Nukta Habari
78 subscribers
2.25K photos
221 videos
5 files
3.53K links
Nukta (www.nukta.co.tz) huchapisha habari na makala za uchambuzi kuhusu biashara, uchumi, elimu, safari, takwimu, na teknolojia. Tovuti hii inamilikiwa na kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa. Tutumie maoni hapa ama kupitia maoni@nukta.co.tz.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wanapata vipele baada ya kunyoa ndevu nyumbani, zipo dondoo muhimu zinazoweza kukusaidia kutatua changamoto hiyo ukaendelea kuwa na muonekano mzuri
Fursa! Fursa! Fursa! Je, wewe ni miongoni mwa wanahabari wa Tanzania wanaosaka fursa ya kujifunza uandishi wa habari za takwimu (Data Journalism)? Kama ndiyo, changamkia fursa hii adhimu ili uwe miongoni mwa wanahabari 20 watakaopata mafunzo hayo ya siku tano (5) kati ya Novemba 9 -13, 2020. Kwa kubonyeza hapa
https://bit.ly/35mKNkn

Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii za Twitter @NuktaAfrica, Instagram @nuktaafrica na Facebook @Nukta Africa na Facebook @InternewsTanzania.

Au tembelea tovuti ya www.nuktaafrica.co.tz kisha ingia katika kipengele cha mafunzo (Training) utaona Data Journalism, bofya kitufye kilichoandikwa Apply now kisha jaza fomu utakayopata kwa umakini.
Endapo una swali lolote kuhusu mafunzo ya uandishi wa habari za takwimu, utapata nafasi ya kuuliza swali lako na waandaaji watatoa ufafanuzi wa kina juu ya mafunzo hayo.

Kutana na waandaaji wa mafunzo hayo mubashara kwa njia ya mtandao Jumamosi Oktoba 24, 2020 saa 5.00 asubuhi. Kujiunga na kipindi hicho, utatumia kiunganishi hiki >>> https://meet.google.com/jar-ppfc-fpa
Kwa bei hizi za mazao makuu ya chakula zinazotumika leo Oktoba 26, 2020 katika maeneo mbalimbali Tanzania, unafikiri ungewekeza katika biashara ya zao lipi?
#NuktaBiashara
Zoezi la upigaji kura ya mapema visiwani Zanzibar limeanza leo Oktoba 27. Wanaohusika ni wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura, askari polisi, wajumbe wa tume, watendaji wa tume, wapiga kura watakaohusika na ulinzi na usalama siku ya uchaguzi.
DONDOO YA BIASHARA YA LEO: Mambo ya kuangazia kwa wafanyabiashara mwaka 2020.
#NuktaBiashara
Je, ushawishi wako upo katika kiwango gani?
Tumia mafuta ya kawaida yasiyo na kemikali nyingi

Jessica Kimoso ni mmoja wa wadau wa urembo na ajabu ni kuwa, hatumii pesa nyingi kununua vipodozi kwa ajili ya ngozi yake mbali na mafuta ya mgando aina ya Vaseline.

Jessica ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam anasema, yeye anafahamu kuwa kiwango cha mafuta kwenye ngozi yake ni cha wastani hivyo kwa ngozi yake amechagua kutumia mafuta hayo na hakumbuki kuwahi kutumia mafuta aina nyingine.
DONDOO YA BIASHARA YA LEO: Mjasiriamali ni nani kwa lugha ya kibiashara? #NuktaBiashara