CRYPTO CURRENCY
156 subscribers
907 photos
21 videos
3.12K files
637 links
Download Telegram
*Hi guys, we have another English project!*

We have some English homograph words, each word need to make 100 sentences.

1. The same English word (homograph) will have different pronunciations and meanings. You need to use the word and make sentences according to the meaning and part of speech.
2. With each word (ie each line) you need to make 100 sentences
1) The part of speech in the sentence must match
(If the word is the original form of the verb, it must be the original form of the verb in the sentence, and no other tenses such as past tense and past participle deformations)
2) 10-25 words per sentence (More than 15 would be better)
3) Try to make the content as rich as possible, the expression should be appropriate, the sentences should be fluent, and no grammatical and spelling errors. Try to avoid repeated content

$4 for 100 valid sentences
(any wrong/invalid/incorrect/repeated etc sentences will be counted as invalid)

Deadline is Nov. 28. We have about 30 words need to make sentences, if you'd like to join, please tell me how many words you can cover.

Please check attachment for examples.
If you want to join, please do the test and send me back, thanks.
Kwa Wafanyabiashara wadogowadogo,saizi ya kati na wakubwa hasa makampuni,shule n.k

Karibu ujipatie mfumo wa lipa kwa M-Pesa kwenye biashara yako ili ikuwezeshe kukuunganisha na mteja wako kwa wepesi

Njia hii itakuwezesha kufanya transaction kwa urahisi sana

Itakusaidia kuwa na usalama wa pesa zako

Utapokea pesa kutoka mitandao yote Tanzania

Itakusaidia kuhamisha pesa zako kutoka kwenye account yako ya mpesa(lipa kwa mpesa) kwenda bank kwa urahisi na fasta ndani ya dakika 1 ishahama na makato maduchu mfano kwa laki 1 utakatwa 150 tshs

Itakiwezesha kuwa control kwa laini zote za lipa kwa mpesa ikiwa una duka zaidi ya moja

Kujisajiri ni bureeee

Mawasiliano yangu ni 0689719676
UKITAKA KUSAJILIWA HUDUMA YA LIPA KWA MPESA KARIBU INBOX

BURE

KIGEZO

NIDA LAZIMA UWE NACHO AU NAMBA YA NIDA

TIN KAMA UNAYO ITAPENDEZA ZAIDI

@daudintho
Suruhisho wa Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme(LUKU)

Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme .

Ili kuepukana na migogoro hiyo karibu tukufungie mita hii uionayo kwani mita hii
Unaingiza umeme wako mwenyewe.na pindi umeme wao ukaisha kwako kunaendelea kuwaka na unaendelea na matumizi yako

Sifa za mita hii.
Unanunia umeme wako mwenyewe na huchangishani tena na mtuu habari za umeme.

Pia ukihama una hamanayo kokote pale uendako.

Inakusomea kiasi cha unit ulizo nazo.nazile ulizo tumia

Inaonyesha viwango vya umeme vinavyo ingia na kutoka.

Gharama zake ni laki moja na elfu arobaini (Tsh.140,000)

Kwa mawasiliano zaidi na huduma call

0689719676
👍1
PRE PAID ENERGY METER (Submeter)

Hizi ni type ya submita inayotumika kwenye nyumba za kupanga au fremu za maduka . Submita hizi unajinunulia umeme wa pekeyako na unautumia mwenyewe bila kushirikiana na mtu mwingine. Unit zako zikiisha inakata kwa aliyemaliza umeme wake tu .

Inafaa zaidi kwa Wamiliki wa fremu za maduka na wenye nyumba kwa ajili ya wapangaji wao . Kwa moja ni Tsh 150,000 tu .

Hii inakuwa mali yako ukihama ruksa kuhama nayo .


Kuna za single phase na three phase(370000).

0689719676
👍1
Single phase
Three phase
WELCOME TO WORLD OF CRYPTOCURRENCY.

Hellow Tanzania na East Africa kwa ujumla pia na wengine wote ambao mmekuja kujifuna muda huu pamoja nasi,, karibuni sana kwenye huu ulimwengu wa cryptocurrency, tunaita ulimwengu wa cryptocurrency kwani ndiko kwa sasa ulimwenu unabadika kwa kasi kwa maana ya technology kuelekea huko. Hapa utaweza kujifunza cryptocurrency kwa ujumla pia utapata nafasi ya kujifunza jinsi gani unaweza kutengeneza kipato chako enedelevu kupitia biashara hii ya cryptocurrency tofauti na fursa/biashara zingine za online..  pia ningependa kukuhakikishia kuwa usalama wa pesa zako uko guarente yaani wa uhakika ila endapo utazidisha umakini juu ya details zako za acount zako kwani huku hakuna mtu anashika pesa zako kwani kila kitu unakuwa nacho wewe mwenyewe kwenye acount yako either kwa simu au computer yako or other device.. karibu sana undelee kujifunza na kam utapata changamoto unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliano yaliyopo hapo chini, pia unaweza kujoin kwenye groups zetu za whatsapp na instagram au kutufollow instagram na twitter.. KARIBU SANA…

 

      CRYPTOCURRENCY NI NINI (BITCOIN NI NINI)

Kwa kuanza nitaanza kuelezea maana ya cryptocurrency kwa ujumla au nitaelezea Bitcoin kwa maana bitcoin ndo mwanzo wa cryptocurency kwan ndo coin ya kwanza kutengenezwa na baadae kuleta coin zingne zote leo hii.. pia inbid tutambue kuwa mbaka kufika kwenye cryptocurrency pia kun hatua kazaa huko nyuma ulimwengu ulipitia katika kufanya malipo nitakuja kuelezea kwa ufupi pia

  MAELEZO KUHUSU CRYPTOCURRENCY (bitcoin)

Cryptocurrency ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au sarafu huwezi kuzishika kw mkono wala kuziona kwa macho kama zilivo pesa za kawaida na pia hata katka usafiri wake baina ya mtu mmoja na mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu tena katika mfumo wake imara na wenye ulinzi wa kutosha ujulikanao kama BLOCKCHAIN, Lakini pia tofauti na ilivo mifumo mingine ya kutuma pesa mfano MPESA,TIGOPESA mifumo hii ambayo tumeizoea huwa na makato ya ziada au mipaka baina ya nchi moja na nyingine ila Cryptocoin zote huweza kutumwa baina ya watu wawili kutoka katika mataifa mawili tofauti pasipo kuwa na makato ya ziada au kikwazo cha umbali au mipaka yao, Mfano mtu anaweza kunitumia mimi akiwa USA au CHINA na mimi TANZANIA nikapokea fasta ndani ya dakika tano tu bila kujali imetoke nchi gani na pasipokuwa na makato ya ziada kutokana na utofaut wa mataifa yetu tofauti na mifumo mingine..Coini hizi ujulikana kama cryptocurrncy coins zipo nyingi bsana kwa sasa zaidi ya 1000 na bado zinakuja mpya, mfano wake ni Bitcoin,ripple,dogecoin,lisk,trust,monaco,okcash,vcash n.k

 

BITCOIN amabayo ni coin ya kwanza ya kidigitali au cryptocurrency coin ya kwanza duniani iligundulika au kutengezwa mwaka 2009  na bwana mmoja anaitwa Satoshi Nakamoto na wakati huo ilianzwa kuuzwa katika bei isiyozid  ($1 dolar 1) kwa cbitcoin moja ila leo hii bitcoin imefikia thaman zaid ya  $4800 na bado inapanda zaidi.. ila ikumbukwe kuwa bitcoin na arafu zingine zote zilizokuja baadae huwa zinapanda bei na kuna muda zinashuka ila baadase upanda zaid na kuelekea juu zaid,, mfano vuta picha mtu alienunua bitcoin hata 10 tu kwa wakati huo inaanzishwa alitumia takribani  ($1x10btc) ila leo hii ana takribani  ($4800x10btc). so kuna swali dogo hapa la kujiuliza kwanini wewe  usingekuwa mmoja wao? au serikali yetu isingenunu japo hata btc 1000 hata mwaka jana mwezi wa 9 pindi btc ina thaman ya $1500?

Sasa bitcoin inazid kupanda thaman na kuna siku moja tutakuja kununua kwa zaidi ya $10,000 wakati nafasi ya kununua leo hii unayo au kama utashinda kununua bitcoin basi nunua coin zingne (altcoins) kama ripple,verge,bitshare nk

KUMBUKA  ni kweli kwa sasa bitcoin imekuwa bei juu sana ni zaidi ya milion 11.5 za kitanzania  kwa coin moja ya bitcoin hivyo nusije ukakata tamaa kw kusema hauna hiyo pesa kumiliki bitcoin kwani unaweza kununua kiasi chochote kutokana na pesa yako au mtaji wako mfano unaweza kununua hata za tsh 20,000  na ukapata kiasi fulani mfano 0.002 btc au hata chini ya hapo,, kw
kifupi bitcoin na sarafu zingne ote za cryptocurrency sio lazima ununu kiasi fulani bli kutokana na mtaji wako unaweza kupata 0.0001 btc, 0.005btc,0.01btc,0.2btc nk,, pia hvohvo hata kwa coins zingne (altcoins)

JINSI YA KUHIFADHI BITCOIN NA COIN ZINGINEZO (ALTCOINS)

Unaweza kuifadhi bitcoin na coins nyingine za cryptocurency kwenye wallet zake mahalum za online ambazo ni salama na wewe pekee ndio unakuwa na acess kwa acount yako, mfano wa wallet hizi ni blockchain.com paxfull.com localbitcoin.com bittrex.com poloniuex.com cryptopia.com nk,  hivo ni uamuzi wako unataka kufungua wallet gani.

NB kuna kitu kinaitwa wallet adress hii ni adress mahalum ambayo itakuezesha wewe kuweza kupokea bitcoin au coin aina nyingne kutoka kwa mtu mwingine, kila wallet acount ina wallet adress ambayo iko unique kabisa yaani hazifanani na acount ya mtu mwingine, hivyo jukumu lako ni kukopi kwa umakini hyo wallet adress yako pindi unapotaka kupokea bitcoin kutoka kwa muuzaji ili atakapokutumia coin zako zisipotee maana ukishakosea na blockchain wakaruhusu muamala hakuna njia ya kuweza kurudisha au kucancel muamala huo.

Mfano wa wallet adress  5aTGc5sjFCJdqETXCjv6BLUhud2UrVBH56a

 

MFANO WA MZUNGUKO WA BITCOIN KATIKA MATUMIZI YA KILA SIKU



 

        AINA ZA WALLET (kuna wallet za aina mbili)

kama tulivoona hapo juu kuwa bitcoin ndio coin ya kwanza kuanzishwa mwaka 2009 na hizo zingine zote(altcoins) zilikuja baadae, hivo kuna aina mbili ya wallet, kuna aina ya kwanza ya wallet ambazo ni za kawaida yaani zinasuport kupokea kuifadhi pia nakutuma  bitcoin pekeyake yaani haina option ya kuweza kupokea wala kuifadhi altcoins, mfano wa wallet hizi ni blockchain,paxfull,localbitcoin na remitano

Aina ya pili ya wallet inajulikana kama exchangerv wallet, hizi ni walet ambazo zinasuport coin zaid ya aina moja  yaani zina uwezo wa kupokea, kuifadhi na pia kutuma coin aina ya bitcoins pia na aina nyinge ya coins (altcoins). Pia wallet hizi zinasuport kufanya trading ndani yake  so kama unataka kufanya cryptocurrency trading itakubidi ufungue aina hii ya wallet ambazo ni nexchanger walleta ambapo utaweza kuexchange coins mbalimbali ndani yake, mfano wallet za aina hii ni bittrex,poloniex,novaexchange, na cryptopia
👍1
ALTCOINS

Neno altcoin ni kifupi cha maneno Altenetive coins,, yaani hapa tunazungumzia zile coin mbalimbali ambazo zilizalishwa sasa baadse baada ya bitcoin na watu kuanza kuelewa utajiri na manufaa makubwa yaliyoko kwenye cryptocurrency na hicho kitu kinampa mtu yeyote nafasi ya yeye pia kufanya cryptocurrency market trading pia nayeye kuweza kupata kipato kikubwa na ndio maana tunafundisha hapa leo pia sio malengo tu uelewe bali nawewe ifikie wakat ufanye na ile hali ya kusema sijapata ajira sasa ndio mwisho wake maana ni fursa yenye manufa maubwa na salama pia. unachotakiwa kufanya ni kujifunza na kuelewa kisha kuchukua hatua, na hapa ni sehemu sahih ya kujifunza hujachelewa.

 



 

    USALAMA WA CRYPTOCURRENCY COINS KWA UJUMLA

Usalama wa pesa zako au coin zako upo mikiononi mwako na cryptocurrency ni salama sana kwani taarifa zote za acount yako unakuwanazo wewe pekee hata mimi jimys sipaswi kujua na sina sababu ya kujua detais zako mfano emails,jina,pasword n.k. pia uykija kuona mtu wa aina yeyote anataka kujua tarifa za acount yako ya cryptocurrency usimpatie kwa sababu hata kam ni mtu wa msaada kiasi gani katika biashara hii hana sababu ya kujua taarifa zako labda kama wewe umejirdhisha na kumpatia kwa mana kwamba kuna ulazima au emergrncy fulani.

Pia nje ya usalama kuwa mikononi mwako pia makampuni mbali mbali yanayoendesha wallet husika utoa ulinzi wa kutosha sana mfano kukutumia ujumbe kwenye email yako kila unapolog in pia na IP ADRESS ya device iliyotumika kulog in kwa acount yako na pia hulazimika wewe ndo utoe ruhusa ya kuendelea na loging in husika, endapo sio wewe ndo umejarbu kulog in basi hautochukua hatua yeyote kwa email iliyotumwa na pia ikiwezekana kulipoti tatizo hilo

Lakini pia kila acount inashauriwa kuweka application ya ulinzi na salama ijulikanayo kama TWO FACTORS AUTHENTICATION au GOOGLE AUTHENTICATOR, ambapo utainstal kwenye simu yako ya android au iphone pia kuungnisha na acounti yako ambapo itakuwa inakupa code maalum (AUTHENTICATOR CODES) ambazo zinakuwa unique na pia ubadilika kila baada ya sekunde kama 30, hivo mtu ambae atajaribu kulog in kwenye acount yako pasipo ruhusa yako atafeli watakapomdai hizo codes ili aweze kulog in maana kwa wakati huo simu yenye hyo google authenticator app utakuwanayo wewe.

So kama nilivosema uslama ni mkubwa na uko mikononi kwako kwa maana utatakiwa kutunza pasword ya acount yako pia kutunza email yako na taarifa zako zingine za acount yako na pia app yako kwa usalama wa akaunti yako,, pia tukumbuke pesa zako unatembeanazo kwemnye acount yako muda wote ambayo inakuwa akilini kwako tu.

 

      FAIDA ZA CRYPTOCURRENCY KWA UJUMLA

Faida za cryptocurrency ni nying sana kiujumla kulingana na wewe uko upande gani au unashiriki kwa namna gani katika biashara hii au fursa hii. je, wewe ni agent wa kuuza na kununua bitcoin basi una faida zako ambazo unapata au wewe umefanya investiment basi wewe pia kuna faida yako kwa asilimia zako ambayo unapata au wewe unafanya trading ya altcoins basi huku ndo kuna faida ambayo haielezeki kutegemea na umakini na uzoefu wako pia sehemu sahii unazoingia kutrade(coins) mfano unaweza kununua coin leo kwa cost ya $300 ikiwa imeshuka alafu ukaja kuuza ikipandabaada ya sku 3 na kupata mbaka $400 na zaid

Pia kuna faida kubwa zaidi ya holding of coins, hiki ni kile kitendo cha kununua coin fulan alafu unahold ili uje kuuza baada ya muda fulani hii inakuwa ni longterm holding tofauti na trading ya kawaida.. mfano unaweza kununua coin leo kwa $2.5 per coin moja ya altcoin alafu ukahold mbaka kufika mwakani mwezi june ukaja kuuza zile coin kwa bei ya $10 per coin ile ile. so tunaona hapa kuna uezekano wa kutengeneza utajiri mkubwa sana kutegemea na kiwango cha mtaji wako kupitia holding coins

Lakini sio kwetu sisi raia tu bali hata serikali inaweza kudeal na cryptocurrency trading or holding na kupata faida kubwa ambazo zinaweza kusaidia katika maendeleo ya taifa pia kwa namna moja ama zaid chamsingi serikali iwe serious na kuwatumia experts mbalimbali kufanikisha hihi maana inawezekana na pia kutoa suport kwa raia wake
tunaona mataifa makubwa kama RUSSIA,JAPAN,USA,KOREA na mengineyo yanakuja kasi sana kuhakikisha hawapotezi nafsi tofauti na mataifa mengi ya africa.

Pia cryptocurrency ni aset nzuri sana ya kuifadhia pesa zetu, hata kama huna mpango wa kufanya trading basi tumia katika kutunzia pesa zako na zitazidi kukua na kupanda thaman kadri siku ziunavozidi kwenda, pesa zetu za kawiada nyingi sana zinashuka thaman kila sku ila cryptocurrency inapanda thaman, mfano kwa baadhi ya watu ambao tulikuwa pamoja katika investment platform mbali mbali mwaka jana mwezi wa tisa na wa kumi hivi tukiwa tunaivest kwenye  kampun kama bitspod,cryptoion,xabo na zinginezo ambazo nyingi zimeshakufa sahiz hazipo tulikua tununua bitcoin moja kwa bei ya $1200 mbaka $1500(Tsh3.4 milions) ila leo hii ni takribani mwaka mmoja tu bitcoin imefika $4800 (Tsh11 milions), sasa hapa cha kujiuliza ni kitu kimoja aliehold pesa ya kawaida au hata usdolar $ imefikia hata nusu ya thaman ya bitcoin leo hii

Faida ni nying sana inategemea na wewe umeamua kucheza upande gani ila kwa sasa tunafocus zaid katika upande wa TRADING na HOLDING