisi na Tracking under TCRA ni Legit kabisa unapata simu yako
NB: Hakikisha unapofungua kesi uandike na umeibiwa na Pesa na vitu vingine ili mwizi akikamatwa urudishiwe gharama ulizotumia kutrack na faida
Legit 100%

MovieBox-Mod-by@getthefckoutofheree.apk
62.6 MB
MovieBox Mod.
Watch or download high-quality movies, web series, and anime for free with MovieBox Mod.
Watch or download high-quality movies, web series, and anime for free with MovieBox Mod.
β’ Premium Unlocked for βΎοΈ .
β’ Removed Ads.
β’ Remove unwanted all notification .
β’ Added new UI design .
β’ Added a toggle to enable or disable automatic video link copying while downloading.
β’Movies and series will automatically saved to the Download/TenseiDownload folder if your turn on the switch in TenSei Mods.
β’ You can select img/vid in the profile to apply.
β’ other basic mods.
β’
β€4
Any Country eSIM 1GB Method Giveaway π
1οΈβ£ First Go To This Link
2οΈβ£ Select Your Country
3οΈβ£ Put Your Own Mail
4οΈβ£ Click "Redeem Gift"
5οΈβ£ Done
6οΈβ£ Now Install Kolet App From Play Store/App Store
7οΈβ£ Login With The Same Mail You Used Before To Redeem In The Link
8οΈβ£ Verify With Any Temp Number/Own Number
Boom, You Got 1GB eSIM DATA π₯

(Use Your Brain For Unlimited Use )
Kolet
Next-gen eSIM
Get mobile Internet wherever you travel. Keep your physical SIM, no more roaming costs, easy installation and global coverage.
MovπΆeBox.apk
68.7 MB
Kesi ya moviebox premium tunaimaliza leo
MovieBox Premium Unlocked π
Version: 4.0.01.0813.04
Download ππ½ Here
Share app na marafiki βπΎππΎ
#FORWADED
MovieBox Premium Unlocked π
β Mod Features:
β Save Movies to Gallery
β High Speed download
β Stream while Download
β All Ads Removed
β Unlimited Coins
β Debug Info Removed
β Multi download support
β No Login
β Latest Version
β 1080p Support
β Network Issues Fixed
β No Billing page
β Adult Videos removed
β Smooth and Optimized
β Boosted for slow Phones
β SmartTv Support
Version: 4.0.01.0813.04
Download ππ½ Here
Share app na marafiki βπΎππΎ
β€4β‘2
You need 2-3 bull runs to make it in crypto.
First one, you get rekt chasing pumps.
Second one, you make money but never take profit.
Third one, you finally make it.
First one, you get rekt chasing pumps.
Second one, you make money but never take profit.
Third one, you finally make it.
Most people quit after the first.
Forwarded from THE REAL VOICE
"USIYAJENGE MAISHA YAKO KATIKA MAONI YA WATU"
Vijana wengi wa leo wanapoteza nguvu zao wakijaribu kuwapendeza watu Instagram, kazini, na hata nyumbani.
Acha kuishi kwa ajili ya watu. Anza kuishi kwa ajili ya ndoto yako.
"Unajua kwanini vijana wengi wamechoka na muda wote wapo dhaifu kiakili?
Kwa sababu asubuhi unaamka unaangalia watu wamevaa nini.
Mchana unaangalia watu wanasema nini.
Usiku unalala unauliza watu watafikiri nini kukuhusu.
Umejigeuza kuwa mfungwa wa maoni ya watu.
Umejikuta umekuwa
°°Mfuasi wa likes
°°Mpenda comments za watu
°°Mtaalamu wa kuangalia nani ameview status yako
Hayaπ sio maisha
Mimi nakukumbusha
Kazi yako sio kuwaridhisha wote. Kazi yako ni kujijenga wewe na maisha yako ya miaka 10 kutoka leo hii!!!
"Leo fanya hivi:
Kaa dakika 10 kimya. Jiulize:Kama hakuna mtu angeniona, ningefanya nini tofauti na maisha yangu?
@becomevettereveryday
πAnime Fans , Never pay for Crunchyroll again πΎ
π£ If you love anime, you deserve to know this website exists π₯
πSomeone built an anime website that puts new episodes, watchlists, and release schedules in one placeπ
πItβs called KuroAnime.lol βοΈ
βοΈWhat you get:π
πGive max reacts and stay tunned with us for more exiting methods π

βοΈ Latest releases ππGetting started:π
β Completed series πΊ
βοΈ Upcoming anime π
β Episode schedules β°
βοΈ Watch history β
β AniList & MyAnimeList watchlist syncing π
βοΈ Guest option if you just want to browse π
πGive max reacts and stay tunned with us for more exiting methods π