Nukta Habari
78 subscribers
2.25K photos
221 videos
5 files
3.53K links
Nukta (www.nukta.co.tz) huchapisha habari na makala za uchambuzi kuhusu biashara, uchumi, elimu, safari, takwimu, na teknolojia. Tovuti hii inamilikiwa na kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa. Tutumie maoni hapa ama kupitia maoni@nukta.co.tz.
Download Telegram
Watumiaji wa viazi mviringo hasa kutengeneza chipsi katika Mkoa wa Lindi leo watalala na maumivu kutokana na bei ya jumla ya zao hilo kuuzwa kwa bei ya juu kuliko maeneo mengine Tanzania Bara.

Takwimu za mazao makuu ya chakula zilizotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara jana (Januari 31, 2022) zinaeleza kuwa gunia la kilo 100 la viazi mviringo katika masoko ya Lindi linauzwa kwa Sh120,000.