Tanzania Premier League inatamba uwanjani⚽! Jiunge kuisupport:
https://rb.gy/zoaiar
https://rb.gy/zoaiar
APR WAMTAKA AZIZ KI, YANGA YAWATAJIA BEI MBAYA
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo ambaye huandika zaidi habari za uhamisho wa wachezaji, Mick Jr raia wa Ghana ameweka wazi kuwa wiki iliyopita klabu ya APR ya nchini Rwanda iliulizia uwezekano wa kumnyakua kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki na wakaulizia bei yake sokoni.
Micky anaeleza kuwa APR walijibiwa na klabu ya Yanga kuwa thamani ya Aziz Ki kwenye soko la usajili ni dola za kimarekani milini moja (sawa na zaidi ya Bilioni 2 na nusu za Tanzania).
Ikumbukwe kuwa Aziz Ki yupo ukingoni kumaliza mkataba wake Jangwani huku vilabu mbalimbali vikubwa Afrika kama Orlando Pirates, Kaizer Chiefs na Mamelodi Sundwons vikimuwania kutokana na kiwango alichoonyesha kwenye ligi ya mabingwa Afrika hadi sasa.

LEGEND...! SAMATTA AWEKA REKODI NYINGINE ULAYA
Mara baada ya kucheza ligi ya mabingwa Ulaya akiwa na KRC Genk ya Ubelgiji, ligi ya Uefa Europa league akiwa na Royal Anterp FC sasa Mshambuliaji na Nahodha wa Tanzania Mbwana Ally Samatta ameendeleza rekodi kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano yote mikubwa ya Ulaya ambayo ameikamilisha msimuu kwa kucheza Uefa Conference league akiwa na PAOK Thesalonike ya Ugiriki ambayo jana ilipoteza 1-0 kwa Clubb Brugge kwenye robo fainali.
Rekodi hiyo ya Samatta inaenda sambamba na namba nzuri ambapo kati ya michezo 19 ya michuano ya Ulaya aliyocheza amefunga mabao 7 ukiwa ni wastani bora kwa mchezaji kutoka Afrika, ambapo;
- Uefa Champions league amecheza mechi 6 na kufunga goli 3,
- Uefa Europa League amecheza mechi 6 na kufunga goli 3,
- Uefa Conference League amecheza mechi 7 na kufunga goli 1.
Samatta ndiyo mwanasoka Mtanzania aliyefanikiwa zaidi kucheza hatua kubwa hadi sasa.

🏆Zawadi za kila siku na kila wiki kwenye PMBet!
Unaweza ukashinda gari, pesa taslimu ukiweka dau kwenye #sports au ukicheza #slots!
Fungua akaunti yako ya pmbet.co.tz na uanze:
https://bit.ly/3JDKTJ3

😎Una ndoto za kumiliki gari?
Ni hatua tu!
Cheza #slots kutoka #PMBet na upate nafasi ya KILA SIKU ya kushinda:
🚗Nissan XTRAIL
🚗Toyota Harrier
https://bit.ly/3W2U7Wr

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
👉Angalia jinsi huyu masikini alivyogeuka mwenye bahati!
Mashabiki wangapi wa mpira wapo tayari kwa mechi zinazokuja🤓?
https://rb.gy/zoaiar
https://rb.gy/zoaiar
Mwandishi wa kujitegemea wa habari za michezo hasa masuala ya usajili kutoka nchini Ghana, Micky Jr amethibitisha kuwa klabu ya Ihefu (Singida Black Stars) imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa US Gendamarie ya Niger na RS Berkane Victorien Adebayor ambaye aliwaniwa na Simba misimu miwili iliyopita.
Adebayor ambaye kipindi cha nyuma aliziingiza vitani Simba na Vigogo wa Morocco RS Berkane baada ya kunaswa na wa Morocco hao hakuwa na kiwango bora kabla ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kwa majeraha kisha kusaini mkataba na Amazulu ambako nako hakutumikia mkataba huo mpaka sasa.
Ihefu imekuwa na kisu kikali kwenye soko la usajili ikipigana vikumbo na vilabu vikubwa vya nchini kama Simba na Yanga na vile vya kimataifa.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🏆🚗Hapa ni Mshindi Mkubwa wa Gari la #RoyalSports Sehemu ya 2!
Pongezi kwa mshindi wetu mwenye bahati👏
Unaweza kuwa anayefuata kwa kuwa sehemu ya Super Royal Sports:
https://bit.ly/3Jpwwri

🔥Ushindi Super HOT wa kasino wa wiki!
💰6720000 TZS zimechukuliwa kwenye sloti zinazoleta mafanikio!
Jaribu bahati yako LEO:
https://bit.ly/3xw7u7i

🟦Onyesha kadi kwenye Jacks au Better ushinde mpaka TZS 300 000💸
https://bit.ly/4aSY2JE
https://bit.ly/4aSY2JE
✅Promo 10 tofauti
✅Nafasi 10 tofauti za kushinda na PMbet!
Chagua njia yako kamata shea yako ya prize pool:
https://bit.ly/3Q5jMKf
✅Nafasi 10 tofauti za kushinda na PMbet!
Chagua njia yako kamata shea yako ya prize pool:
https://bit.ly/3Q5jMKf
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🚗#ToyotaIST ya kwanza ya #SuperRoyalSports itatolewa karibuni! Hivyo kaa tayari kushinda ZAIDI🏆
Licha ya msimu uliopita wa Boston Marathon kushika nafasi ya pili, Mwanariadha nyota wa Tanzania Gabriel Geay msimu huu wa Boston Marathon ameshindwa kufurukuta na kuvunja rekodi yake aliyoiweka msimu jana baada ya kushika nafasi ya 18 huku raia wa Ethiopia,Sisay Lemma akivunja rasmi utawala wa Mkenya, Evans Chebet katika mbio hizo.
Geay sasa atarudi Tanzania kujipanga na mashindano ya Olimpiki ambayo yatafanyika Paris Ufaransa mwezi Julai mwaka huu.
Geay sasa atarudi Tanzania kujipanga na mashindano ya Olimpiki ambayo yatafanyika Paris Ufaransa mwezi Julai mwaka huu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🚗Unakumbuka lile gari stendi ya mabasi ya Magufuli? 👉Angalia Reel kujua zaidi kulihusu!
https://bit.ly/3W2U7Wr
https://bit.ly/3W2U7Wr