School Base-Online
3.31K subscribers
1.07K photos
12 videos
498 files
8.36K links
✓Education and Job Updates
✓Past papers with Answers |MOCK, NECTA
✓Teaching and Learning Materials
✓Online Library| TIE Library, E-Books
✓NECTA RESULTS | SFNA, PLSE, FTNA, CSEE, ACSEE, DSEE, GATCE
Download Telegram
Forwarded from AJIRA NA FURSA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA ANWANI ZA MAKAZI KYELA DC.pdf
Forwarded from AJIRA NA FURSA
4_5803187590756567995.pdf
637 KB
4_5803187590756567995.pdf
Forwarded from AJIRA NA FURSA
MAJINA KUITWA USAILI UBUNGO
Forwarded from AJIRA NA FURSA
4_5800935790942882823.pdf
12.7 MB
4_5800935790942882823.pdf
Forwarded from AJIRA NA FURSA
ARUSHA DC
Forwarded from AJIRA NA FURSA
WILAYA YA UYUI
TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA NA POSTIKODI.

Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, anawatangazia Watanzania wote wenye sifa zinazohitajika na wenye nia yya kufanya kazi ya zoezi la Anwani za Makazi katika Kata na Vijiji vya Halmashauri ya Arusha, kuomba nafasi hizo.

A: SIFA ZA MWAOMBAJI

1. Awe Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 -35

2. Awe amemaliza Kidato cha 4 na kuendelea

3. Awe anajua Kusoma na Kuandika

4. Awe anamiliki simu Janja yenye sifa ya Android 7 na uwezo wa kukaa na chaji kwa siku nzima

5. Awe na Uwezo wa kutumia simu Janja6. Awe na Akili timamu.7. Awe na barua pepe ( email) na nywila (password) inayofanya kazi.

B: KAZI NA MAJUKUMU:-

1. Kugawa /Kuandika namba za nyumba, viwanja na maeneo ya huduma

2. Kukusanya taarifa za nyumba, Viwanja na maeneo ya huduma

3. Kukusanya taarifa za wamiliki wa nyumba na maeneo ya huduma kwa kutumia Mfumo wa Anwani za Makazi.

4. Kutuma Data kwenye Mfumo wa Anwani za Makazi

C: MAOMBI YAAMBATANISHWE NA :-

1. Nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne na cheti cha taaluma.

2. Nakala ya cheti cha Kuzaliwa3. Picha ( passpory size 2)

3. Kwenye barua ya maombi, Mwombaji aandike namba zake za simu zinazopatikana.

D: MALIPO:-

1. Malipo ya Ajira ya muda ni Tsh. 10,000/= kwa siku

E: JINSI YA KUTUMA MAOMBI:-

1. Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na Anwani kamili ya mwombaji.

2. Barua ya maombi ipitishwe kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji husika na kuiwasilisha barua hiyo kwa Afisa Mtendaji wa Kata husika.

.3. Mwombaji anashauriwa kuomba nafasi kwenye Kata anayoishi

F:MAOMBI YOTE YATUMWE KWA ANWANI IFUATAYO:-

Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Arusha,

S.L. P 2330,

ARUSHA.

G: TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI:-

Mwisho wa kupokea yote maombi ni tarehe 24.02.2022 saa 09:30 Alasiri.
Forwarded from AJIRA NA FURSA
🔥🔥🔥 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI-POSTIKODI
1️⃣ARUSHA DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dfLBQGr0P9
2️⃣KYELA DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dfLBQGr0P9
3️⃣UYUI DC
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dfLBQGr0P9

✓✓✓ _Wanahitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi MIKOA, WILAYA, MIJI, MAJIJI na VIJIJI.....ZAIDI SOMA_......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/dfLBQGr0P9

● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/schoolbaseonline kwa Taarifa Mpya za Ajira
Forwarded from AJIRA NA FURSA
Tahadhari kaa Wananchi Wote! Kumejitokeza baadhi ya watu wasiokua na nia njema kutumia Jina la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. @innocent_bashungwa kuwatapeli wananchi na waadau wetu, watu hao wamekua wakitaka watumiwe fedha na vitu mbalimbali, tafadhali no hiyo sio ya Mhe. Bashungwa na hahusiki na maombi yeyote tunaomba wananchi wote mchukue tahadhari na msitume fedha kwenye namba hiyo; Kwa mawasiliano ya haraka na Ofisi ya Rais TAMISEMI piga no: 0735-160 21 au +255 262 160 210
Forwarded from AJIRA NA FURSA
The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation invites qualified Tanzanians to apply for various vacan
t positions and consultancy available at the African Development Bank (AfDB) as advertised on its career website:
https://www.afdb.org/en/about-careers/current-vacancies
Forwarded from AJIRA NA FURSA
LONGIDO AJIRA
🇹🇿 GOOD NEWS: WIZARA YA MAMBO YA NJE- IMETANGAZA NAFASI MPYA ZA SCHOLARSHIPS KWENDA KUSOMA ABROAD/NJE YA NCHI KWA MASOMO YA MDA MREFU NA MFUPI
📌Apply bure »» https://t.co/gv4LZsHcFW

✳️ Wanahitajika Wanaotaka Kusomea MAMBO Mbalimbali Kwa Level za
Degree
Masters
PhD
Zaidi Soma ...................
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/gv4LZsHcFW

✳️FAIDA YA HII SCHOLARSHIP:
● Utalipiwa Ada Yote
● Utapewa Pesa za Matumizi kila Mwezi
● Utalipiwa Gharama Zote Usafiri
● Gharama za Makazi

📲Jiunge nasi Telegram👇 http://t.me/schoolbaseonline
----------------------------------------------
🤝🏾🤝🏾🤝🏾 _KUSHEA NI KUJALI, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI!_
Forwarded from AJIRA NA FURSA
👊🏿👊🏿👊🏿 NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI SERIKALINI RUNGWE WILAYA YA TUKUYU
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/XNcgZR0dGU
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📌 Wanahitajika wafanyakazi mbalimbali
☑️Madereva
☑️Wasaidizi wa ofisi
☑️Surveyors
☑️Civil Engineers
☑️Archtecture
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
TAZAMA HAPA JINSI YA KUTUMA MAOMBI
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
https://t.co/XNcgZR0dGU
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🔔 _Jiunge nasi Whatsapp kupata fursa hizi kila siku_
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/WHATSAPP_GROUPS
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🔔Jiunge n Group letu la Telegram kupata fursa hizi kila siku
👇👇👇👇👇👇👇
https://t.me/expresstz
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🤝🏾🤝🏾🤝🏾 _TAFADHALI SAIDIA KUSHEA KUWAFIKIA WALENGWA WOTE_
Forwarded from AJIRA NA FURSA
🔥🔥🔥 NAFASI ZA AJIRA ZA MDA KWA VIJANA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI-POSTIKODI
👊🏿MVOMERO DC-687 Posts
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/3uuyS0bhGg

✓✓✓ _Wanahitajika Vijana wa kukusanya taarifa za anuani za Makazi MIKOA, WILAYA, MIJI, MAJIJI na VIJIJI.....ZAIDI SOMA_......
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://t.co/3uuyS0bhGg

● ELIMU: Kuanzia Form 4 na kuendelea
● POSHO: Utalipwa elfu 30 kwa siku
● Kazi itadumu kwa siku 68
● Kijana awe na Smartphone inayotunza Chaji

📌Bofya Hapa Kufahamu namna ya kutuma Maombi
👇👇👇 👇👇👇👇
http://bit.ly/MPYA_LEO
-------------------------------------------------
Tafadhali share Taarifa hii na Vijana Wote 》》Jiunge nasi hapa👉🏼 t.me/expresstz kwa Taarifa Mpya za Ajira
Forwarded from AJIRA NA FURSA
SUMBAWANGA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
MANISPAA YA SONGEA
Forwarded from AJIRA NA FURSA
MKURANGA DC