Jinsi ya Kuflash Simu Mpya za Nokia Kwa Kutumia Kompyuta
https://tanzaniatech.one/2019/05/kuflash-simu-za-nokia/
https://tanzaniatech.one/2019/05/kuflash-simu-za-nokia/
Tanzania Tech
Jinsi ya Kuflash Simu Mpya za Nokia Kwa Kutumia Kompyuta
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Nokia basi soma hapa kujua hatua kwa hatua jinsi ya kufalsh simu za Nokia kwa kutumia kompyuta.
Huawei Yaruhusiwa Kutumia Mfumo wa Android kwa Miezi Mitatu
https://tanzaniatech.one/2019/05/huawei-android/
https://tanzaniatech.one/2019/05/huawei-android/
Tanzania Tech
Huawei Yaruhusiwa Kutumia Mfumo wa Android kwa Miezi Mitatu
Baada ya sakata la kampuni ya Huawei hapo jana kusitishiwa huduma zake na baadhi ya makampuni ya nchini Marekani ikiwepo kampuni ya Google ambayo inamiliki mfumo wa Android, hivi leo habari mpya zinasema kuwa Huawei
Kampuni ya Huawei Yazindua Simu Mpya za Honor 20 na 20 Pro
https://tanzaniatech.one/2019/05/sifa-na-bei-ya-honor-20-na-20-pro/
https://tanzaniatech.one/2019/05/sifa-na-bei-ya-honor-20-na-20-pro/
Tanzania Tech
Kampuni ya Huawei Yazindua Simu Mpya za Honor 20 na 20 Pro
Wakati kampuni ya Huawei ikiendelea kupitia kwenye vikwanzo vya kibiashara vinavyo wekwa na Marekani, hapo jana kampuni hiyo imeonyesha kuwa haijali vikwazo hivyo kwa kuendelea kuzindua simu zake mpya kama ilivyo pangwa. Kampuni ya Honor ambayo
Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000
https://tanzaniatech.one/2019/05/biashara-mtandaoni-kwa-mtaji-wa-tsh-70000/
https://tanzaniatech.one/2019/05/biashara-mtandaoni-kwa-mtaji-wa-tsh-70000/
Tanzania Tech
Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kuwa na biashara mtandaoni basi hii ni nafasi ya muhimu sana kwako, kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni madalali basi hii ni muhimu zaidi kwako
Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android
https://tanzaniatech.one/2019/05/apps-nzuri-za-kuongeza-ulinzi/
https://tanzaniatech.one/2019/05/apps-nzuri-za-kuongeza-ulinzi/
Tanzania Tech
Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android basi ni wazi unajua kuwa ulinzi ni kitu cha muhimu sana kwenye simu yako, kwa bahati mbaya ulinzi uliopo kwenye simu za Android sio mzuri kwa asilimia
Galaxy A70s Simu ya Kwanza ya Samsung Kuwa na Kamera ya MP 64
https://tanzaniatech.one/2019/05/galaxy-a70s-kamera-ya-mp-64/
https://tanzaniatech.one/2019/05/galaxy-a70s-kamera-ya-mp-64/
Tanzania Tech
Galaxy A70s Simu ya Kwanza ya Samsung Kuwa na Kamera ya MP 64
Galaxy A70 ni simu mpya ya Samsung ambayo imeingia sokoni takribani mwezi mmoja na nusu hivi, lakini kwa mujibu wa ripoti kutoka tovuti ya etnews ya korea, inasemekana Samsung inajiandaa kuja na toleo lingine la
Huawei Yazuiwa Kutumia Memory Card za Micro SD na SD Card
https://tanzaniatech.one/2019/05/huawei-yazuiwa-kutumia-memory-card/
https://tanzaniatech.one/2019/05/huawei-yazuiwa-kutumia-memory-card/
Tanzania Tech
Huawei Yazuiwa Kutumia Memory Card za Micro SD na SD Card
Bado katazo la kampuni ya Huawei kufanya biashara na kampuni za marekani linaendelea kuchukua sura mpya kwa kampuni ya Huawei. Hivi karibuni tuliona kampuni za Qualcomm na Intel zikisitisha kufanya biashara na kampuni ya Huawei,
Hatimaye Instagram Yawezesha Video za Usawa Kwenye IGTV
https://tanzaniatech.one/2019/05/instagram-igtv-video-za-usawa/
https://tanzaniatech.one/2019/05/instagram-igtv-video-za-usawa/
Tanzania Tech
Hatimaye Instagram Yawezesha Video za Usawa Kwenye IGTV
Instagram hivi karibuni imefanya mabadiliko kadhaa kwenye sehemu ya IGTV, kama ufahamu kuhusu IGTV hii ni sehemu mpya ambayo ilizinduliwa na instagram mwaka 2018 na uruhusu watumiaji wa mtandao huo kuweka video zenye mda zaidi
Jinsi ya Kuzuia Kikamilifu Apps Ku-update Zenyewe Kupitia Play Store
https://tanzaniatech.one/2019/05/jinsi-ya-kuzuia-auto-update-play-store/
https://tanzaniatech.one/2019/05/jinsi-ya-kuzuia-auto-update-play-store/
Tanzania Tech
Jinsi ya Kuzuia Kikamilifu Apps Ku-update Zenyewe Kupitia Play Store
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android basi ni lazima unajua kuwa, kuna wakati apps ambazo ume install kwenye simu yako zinaji update zenyewe bila hata wewe kuruhusu, mara nyingi hii ni tatizo hasa
YouTube Kuanza Kuficha Idadi ya Subscriber Kwenye Channel Zote
https://tanzaniatech.one/2019/05/youtube-subscriber/
https://tanzaniatech.one/2019/05/youtube-subscriber/
Tanzania Tech
YouTube Kuanza Kuficha Idadi ya Subscriber Kwenye Channel Zote
Mtandao wa YouTube unakuja na mabadiliko mapya ambayo yatakuja kwa watumiaji wote wa mtandao huo, mabadiliko hayo yanahusisha zaidi upande wa namba za subscriber ambazo mara nyingi huonekana kama njia ya kujua channel bora kwenye
Mfumo Mpya wa Uendeshaji wa Huawei Mbioni Kuanza Kutumika
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-mfumo-wa-huawei-hongmeng/
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-mfumo-wa-huawei-hongmeng/
Tanzania Tech
Mfumo Mpya wa Uendeshaji wa Huawei Mbioni Kuanza Kutumika
Habari mpya hivi karibuni zinasema kuwa, Kampuni ya Huawei inategemea kuanza kutumia mfumo wake wa uendeshaji ambao utakuwa unafanya kazi kama mfumo wa Android. Kwa mujibu wa ripoti kutoka tovuti ya TechRadar, mfumo huo ambao kwa
Jiandae na Simu Mpya ya Samsung Galaxy M40 Mwezi June 11
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-samsung-galaxy-m40/
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-samsung-galaxy-m40/
Tanzania Tech
Jiandae na Simu Mpya ya Samsung Galaxy M40 Mwezi June 11
Kampuni ya Samsung imekuwa kimya kidogo lakini ukimya huo unategemewa kuvunjika tarehe 11 mwezi ujao wa sita mwaka huu 2019. Kwa mujibu wa tovuti ya 91mobiles, Samsung inatarajia kuzindua simu mpya ya Galaxy M40, simu ambayo
Tetesi : Huu Ndio Muonekano wa Samsung Galaxy Note 10
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-muonekano-wa-galaxy-note-10/
https://tanzaniatech.one/2019/05/tetesi-muonekano-wa-galaxy-note-10/
Tanzania Tech
Tetesi : Huu Ndio Muonekano wa Samsung Galaxy Note 10
Wakati kampuni ya Samsung ikijiandaa na ujio wa simu mpya ya Galaxy M40, tayari tetesi zimeanza kusambaa mtandaoni kuhusu simu mpya ya Galaxy Note 10 ambayo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi kati ya mwezi wa nane au
Pengine Mambo Yameanza Kuwa Mazuri kwa Kampuni ya Huawei
https://tanzaniatech.one/2019/05/kampuni-ya-huawei/
https://tanzaniatech.one/2019/05/kampuni-ya-huawei/
Tanzania Tech
Pengine Mambo Yameanza Kuwa Mazuri kwa Kampuni ya Huawei
Kwa kipindi cha hivi karibuni kampuni ya Huawei imekuwa ikikubwa na upinzani mkubwa wa kibiashara kutoka kwa marekani kupitia katazo lililo tolewa na raisi wa nchini humo la kampuni za marekani kuacha kufanya biashara na
Motorola Yazindua Simu Mpya ya Moto Z4 Yenye Kamera ya MP 48
https://tanzaniatech.one/2019/05/sifa-na-bei-ya-motorola-moto-z4/
https://tanzaniatech.one/2019/05/sifa-na-bei-ya-motorola-moto-z4/
Tanzania Tech
Motorola Yazindua Simu Mpya ya Moto Z4 Yenye Kamera ya MP 48
Kampuni ya Motorola hapo jana imezindua ingizo jipya la simu za Moto Z, Simu ambazo kama unakumbuka vizuri kampuni ya Motorola ilizindua matoleo ya kwanza ya simu hizo hapo mwaka juzi 2017. Sasa tofauti na matoleo
Tetesi : Kampuni ya Apple Kusitisha Programu Yake ya iTunes
https://tanzaniatech.one/2019/06/apple-kusitisha-itunes/
https://tanzaniatech.one/2019/06/apple-kusitisha-itunes/
Tanzania Tech
Tetesi : Kampuni ya Apple Kusitisha Programu Yake ya iTunes
Kama wewe ni mtumiaji wa simu na vifaa vya Apple basi ni wazi kuwa unaijua programu ya iTunes, programu hii ndio yenye mkusanyiko wa vipindi vya sauti (podcast) kutoka kwa watu mbalimbali, Muziki na vipindi
Mitandao ya Kijamii Kutumiaka Kutoa VISA Kuingia Nchini Marekani
https://tanzaniatech.one/2019/06/visa-marekani/
https://tanzaniatech.one/2019/06/visa-marekani/
Tanzania Tech
Mitandao ya Kijamii Kutumiaka Kutoa VISA Kuingia Nchini Marekani
Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa ni sehemu kubwa ya utambulisho binafsi wa mtu, ndio maana kwa mujibu wa tovuti ya VOA, Takriban kila mtu atakaye omba visa ya kuingia Marekani atatakiwa kutoa akaunti zake
Samsung Yazindua Laptop Mpya Zinazofanana na Macbook Pro
https://tanzaniatech.one/2019/06/samsung-notebook-7-laptop/
https://tanzaniatech.one/2019/06/samsung-notebook-7-laptop/
Tanzania Tech
Samsung Yazindua Laptop Mpya Zinazofanana na Macbook Pro
Wakati ikiwa yamebaki masaa kadhaa hadi kuanza kwa mkutano wa Apple WWDC, Samsung imetumia wakati huo kuzindua laptop zake mpya za Notebook ya Inch 13 na Inch 15 ambazo zinafanana kabisa na laptop za Macbook
Jiandae na Simu Zenye Kamera ya Mbele Inayojificha Chini ya Kioo
https://tanzaniatech.one/2019/06/kamera-ya-mbele-chini-ya-kioo/
https://tanzaniatech.one/2019/06/kamera-ya-mbele-chini-ya-kioo/
Tanzania Tech
Jiandae na Simu Zenye Kamera ya Mbele Inayojificha Chini ya Kioo
Teknolojia ya simu hasa smartphone inaendelea kusongo mbele kwa kasi sana, ni muda sasa tumeshazoea simu zinazo jikunja na sasa tupo tayari kuona aina mpya ya simu zenye kamera ya mbele ambayo inayo jificha chini
Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 13
https://tanzaniatech.one/2019/06/wwdc-2019-ndani-ya-dakika-13/
https://tanzaniatech.one/2019/06/wwdc-2019-ndani-ya-dakika-13/
Tanzania Tech
Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 13
Kama wewe ni mmoja wa watu waliokosa kuangalia mkutano wa WWDC 2019, basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa mkutano mzima ndani ya dakika 13. Unaweza kuendelea kutembelea Tanzania Tech kujua kwa undani yote yaliyo tangazwa