CRYPTO CURRENCY
156 subscribers
907 photos
21 videos
3.12K files
637 links
Download Telegram
Nahitaji watu wanne maana account zimebaki nne tu

for translate speaker only

Maneno 1000 utayasema yakiwa verfied nitakulipa 20000

come inbox

@Daudi5
UKITAKA VITU USED

NISAKE INBOX

KUNA MATOOLS YA KILA AINA,MAVITI N.K
Suruhisho wa Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme(LUKU)

Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme .

Ili kuepukana na migogoro hiyo karibu tukufungie mita hii uionayo kwani mita hii
Unaingiza umeme wako mwenyewe.na pindi umeme wao ukaisha kwako kunaendelea kuwaka na unaendelea na matumizi yako

Sifa za mita hii.
Unanunia umeme wako mwenyewe na huchangishani tena na mtuu habari za umeme.

Pia ukihama una hamanayo kokote pale uendako.

Inakusomea kiasi cha unit ulizo nazo.nazile ulizo tumia

Inaonyesha viwango vya umeme vinavyo ingia na kutoka.

Gharama zake ni laki moja na elfu ishirini (Tsh.120,000) na ufundi ni elfu 30 tu

Kwa mawasiliano zaidi na huduma call

+255_743 579 555 na 0689719676