School Base-Online
3.36K subscribers
1.07K photos
12 videos
499 files
8.71K links
✓Education and Job Updates
✓Past papers with Answers |MOCK, NECTA
✓Teaching and Learning Materials
✓Online Library| TIE Library, E-Books
✓NECTA RESULTS | SFNA, PLSE, FTNA, CSEE, ACSEE, DSEE, GATCE
Download Telegram
Forwarded from AJIRA NA FURSA
💥💥💥 SAMPLE OF APPLICATION LETTER AND CV/MFANO WA BARUA YA MAOMBI YA KAZI NA MAELEZO BINAFASI
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CQp7bVLFtA

👨🏽‍🎓 Zingatia Yafuatayo

📌 Ukitype Barua au Ukiandika kwa mkono hakikisha ni Fupi inayosomeka na maneno Yanaonekana kwa Urahisi..Kisha Scan au badili Kwenye Mfumo wa Pdf Usiozidi 2MB
📌 Epuka CV au MAELEZO Binafsi/Wasifu Wenye Porojo Nyingi na Pia Kuwa Makini na Kipengele Cha Referee
.....ZAIDI SOMA.......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CQp7bVLFtA
✍🏽 _Tafadhali:-Jitahidi Kuhifadhi hii link kwa kujitumia kwenye email yako au hifadhi pasipoweza kupotea kwa Urahisi_

👥 Jiunge Nasi Telegram Hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.me/expresstz
-----------------------------------------------
🔥 _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya za AJIRA Kila Baada ya SAA Bofya Hapa_
👇👇👇👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
Forwarded from AJIRA NA FURSA
4_5787460644584295181.pdf
735.4 KB
4_5787460644584295181.pdf
Forwarded from AJIRA NA FURSA
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
WATENDAJI WANAHITAJIKA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
4_5789391451427181080.pdf
145 KB
4_5789391451427181080.pdf
📍📍📍 NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI KIWANDA CHA DANGOTE
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/IVHUp9dTDd

🎓 WANAHITAJIKA
✓Bachelor Degree of Procurement and Logistics Management/Advanced Diploma in Stores administration or any related discipline.

✓✓✓ _Read full advert through the LINK CODES attached below:_
.....ZAIDI SOMA.......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/IVHUp9dTDd

👥 Jiunge Nasi Telegram Hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.me/schoolbaseonline
Na Whatsapp Apa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/WHATSAPP_GROUPS
-----------------------------------------------
🔥 _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya za AJIRA Kila Baada ya SAA Bofya Hapa_
👇👇👇👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
Ajira 7,000 za Walimu wa Msingi za Sekondari Zanukia

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini.

Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili mafaniko katika Sekta ya elimu kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom jijini hapa.

Alisema ndani ya utawala wa Rais Samia tayari alishatoa kibali cha kuajiri Walimu 6,949 ambapo Walimu 3,000 walikuwa Walimu wa sayansi kwa shule za Sekondari na wameshaajiriwa na wako kwenye vituo vya kazi.

Hata hivyo, alisema katika kuendelea kutatua tatizo la uhaba wa walimu, tayari Ofisi hiyo imeomba kibali hicho kwa Rais ili aridhie kuajiriwa walimu hao.

Waziri Bashungwa alisema kwa mwaka mmoja wa Rais Samia madarakaninametoa fedha za kujenga miundombinu mbalimbali ya elimu.

“Nitumie nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuamua kuzielekeza fedha za mkopo wa IMF katika miradi endelevu na inayoonekana kama ujenzi wa madarasa 12,000 ambayo yamepunguza msongamano madarasa na wanafunzi kutembea mwendo mrefu,”alisema.

Kadhalika, alisema serikali imetoa Sh.Bilioni 30 kwenye Mikoa 10 nchini kwa ajili ya kujenga shule maalum za sayansi za wanafunzi wa kike.

Alisema kila Mkoa umepokea Sh.Bilioni tatu kwa ajili ya kujenga shule hizo kwenye Mkoa wa Dar es salaam, Kagera, Lindi, Pwani, Ruvuma, Shinyanga, Singida, Songwe, Tanga na Mwanza.

Hata hivyo, alisema kupitia mradi wa SEQUIP (Mradi wa kuboresha elimu ya Sekondari) Serikali imepeleka Sh.Bilioni 110 kwenye Kata 235 ambazo hazina Shule za Sekondari na ujenzi umeshaanza na wengine wapo hatua ya ukamilishaji wa shule hizo.

Vile vile, Waziri Bashungwa alibainisha kuwa kupitia bajeti inayoandaliwa kwa mwaka 2022/23 wataweka kipaumbele cha kukabili upungufu wa matundu ya vyoo hasa kwa shule za msingi itakayokwenda sambamba na kupunguza uhaba wa nyumba za walimu.
✒️✒️✒️ NAFASI ZA KAZI SERIKALINI WILAYA YA MASASI
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.expresstz.com/2022/02/government-jobs-at-masasi-district.html

🎓 WANAHITAJIKA
✓Watendaji wa Vijiji

✓✓✓ _Read full advert through the LINK CODES attached below:_
.....ZAIDI SOMA.......
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.expresstz.com/2022/02/government-jobs-at-masasi-district.html

👥 Jiunge Nasi Telegram Hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.me/schoolbaseonline
Na Whatsapp Apa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/WHATSAPP_GROUPS
-------------------------------------------
🔥 _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya za AJIRA Kila Baada ya SAA Bofya Hapa_
👇👇👇👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
NAFASI ZA AJIRA ZA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANWANI NA MAKAZI SONGWE
🔥🔥🔥 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI

1️⃣SONGWE MPYA
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/uca2nA6oPx
2️⃣KIGAMBONI MC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/QfoD5QcYM5
3️⃣ 250 Posts KINONDONI MC
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/TMWYbpxLXZ
4️⃣ TEMEKE MC
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/t1koQZFkBb
5️⃣ UBUNGO DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/HN0aHbw5XJ

Wanaitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi DAR ES SALAAM
● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/schoolbaseonline kwa Taarifa Mpya za Ajira
Forwarded from AJIRA NA FURSA
💥💥💥 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI
1️⃣ JIJI LA ARUSHA
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/vQAYDMBcuZ

2️⃣ 250-ILALA MANICIPAL
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/mIse9dnpc2

3️⃣SONGWE
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/uca2nA6oPx

Wanaitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi
● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/schoolbaseonline kwa Taarifa Mpya za Ajira
Forwarded from AJIRA NA FURSA
🇹🇿 GOOD NEWS: WIZARA YA ELIMU-MOE IMETANGAZA NAFASI NYINGINE MPYA ZA SCHOLARSHIPS KWENDA KUSOMA ABROAD/NJE YA NCHI
📌Apply bure »» https://t.co/bTS7Ei65d7

✳️ Wanahitajika Wanaotaka Kusomea MAMBO Mbalimbali Kwa Level za
Degree
Masters
PhD
Zaidi Soma ...................
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/bTS7Ei65d7

✳️FAIDA YA HII SCHOLARSHIP:
● Utalipiwa Ada Yote
● Utapewa Pesa za Matumizi kila Mwezi
● Utalipiwa Gharama Zote Usafiri
● Gharama za Makazi
📲Jiunge nasi Telegram👇 http://t.me/schoolbaseonline
----------------------------------------------
🤝🏾🤝🏾🤝🏾 _KUSHEA NI KUJALI, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI!_
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
📌📌📌 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI-POSTIKODI

1️⃣ KIBAHA DC
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

2️⃣ MAFIA
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

3️⃣BAGAMOYO
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/CyvBbN5yDk

✓✓✓Wanahitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi MIKOA, WILAYA, MIJI, MAJIJI na VIJIJI.....ZAIDI SOMA......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/ig18NyxFrP

● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/schoolbaseonline kwa Taarifa Mpya za Ajira