CRYPTO CURRENCY
190 subscribers
907 photos
21 videos
3.12K files
637 links
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
💨 Petabyte (PB) ni sawa na kuchukua Terabyte 1024 TB.

Na 1TB ni sawa na 1024 GB.

1 PB inauwezo wa kuhifadhi video ya HD ya kuangalia miaka 13 na miezi mitatu.

50 PB inauwezo wa kuhifadhi kazi zote zilizoandikwa na wanadamu wote, tangu mwanzo wa dunia.
💨 Kutumia GPS ni bure kwa kila mtu duniani, ila kwa siku inagarimu Ths. Bilioni 4+ kuisimamia.

Hizo pesa Serikali ya Marekani imeamua kutulipia.
💨 Mouse ya kwanza ya Komputa ilitengenezwa kwa kuni.

1964, Doug Engelbart aligundua mouse ilikua na kitufe kidogo kwa juu na kamba kwa nyuma.

Alipoiangalia kwa mbali akaiona kama panya flani hivi, ndipo akaiita Mouse yaani Panya.
Forwarded from Fundi Umeme
Suruhisho wa Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme(LUKU)

Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme .

Ili kuepukana na migogoro hiyo karibu tukufungie mita hii uionayo kwani mita hii
Unaingiza umeme wako mwenyewe.na pindi umeme wao ukaisha kwako kunaendelea kuwaka na unaendelea na matumizi yako

Sifa za mita hii.
Unanunia umeme wako mwenyewe na huchangishani tena na mtuu habari za umeme.

Utakapo nunua Umeme inakuletea Token mbili moja unaingiza kwenye mita kuu ya Tanesko na nyingine unaingiza kwenye hii mita yako . Baada yahapo ile mita ya Tanesko inazihamisha zile token kuzileta kwenye mita yako.kwaajili ya matumizi yako.

Pia ukihama una hamanayo kokote pale uendako.

Inakusomea kiasi cha unit ulizo nazo.nazile ulizo tumia

Inaonyesha viwango vya umeme vinavyo ingia na kutoka.

Gharama zake ni laki moja na elfu sabini (Tsh.170,000) pamoja na ufundi na endapo italeta shida unapaswa kutuona na kukufanyia matengenezo.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma call

+255_743 579 555.WhatsApp
+255_710 599 055
Forwarded from Fundi Umeme
JE UNATAKA KUNUNUA BIDHAA NJE YA NCHI HASA CHINA KWA BEI RAHISI NA PIA ORIGINAL BASI FATISHA NJIA HIZO CHINI

KWA MSAADA ZAIDI UNAWEZA KUNICHEKI

Karibu! Hii ndio njia ya kufungua account ya manunuzi katika soko la Aliexpress, Fuata maelekezo kwa umakini hapa chini 👇

1.Uwe na sanduku la posta (SLP) au kama huna SLP basi uwe na Postal code ya eneo lako tafuta HAPA https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
2. Kadi ya visa/masta (yenye pesa) au unaweza kutumia M-PESA Mastercard
3. Kama huna account/card yoyote ya malipo nenda bank husika, fungua acc na waambie waiwezeshe kadi yako ifanye 'online purchase'...hapa ushamaliza


a. https://www.aliexpress.com/
b. Search bidhaa uitakayo
c. Cheki feedbacks za previous buyers wa iyo bidhaa ili seller asiwe 'scammer'

d.Akiwa poa, chagua shipping utakayoiweza ( hua napendelea aliexpress standard shipping , USD $4-13/item, 2 weeks kufika ) , cheki total price = item + shipping price

e. Click ' buy now ' , itakuja page mpya utajaza details zikiwemo SLP , namba ya sim, visa card details

f. Watakata kiwango/mkwanja husika pamoja na transaction fee kuanzia (fee ni kuanzia $3-4+ inategemeana na bank) kutoka katika kadi yako then apo utakua umemaliza.

g. Mzigo utachukua siku kadhaa mpaka kufika, utapigiwa sim na watu wa posta ukauchukue!

AYO NI MAELEZO KWA UFUPI kwa maswali na msaada zaidi nicheki inbox

@badland10
Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi.

The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +, Warp Charge 30 Wireless

Tuzo bora zaidi ya Smartphone ilikwenda kwa Oppo find X2 Pro. Timu ya EISA inaiita "OPPO's smartphone bora zaidi bado" na inapenda onyesho la 120 Hz HDR, kuhifadhi nafasi 512 GB na chaja ya haraka 65 W.

Huawei P40 Pro ndiye chaguo la juu katika jamii ya Kamera ya Smartphone. Kamera kuu 50 MP na 12 MP periscope, pamoja na 40 MP ultra wide Cine cam hutoa "picha za kushangaza za kila siku na shots za usiku za ubora usio na alama bila kelele zisizohitajika au uhamishaji".

Samsung Galaxy Z ilichaguliwa kama simu ya juu inayoweza kukunjwa (foldable) .

Sony Xperia 1 II ilipata jina la Multimedia Smartphone la 2020-2021. Washirika wa EISA wanasema "ni iliyoundwa kwa picha, filamu na wapenzi wa muziki".

Huawei pia ilupata tuzo nyingine - Huawei Watch GT 2 ilichaguliwa kama Smartwatch Bora mwaka huu. Ni ya maridadi na imejaa ukomo na mazoezi na huduma za kufuatilia afya.

LG ilipata tuzo ya faraja, ikishinda tuzo ya spika ya simu bora na Xboom Go PL7. Tuzo zingine za kupatikana kwa sauti zilienda kwa Dali IO-6 (best headphones), Bowers & Wilkins PX5 (best on ear headphones).
FUNDI UMEME(Electrical Installation)
*Kuweka wireling kwenye nyumba
*Kuzungusha fense ya umeme ya ulinzi
*Kurekebisha tatizo la umeme kwenye nyumba zenye hitilafu n.k
*Fundi AC
*Mashine za kufulia
*Motor za maji
*Desig and develop website,blog,youtube channel n.k

NITAFUTE

0743579555

NA

0710599055


NIPO DAR ES SALAAM ILA MKOA WOWOTE NAFIKA KWA KAZI ZA UMEME

ASANTENI
Hey Channel yetu kwa mda mrefu ipo kimya

Kidogo Admin wenu nimetingwa kidogo na masomo

So mtu mwenye uwezo wa kuliendesha karibu pm tuongee

Coz nitakuwa busy mpk December mpk nimalize Pepa

Ukiwa unataka karibu pm ila siwezi kuwauza kwa dalali wa nyumba mkaanza kuona mnapostiwa Mijengo inauzwa

@Daudi5
NJIA NYINGINE YA KUPATA PESA MTANDAONI KWA FREELANCEE

Remotasks

I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti REMOTASKS

Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari yanayojiendesha na kadhalika.

Kuna tasks kibao unazoweza fanya na wanalipa kwa njia ya paypal. Lakini tasks zinazolipa Zaidi ni zile za kuchakata data zilizokuwa captured na self-driven cars.

Kufanya hizi tasks unahitaji uwe na computer nzuri kidogo, bundle la kutosha na uwe na internet nzuri.

PC kuanzia GB 4 iwe na graphic card nzuri sana na ram kuanzia 4GB maana itadeal Zaidi na 3D modelling, ambapo itakuonyesha video za pande zote za gari ikiwa barabarani na objects inazopisha nazo, pia itakuonyesha LiDAR view maana magari yanayojiendesha yanatumia hii technology ya kutumia laser light kudetermine distance na shape ya object.

Sasa utapewa data ambazo gari imenasa computer na software ya gari ikazitafsiri, sasa wewe utatafuta penye makossa urekebishe hivyo hizo data zitasaidia kuifanya system iwe bora Zaidi. Utafanya kitu kinaitwa LiDAR annotion.

Jambo linguine ni kwamba lazima usome course zao upewe quiz upate 100% ndipo utaweza kupewa task.

Wanaofanya hizo kazi wako wengi hadi kuna form kama ukiwa na task hujaelewa unaweza kuuliza kwa members.

Malipo ni once per week via paypal.

Wanashauri ufanye walau 20 hours per week na malipo yanategemea na ukubwa wa task na jinsi ulivyoifanya hivyo inategemea na review.

Nimeashaanza fanya LiDAR ila niko second stage nafanya tasks za hapo nikiimaster nitaendelea ziko paka stage saba na kila stage ina malipo matamu Zaidi.

Kuna tasks nyingine unaweza kuanza nazo ambazo zinahusiana na vitu vyepesi kama kujua position ya sura na mkono wa dereva kwenye picha wakati anaendesha gari. Ila hizi hazina pesa ya maana utahangaika nazo nahisi ukipata pesa nyingi kwa week haiwezi zidi dollar 30.
I want it! - come help me to slash 99% off this item - you could win some coupons!
GET 99% OFF WITH FRIENDS
https://a.aliexpress.com/_mt1LwP1


Agizia begi hili aliexpress kwa 1000
Forwarded from Daudi
Nauza vocha hizo za voda

Njoo tuelewane bei