HOUSE OF TECHNOLOGYπŸ₯·
6.63K subscribers
182 photos
19 videos
51 files
190 links
Free Internet VPN And Files
H4king
Cr4cking
Tracking
C@ding
Doctorate EN MORE
AND ALL ABOUT TECHNOLOGY
Usisahau Kusubscribe channel yetu ya YOUTUBE ili uwe karibu
https://youtube.com/@seekertvonline4846
JOIN GROUP
https://t.me/technologyonly18
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🎁Paybox Event
πŸ’°Get Instant 5-50$, Sell Your Data
πŸŽ‰For All User

▢️Go HERE :- https://app.paybox.sh/dashboard

- Follow info
- Connect  chatgpt or Claude
- Then connect your x
- Check Your Reward USDC
- Go to
- Click Reveal Key
- import on Phantom  DONE
- Done

Send screenshots
❀6
video.mp4
18.7 MB
Jinsi ya kupata free internet  kwenye wifi za token bila kulipia

REQUIREMENTS
1.esp32 
2.Mac change app
3.USB serial terminal

⚠️ For educational purposes only
@HoTassistant4z_bot
❀2
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚TBTπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Our group
https://t.me/+x7BFuEtYFw1iNGI0
🀣2😁1
Kabla Weekend Haijaisha Mnaweza Kupita Na Hili Tambala Weekend ikawaπŸ”₯βœ…
AI content creators changamkieni hii offer

Unlimited Video Generation β€” FREE Till August 17
Flux 3 video generation is currently available unlimited and free until August 17!
🎬 Up to 20-second videos

⚑️ Currently positioned as a Seedance competitor
πŸ†“ Unlimited generations during the promo

Available now here:
https://bfl.ai
❀3
Kama unatumia mtandao wa Airtel Vodacom au Yas acha kutumia menu za kawaida kujiunga bandoπŸ’€
https://t.me/HoTassistant4z_bot
Namaanisha
Airtel *149*99#
Vodacom*149*01#
Yas *147*00#

Hizi menu bando zake ni gharama sana kuliko 2100 kwa kila GB

https://t.me/HoTassistant4z_bot

Njoo nikuwekee menu zenye gharama nafuu zaidi kwa kila mtandao unaotumiaπŸ‘

🎚🟑Menu hizi nakuwekea mara moja tu kila siku itakuwepo kwenye simu yako hakuna wa kumtumia pesa akuungeπŸ˜βœ…
Faida hapa ni moja tu ukiwa na hizi menu GB 1 thamani yake utanunua kwa hadi shilingi 800 hadi 1000 kutegemea na kifurushi unachotaka kujiunga
Mimi nakuwekea hizi menu bure
https://t.me/HoTassistant4z_bot
Ukitaka kuwacharge elfu 2-elfu 5 ili usikose kitu ni wewe tuπŸ™‚

Ukitaka nikuwekee hii menu gusa inbox πŸ‘‡πŸ‘‡

@HoTassistant4z_bot

NB; USIACHE KUNUNUA BANDO KWA 2100 ILI KUCHANGIA PATO LA TAIFA
❀7πŸ‘1
Forwarded from THE REAL VOICE
Everything I've learned about success fits on one page:

β€’ Comfort is the enemy.
β€’ Learn from winners.
β€’ Communicate with confidence.
β€’ Take calculated risks.
β€’ Network with genuine intent.
β€’ Build more than one income stream.
β€’ Find partners who tell you the truth.
β€’ Train your body.
β€’ Protect your standards.
β€’ Put purpose above profit.


Simple.

Not easy.


β€” ⚑️
❀1
πŸͺ€ WEKA EMERGENCY CONTACT KWENYE LOCK SCREEN – HII NI MUHIMU SANAπŸͺ€

πŸͺ€ Emergency Contact huruhusu mtu yeyote kukupigia mtu wako wa karibu bila kufungua simu yako.

πŸͺ€ Hii ni muhimu sana wakati wa ajali au dharura.

πŸͺ€ Inaweza kuokoa maisha kwa sababu taarifa zako za msingi zinaonekana haraka.

πŸͺ€ FAIDA ZA KUWEKA EMERGENCY CONTACT πŸͺ€

πŸͺ€ Husaidia familia kujulishwa mapema wakati wa tatizo.
πŸͺ€ Madaktari au wasaidizi wanaweza kuona taarifa muhimu kama blood group au magonjwa uliyonayo.
πŸͺ€ Haivunji usalama wa simu yako – bado inabaki locked.

πŸͺ€ JINSI YA KUWEKA (ANDROID) πŸͺ€

πŸͺ€ Nenda Settings
πŸͺ€ Chagua Safety & Emergency au Emergency Information
πŸͺ€ Weka majina ya watu wa kuwasiliana nao
πŸͺ€ Ongeza taarifa muhimu kama blood group au allergy

πŸͺ€ JINSI YA KUWEKA (IPHONE) πŸͺ€

πŸͺ€ Fungua Health App
πŸͺ€ Bofya Medical ID
πŸͺ€ Chagua Edit
πŸ“ŒOngeza Emergency Contacts
πŸͺ€ Washa β€œShow When Locked”

🫴BONUS TIP πŸ˜‹

⏳Hakikisha namba unazoweka ni za watu wanaopatikana muda wote.
⏳Sasisha taarifa zako kila baada ya muda.

@technologyonly1
❀3
Forwarded from THE REAL VOICE
Why do you think porn is so free and accessible?

Answer: You're paying with your Masculinity


STAY HARD πŸ‘
🀣2
ANDIKO LISILO LA MAANA KWA WALIOAMINI SANAπŸ˜…βœοΈ


Ni mgongano wa kifikra pale muumba anapomtaka mwanadamu dhaifu asamehe 70 x 7, lakini yeye akitengeneza adhabu ya moto usiozimika kwa ajili ya viumbe vyake dhaifu.

Siku ya mwisho (kiama) akija Shiva wa kihindi kutoa hukumu, utakimbilia wapi? Maana inashangaza sana jinsi unavyojiamini kwa dini yako, bila kuzingatia kwamba kuna wengine pia wanajiamini kwa dini zao. Kama wewe ambavyo unamuomba Mungu wako na unaamini hua anakupa unachotaka. Vivyo hivyo hata wenye imani tofauti za yako, wana Mungu wao. Wanamuomba na anajibu.

Sasa kama Mungu wao anawajibu na kuwarehemu hivi sasa. Iweje utegemee siku ya mwisho aje Mungu wako, wao asije??? Yule aliyekua akiwapa mkate, maji, kuwaponya na kuwasaidia. Atakua ameenda wapi?

Utofauti kati ya dini na kubeti, ni kupangilia odds tu. Lakini vingine vyote vinafanana.

Odds za wewe kuwa Muislamu au Mkristo Afrika Mashariki ni karibu 95%. Kama ungezaliwa katikati ya Varanasi, India, odds za wewe kuwa Mhindu na kumwabudu Shiva au Vishnu zingekuwa 98%.

Watu wengi hawajachagua dini zao kwa β€œUfunuo wa Kipekee”, bali wamepangiwa β€œTicket/Odds” na eneo walilozaliwa.

β€œHadithi za dini ni tamu sana. Sababu waliozitunga walifanikiwa kusuka visa, hofu na matumaini.”

2026πŸ™πŸΎβœŠπŸ½
❀2πŸ’―2
Host: dz1wsoabehhmc.cloudfront.net
Port: 80 (WS) o 443 (WSS)
Payload: GET / HTTP/1.1[crlf]Host: dz1wsoabehhmc.cloudfront.net[crlf]Upgrade: websocket[crlf][crlf]

USERNAME : danaelssh-Nonhle56

PASSWORD: outlaw

SERVER : dz1wsoabehhmc.cloudfront.net

4 DAYS ACTIVE
CREATED : 19 AUGUST AT 20;26PM
LIMIT UNKNOWN
HOUSE OF TECHNOLOGYπŸ₯·
Photo
‼️ TANGAZO ‼️

⛔️ BOT wetu wa kuwasiliana na admin amepata changamoto hivyo hakuwepo kwa dakika 3
Lakini amesharudiπŸ”₯

⛔️ Bonyeza hii username ya bot wetu mpya (@HoTassistant4z_bot)ili tuweze kuendelea kuwasiliana

Username ya bot mpya
@HoTassistant4z_bot
@HoTassistant4z_bot
@HoTassistant4z_bot
❀1
Kama kuna mdada yupo humu au unamjua mdada anaweza kufungua account&kuverfy kwenye website 4 tofauti njoo @HoTassistant4z_bot

Site 1 nitakulipa 30k
Kwa zote 4 Jumla 140k😭
🎁Methods canva 3 month😏

βœ…canva.com/redeem

β˜‘οΈCode reedem : TMM3FREE
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TRUMP AND TRADERS THESE DAYS πŸ˜‚πŸ™Œ
🀣3😁1
As Members Wa HOT ✍️

Tuna member mwenzetu humu wa kitambo sana amekuwa akisumbuliwa na hii shida mwaka almost wa 10 sasa, Kiukweli as Binadamu nilipoona hili iliniuma sana ukizingatia ana familia na inakuwa ngumu kufanya kazi Japo ni DJ so anajitahidi kufanya kwa mikono but hali bado ngumu kama muonavyo


Amejaribu kila Dawa lakini bado hali sio shwari yaani hadi za upande wa pili

Mimi niliguswa na hili maana ni member humu wa muda mrefu hivyo nikaona tumchangie chochote kitu kwa atakaeguswa namba yake ni hii kumcheck au kumtumia 0699799877 JINA TRIPHON HAULE

NB: KILA MTU ANA SHIDA ZAKE NA MATATIZO NAJUA ILA HII HAIZUII KUMSAIDIA MTU MWINGINE MBARIKIWEπŸ™
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
1😒5❀1
Part 1

πŸ”₯ HIVI NINI KIMEIKUMBA TELEGRAM YETU? πŸ˜‚πŸ˜­

Nilikuwa nimelala tangu 2023, nimeshtuka juzi nikasema ngoja nirudi Telegram leo… Aisee, nimekuta dunia nyingine kabisa! πŸ˜‚πŸ˜‚

Channel yetu iilikuwa na subscribers 15,000, leo naangalia wamebaki 6,000 tu hawa wengine wameenda kunywa uji wapi?πŸ˜‚πŸ˜­
HOUSE OF TECHNOLOGY pekee ilikuwa na admin 5! Leo hakuna hata mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚. Hapo kuna taarifa nilisikia wamezalisha watoto wa watu huko mtaani, majukumu yamezidi wamepotea. Hawa tusiwalaumu sana. πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakati nawaza hayo, ndio nikagundua kumbe kuna mengi sana yametokea tangu nipitiwe na usingizi huu wa miaka 3

1. IT Faraji
Tapeli wetu namba moja IT Farajiiii nasikia ana busha kilo 37 baada ya kula hela ya  mganga wa kienyeji πŸ˜…
2. Dr Charles
Naye nasikia yupo hadi leo, ila content zimepungua. Enzi zile nakumbuka content zake zilimfanya akatiwe ticket ya economy class, akaenda kupiga picha lile ghorofa huku akisema, β€œBongo halipo.” πŸ˜‚πŸ˜‚
Wabongo msivyopenda matusi mkamrudisha hapa kwa lazima ili aendelee kuishi Bongo ambako halipo like ghorofa 😭

3. Baba Amina
Za ndani kabisa zinasema baba amina siku hizi sio mwanaume tena na wahuni walishampa mimba ni mmama mwenye watoto wakeπŸ˜”

4. Kinange
Wenye kunipa taarifa wanasema alikula mtaji wa simu, akahamia kwenye email baada ya kujaribu mambo ya Forex yakamkataa. πŸ˜­πŸ˜‚
Hii nayo sijui ni story au aliyenipa taarifa sipaswi kumuamini tena🐲.

5. Seeker
Fundi maarufu wa VPN aliyekuwa akiwapa watu β€œwainjoi mema ya nchi” πŸ˜‚πŸ˜‚.
Leo ukiingia bio yake unakuta: β€œVPN Hakuna Tena.”
Aisee dunia imebadilika. 🀣
6. Pikachu Monster
Yule admin wa VPN aliyekuwa anajifanya Msouth Africa, mwezi anaita mwezi, mpaka wabongo wakamfundisha kula mihogo bila maji. πŸ˜‚πŸ˜‚
7. Tweve Tech
Hivi kuna anayemkumbuka yule mzee wa β€œshare channel link nikupe file” au ni mimi tu? πŸ˜‚.

8. Kamti
Yule admin alikuwa anajiita Kamti mzee wa kuuza vpn ya ttcl kama ilikuwa minara ni ya baba yake kale kamti naona kalikuwa ni mabua sasa hivi kameoza kanaliwa na mchwa🀣🀣

9. Mr Cyber
Unamkumbuka yule jamaa Mr cyber alikuwa anagawa sana mafile hadi tukajua ni mfanyakazi wa AIRTEL,nimehuzunika sana baada ya kuambiwa sasa anauza hadi  halotel dns kweli mambo ni magumu πŸ™Œ
10. Zuuu
Hivi na yule admin mwarabu wa kike Zulfa alishaolewa au alipoteza smartphone??
Kama hajapokonywa simu hebu nipeni namba yake nikavue minofu mimi😁😁
11. Wolf Tech 🐺
Ile channel ilikuwa inajiita Wolf Tech…
Siku hizi nasikia yule wolf hang’ati tena, amekuwa kama mbwa koko tu. πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa ujumla hii miaka 3 niliyokuwa nimelala mengi sana yametokea

Hebu nikumbusheni na mimi hapo kwenye comment nlichosahau

Itaendelea subiri part 2 

Your admin
@Whoismebytheway

JokesJust4funπŸš€
❀4🀣4😁3πŸ‘1
Kwahiyo Tumekubaliana Hamna VPN tena?

Au Ndio Watu Wanazo Ila Wanakula Kimya Kimya
πŸ˜‚πŸ™Œ
Kama kuna mtu yeyote kaibiwa simu na Ana IMEI number na Yupo Dar

Akiwa anaihitaji simu yake anicheck hapa!!! https://wa.me/+255612777724

NB: Uwe na RB ya kufungua kesi, Kesi itakua under Polisi na Tracking under TCRA ni Legit kabisa unapata simu yako

NB: Hakikisha unapofungua kesi uandike na umeibiwa na Pesa na vitu vingine ili mwizi akikamatwa urudishiwe gharama ulizotumia kutrack na faida

Legit 100%
❀1