School Base-Online
3.34K subscribers
1.07K photos
12 videos
500 files
9.37K links
✓Education and Job Updates
✓Past papers with Answers |MOCK, NECTA
✓Teaching and Learning Materials
✓Online Library| TIE Library, E-Books
✓NECTA RESULTS | SFNA, PLSE, FTNA, CSEE, ACSEE, DSEE, GATCE
Download Telegram
CHALINZE
Forwarded from AJIRA NA FURSA
👊🏿👊🏿👊🏿 JIJI LA MBEYA-NAFASI 300 ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI-POSTIKODI
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dDdY20p7RA
✓✓✓Wanahitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi MIKOA, WILAYA, MIJI, MAJIJI na VIJIJI.....ZAIDI SOMA......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dDdY20p7RA

● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 20 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 30
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/expresstz kwa Taarifa Mpya za Ajira
📌📌📌 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI-POSTIKODI

1️⃣CHALINZE DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

2️⃣KISARAWE DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

3️⃣KIBAHA DC
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

3️⃣MAFIA DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

4️⃣BAGAMOYO
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

✓✓✓Wanahitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi MIKOA, WILAYA, MIJI, MAJIJI na VIJIJI.....ZAIDI SOMA......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/ig18NyxFrP

● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/schoolbaseonline kwa Taarifa Mpya za Ajira
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
MTWATA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Posted on: January 21st, 2022

HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imeendesha zoezi la ukusanyaji wa Taarifa za anwani za makazi katika Kata 8 kati ya Kata 29 zilizopo katika Manispaa

Akizungumza katika mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi, watendaji na wataalam wa Mkoa wa Morogoro kuhusu mfumo wa anwani za makazi na postikodi, Mratibu wa zoezi hilo Manispaa ya Morogoro , Jackline Mushi, amesema zoezi hilo lilianza tarehe Desemba 19/2022 hadi Desemba 23/2022.

Mushi, amesema kuwa zoezi hilo lilifanikiwa kwa ushirikiano mzuri walioupata kutoka Ofisi za Kata , Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa husika.

Aidha, amesema katika zoezi hilo jumla ya Anwani 4437 zilikusanywa katika Kata 8 ambazo zoezi hilo lilifanyika.

“Tumefanya zoezi hili kwa ushirikiano mkubwa wa Ofisi za Kata husika, kwakweli tumefanikiwa kwa asilimia kubwa , huduma zote zinazopatikana katika kata hizi 8, zipo katika Mfumo wa Anwani za makazi (NAPA), lakini tutahakikisha tunafikia kata zote 21 zilizobakia ” Amesema Mushi.

Kata ambazo zimefanya zoezi hilo ni pamoja na Kata ya Boma, Mji Mkuu, Mlimani, Mbuyuni, Sultan Area, Kingo, Mji Mpya , na Kata ya Sabasaba.

Amesema kuwa matarajio yao ni kubandika namba katika nyumba zilizowekwa Anwani za makazi katika Kata 8 ambapo namba zipo na mchakato wa kuzibandika unaendelea, kuhamasisha wadau mbalimbali katika kuchangia zoezi la uwekaji Anwani za makazi, kuendelea na zoezi uwekaji wa Anwani za makazi katika Kata 21 zilizobakia pamoja na Halmashauri kuipa kipaumbele katika kutenga vifungu katika bajeti za kila mwaka za utekelezaji wa Anwani za makazi.

Mwisho, ametoa shukrani za dhati na za kipekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanikisha uwekaji wa Anwani za Makazi na kuiomba Wizara ya Habari kuendelea kutoa ufadhili ili kufanikisha zoezi hilo.
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Vyuo 10 bora zaidi Afrika;

1. University Of Capetown - S.Africa
2. University Of Witwatersrand - S.Africa
3. Stellenbosch University - S.Africa
4. University Of KwaZulu-Natal - S.Africa
5. Cairo University - Egypt
6. University Of Ibadan - Nigeria
7. Makerere University - Uganda
8. Addis Ababa University - Ethiopia
9. Kwame Nkrumah University Science and Technology - Ghana
10. Mohammed First University Of Oujda - Morocco

Source: Business Insider
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Vyuo bora zaidi Tanzania 2021;

1. UDSM
2. SUA
3. MUHAS
4. UDOM
5. Mzumbe University
6. The State University Of Zanzibar
7. Nelson Mandela African Inst Of Science And Tech
8. Ardhi University
9. Tumaini University
10. St. Joseph University in Tanzania

Chanzo: 4icu, webometrics
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Baadhi ya vigezo vinavyoangaliwa kwenye kupanga vyuo bora zaidi;

Teaching (the learning environment): 30%
• Reputation survey: 15%
• Staff-to-student ratio: 4.5%
• Doctorate-to-bachelor’s ratio: 2.25%
• Doctorates-awarded-to-academic-staff ratio: 6%
• Institutional income: 2.25%

Research (volume, income and reputation): 30%
• Reputation survey: 18%
• Research income: 6%
• Research productivity: 6%

Research (volume, income and reputation): 30%
• Reputation survey: 18%
• Research income: 6%
• Research productivity: 6%

Citations (research influence): 30%

International outlook (staff, students, research): 7.5%
• Proportion of international students: 2.5%
• Proportion of international staff: 2.5%
• International collaboration: 2.5%

Industry income (knowledge transfer): 2.5%

Source: times higher education
👊🏿👊🏿👊🏿 NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI THE SALVATION ARMY
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/IHIvasTH5L

🎓 WANAHITAJIKA
✓Bachelor’s degree in Accounting/finance related field.
✓Basic (PC) Computer Knowledge especially in Excel -Multitasking Skills -Reporting skills.
✓✓✓ _Read full advert through the LINK CODES attached below:_
.....ZAIDI SOMA.......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/IHIvasTH5L

👥 Jiunge Nasi Telegram Hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.me/schoolbaseonline
Na Whatsapp Apa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/WHATSAPP_GROUPS
----------------------------------------------
🔥 _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya za AJIRA Kila Baada ya SAA Bofya Hapa_
👇👇👇👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
MAREKEBISHO YA KALENDA YA UTEKELEZAJI